Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Sasa hivi tupo na mama Samia,hutaki mawe kajinyongeNa bado hukuweza na hutaweza kurudi kutumia hicho cheti tena maishani.
Mpaka unaingia getini kaburini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hivi tupo na mama Samia,hutaki mawe kajinyongeNa bado hukuweza na hutaweza kurudi kutumia hicho cheti tena maishani.
Mpaka unaingia getini kaburini.
Pumbaf,mafala ni wazazi wakoMagufuli alikua Rais wa kweli. Alilipenda taifa na watu wake. Hakuwa mkamilifu ila alikua mwaminifu katika uzalendo wake. Inaumiza sana namna alivyoondolewa lakini inatia moyo kwamba kumbe inawezekana. Tusonge mbele yajayo yanafurahisha. Hawa mafala wachache wanaoipindisha nchi ni kitambo kidogo watabaki historia, hatutowasikia tena kisiasa. Taifa hili haliwezi kurudi kule tulikotoka, hii ni dhahiri na itakua.
Message sent. Kawaambie na wenzio.Pumbaf,mafala ni wazazi wako
Mbona sasa akaiuza Kwa wageni, Yeye kachukua chake Cha udalali na hisa, tumebaki kupika Kuni???Wa kukumbukwa ni JK aliyesema kuendelea kutegemea umeme wa mabwawa ya maji kwa asilimia kubwa ni kujitafutia ugonjwa wa moyo pasina sababu .
Alisema gas ndio tegemezi la uhakika , tukamuona hajui.
tutajie idadi ya mafisadi waliofungwa kwa ufisadi wao basi
tutajie sheria alizoshawishi zitungwe ili kukomesha huo ufisadi usjirudie huko tuendako
Tupe mpango mkakati aliokuja nao ili ukame usituathiri (BWAWA LA NYERERE NI UMEME WA MAJI ) Usitaje ukame unalihusu
Tutajie mpango aliokuja nao wa KUDHIBITI VYETI FEKI? mbona aliwafukuza watu na BASHITE ALIACHWA?kwann wanajesh na mapolisi waliachwa kama kweli zoezi lilikuwa huru na la haki?
Mbona alimfukuza hata CAG kwa kufichua ubadhilifu
unamdanganya nani na kwa faida gani?
kiongozi kupitia chama chake anamnunua mbunge wa chama kingine kisha uchaguzi uanrudiwa na anasimama kwenye jimbo lilelile kama hayo siyo matumizi ambaya ya pesa za umma nini basi?
alitukuta tuna bunge la vyma vingi katuacha na la chama kimoja halafu mnajiteknya ohhh TOZO si mlishangilia bunge la chama kimoja la magufuli nyie ?
shujaa hawi vile, kile ni kikaragosi cha udictator
Kwa mtu mwenye akili ya wastani tu unatakiwa kujua umeme wa maji si wakutegemewa maana unategemea kudra za Mungu, isiponyesha mnatumia vibatari.
Kukimbilia bwawa na kuacha gas ambayo ipo kinyerez tayari ilikuwa inahitaji mitambo tu ilikuwa ni mpango wa kijinga. Gas ipo tu inyeshe mvua isinyeshe
Utamkumbuka wewe na familia yako na mke wako na mjomba wako na shangazi yako na ile mchepuko yako....
Ungekuwa na akili yenye akili ungejiuliza ni kwanini atoe kauli ya kujihami? Eti mtanikumbuka kwa mema sio kwa mabaya?! Kwanini asiseme tu "mtanikumbuka" basi?! Kama mwalimu Nyerere kwenye kitanda chake cha mauti alivyosema "najua watanzania watanililia sana" basi! Jiwe Alijua dhahiri bin shayiri katika kila matendo yake 10 alikuwa na mabovu 8-9 na jema 1-2 tu! Na kwayo asingeweza kuishi muda mrefu kutokana na historia ya kitabu alichokiandaa yeye mwenyewe kwa hiari, akili, roho na utashi wake! Mungu ampunguzie adhabu ya kaburi Amin!"Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'SACRIFICE' MAISHA YANGU kwa ajili ya Watanzania maskini" ~ Hayati. John Magufuli (#RIP).
Ingawa najua kuna lile kundi lililojaa sumu, kwa machungu ya kukaa vijiweni baada ya kukumbwa na "Panga" la JPM kwenye vyeti fake, ajira hewa, utumbuzi majipu, uchaguzi 2020.
Mtaendelea kutukana .... ila "UKWELI" Utaendelea kusimama mahala pake bila kutetereka.
Na Kwa mgao huu wa kulazimishwa....
Hayo maneno yanazidi kusikika masikioni mwa wengi. Na yataendelea kusikika zaidi kadri siku zinavyozidi kusonga mbele taratibu.
Wao wanalamba "ASALI" wananchi tunalambishwa "SHUBIRI"
Sasa Mabwawa ya hydroelectric yanafunguliwa kwa kuhujumiwa kama zamani,
Ili tu walioko kwenye mfumo waendelee kuleta utitiri wa miradi ya umeme kwa 10%.
Ili tu waendelee kupata 10% kwenye makampuni yanayouza majenereta makubwa kwenye taasisi kama mabenki na viwanda.
Ili tu waendelee kupata 10% kwenye upatu wa mradi wa gesi ya LNG-Mtwara unaonadiwa kimataifa.
Ili tu waendelee kupata 10% kwenye uwekezaji mpya nishati ya upepo na Solar.
Ili tu waendelee kuneemeka na 10% ya uuzaji Mafuta kwenye majenereta ya IPTL mpya.
Tunawaona na Tunawapimia.
Alamsiki!
View attachment 2397812
Na wewe ni mmoja wa lile kundi la majambazi yaliyokuwa yanapora fedha wafanyabiashara ,ni mmoja ya wale watekaji na wauaji wa wanasiasa kipindi cha magu ,na wewe ni mmoja wa push gang mliokuwa mnatukana viongozi wastaafu wa awamu ya nne ,na wewe ni mmoja wa wa wanaharakati huru waliokuwa wakiwasema vibaya wapinzani.Ingawa najua kuna lile kundi lililojaa sumu, kwa machungu ya kukaa vijiweni baada ya kukumbwa na "Panga" la JPM kwenye vyeti fake, ajira hewa, utumbuzi majipu, uchaguzi 2020.
Na wewe ni mmoja wa lile kundi la majambazi yaliyokuwa yanapora fedha wafanyabiashara ,ni mmoja ya wale watekaji na wauaji wa wanasiasa kipindi cha magu ,na wewe ni mmoja wa push gang mliokuwa mnatukana viongozi wastaafu wa awamu ya nne ,na wewe ni mmoja wa wa wanaharakati huru waliokuwa wakiwasema vibaya wapinzani.
Kama kutekwa kwao kwa sisi wanyonge tulipona ni sawa tu...maana tulikuwa tunaoga na mgao tulisahau ...sasa hv tozo na kuoga hatuogi....
Sasa hivi kila unakopita watu wanajiliwaza na clip za Magufuli.
Labda wewe kipindi cha mgu ulikuwa umeunganishwa kwenye line ya ikulu ,huku kwetu umeme ulikuwa unakatika na maji vile vile yalikuwa yanakatika sema kipindi cha magu ilikuwa habadani asilani kutangaza kwamba kuna mgao ,mkuu yeyote wa department atakayetangaza mgao siku hiyo hiyo magu anakula kichwa.
Ili kuthibitisha ebu search nyuzi za kukatika umeme au malalamiko ya maji kipindi cha magu na utaona humu sipo nyuzi kibao tu.
Sasa hivi kila unakopita watu wanajiliwaza na clip za Magufuli.
We amka toka ndotoni usije ukakojoa kitandani.
Kwa taarifa yako wenye nchi washagundua kosa walilofanya, hawarudii tena kumwachia nchi mshamba kama Jiwe