Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Namkumbuka kwa kuua watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awamu ya sita ya mabugaSasa hivi ni mama Samia
Rest in peace Comrade, Rest in peace.'Dissatisfaction is a Leech!' said Agur Four things that are never satisfied....the grave, the barren womb, the thirsty desert, the blazing fire.
....the person who is never satisfied, who cries out continually for more, more is probably anathetized to the fact that, because he concetrates on what he doesnt have, he is incapable of enjoying what he does have. And all the time, joy, delight, contentment, and thanksgiving flow freely away from his thoughts,leaving him depleted and spiritually anemic
Kumbe ulikuwa hujui? 😆Kwani akiletaga na mvua huyo magu?
Akijibu nipo paleNchi ni ya wakina nani hii mkuu...
HujalazimishwaNiache kumkumbuka JK nikumbuke Magufuli
Ulilala kilabu gani leo?Niache kumkumbuka JK nikumbuke Magufuli
Uwanja wa fisi Tandale!!Ulilala kilabu gani leo?
Duh 🙄 !!!!! 😱"Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'SACRIFICE' MAISHA YANGU kwa ajili ya Watanzania maskini" ~ Hayati. John Magufuli (RIP).
Ingawa najua kuna lile kundi lililojaa sumu, kwa machungu ya kukaa vijiweni baada ya kukumbwa na "Panga" la JPM kwenye vyeti fake, ajira hewa, utumbuzi majipu, uchaguzi 2020.
Mtaendelea kutukana .... ila "UKWELI" Utaendelea kusimama mahala pake bila kutetereka.
Na Kwa mgao huu wa kulazimishwa....
Hayo maneno yanazidi kusikika masikioni mwa wengi. Na yataendelea kusikika zaidi kadri siku zinavyozidi kusonga mbele taratibu. Wao wanalamba "ASALI" wananchi tunalambishwa "SHUBIRI"
Sasa Mabwawa ya hydroelectric yanafunguliwa kwa kuhujumiwa kama zamani,
Ili tu walioko kwenye mfumo waendelee kuleta utitiri wa miradi ya umeme kwa 10%.
Ili tu waendelee kupata 10% kwenye makampuni yanayouza majenereta makubwa kwenye taasisi kama mabenki na viwanda.
Ili tu waendelee kupata 10% kwenye upatu wa mradi wa gesi ya LNG-Mtwara unaonadiwa kimataifa.
Ili tu waendelee kupata 10% kwenye uwekezaji mpya nishati ya upepo na Solar.
Ili tu waendelee kuneemeka na 10% ya uuzaji Mafuta kwenye majenereta ya IPTL mpya.
Tunawaona na Tunawapimia.
Alamsiki!
View attachment 2397812
Hakuna wakumkumbuka mpuuzi. yule katuumiza sana wavuvi."Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'SACRIFICE' MAISHA YANGU kwa ajili ya Watanzania maskini" ~ Hayati. John Magufuli (RIP).
Ingawa najua kuna lile kundi lililojaa sumu, kwa machungu ya kukaa vijiweni baada ya kukumbwa na "Panga" la JPM kwenye vyeti fake, ajira hewa, utumbuzi majipu, uchaguzi 2020.
Mtaendelea kutukana .... ila "UKWELI" Utaendelea kusimama mahala pake bila kutetereka.
Na Kwa mgao huu wa kulazimishwa....
Hayo maneno yanazidi kusikika masikioni mwa wengi. Na yataendelea kusikika zaidi kadri siku zinavyozidi kusonga mbele taratibu. Wao wanalamba "ASALI" wananchi tunalambishwa "SHUBIRI"
Sasa Mabwawa ya hydroelectric yanafunguliwa kwa kuhujumiwa kama zamani,
Ili tu walioko kwenye mfumo waendelee kuleta utitiri wa miradi ya umeme kwa 10%.
Ili tu waendelee kupata 10% kwenye makampuni yanayouza majenereta makubwa kwenye taasisi kama mabenki na viwanda.
Ili tu waendelee kupata 10% kwenye upatu wa mradi wa gesi ya LNG-Mtwara unaonadiwa kimataifa.
Ili tu waendelee kupata 10% kwenye uwekezaji mpya nishati ya upepo na Solar.
Ili tu waendelee kuneemeka na 10% ya uuzaji Mafuta kwenye majenereta ya IPTL mpya.
Tunawaona na Tunawapimia.
Alamsiki!
View attachment 2397812
Ila nikupe Pole sana ila ilikuwa zamu yako Mtumia Uvuvi wa SUMUHakuna wakumkumbuka mpuuzi. yule katuumiza sana wavuvi.
Kwanza nikweli alikuwa kichaa kama mwenyewe alivyosema
Sikiakaulizake kichaa yule eti ukiniletea mpinzani sileti maendeleo.
Alafutena nitaendelea kuteuwa wapinzani nitakaona wananifaa maendeleo hayana chama sasa siupumbavu kumkumbuka kichaa wahivi mungu amlani hukoaliko