Wosia wa Hayati Magufuli ”Mtanikumbuka” Unatimia

Uzuri jamaa kaanza na angalizo kwa wale vyeti fek watakuja tema nyongo, tapika nyongo mkuu uwanja wako..
Mimi siyo mhanga wa vyeti feki kwani sijawahi kuwa mtumishi wa Serikali au mashirika yake. Elimu yangu siyo ya kuunga unga kama yule dhalim aliyeua mtu aliyehoji udanganyifu wa PhD yake. Kufikiaria kuwa kila aliyekosoa utawala wa awamu ya tano ni vyeti feki huo ni mtindio wa ubongo kama ulivyo wewe.
 
R.I.P rais wangu, uliletwa na Mungu kutuonesha kuwa inawezekana hivyo mtu akisema haiwezekani maana yake sio muwajibilaji, Kisha Mungu akakuchukua ukapumzike.
Tunaona kuwa uliyoweza kwa kipindi kifupi wapo wanaodai sasa hayawezekani...
RIP
Hata ibili ni mungu kwa wale wamuabuduo.
 
"Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'SACRIFICE' MAISHA YANGU kwa ajili ya Watanzania maskini" ~ Hayati. John Magufuli (#RIP).

Ingawa najua kuna lile kundi lililojaa sumu, kwa machungu ya kukaa vijiweni baada ya kukumbwa na "Panga" la JPM kwenye vyeti fake, ajira hewa, utumbuzi majipu, uchaguzi 2020.
Mtaendelea kutukana .... ila "UKWELI" Utaendelea kusimama mahala pake bila kutetereka.

Na Kwa mgao huu wa kulazimishwa....

Hayo maneno yanazidi kusikika masikioni mwa wengi. Na yataendelea kusikika zaidi kadri siku zinavyozidi kusonga mbele taratibu.

Wao wanalamba "ASALI" wananchi tunalambishwa "SHUBIRI"

Sasa Mabwawa ya hydroelectric yanafunguliwa kwa kuhujumiwa kama zamani,
Ili tu walioko kwenye mfumo waendelee kuleta utitiri wa miradi ya umeme kwa 10%.

Ili tu waendelee kupata 10% kwenye makampuni yanayouza majenereta makubwa kwenye taasisi kama mabenki na viwanda.

Ili tu waendelee kupata 10% kwenye upatu wa mradi wa gesi ya LNG-Mtwara unaonadiwa kimataifa.

Ili tu waendelee kupata 10% kwenye uwekezaji mpya nishati ya upepo na Solar.

Ili tu waendelee kuneemeka na 10% ya uuzaji Mafuta kwenye majenereta ya IPTL mpya.

Tunawaona na Tunawapimia.

Alamsiki!
View attachment 2397812
Utamkumbuka wewe na familia yako na mke wako na mjomba wako na shangazi yako na ile mchepuko yako....
 
Sasa hivi kila unakopita watu wanajiliwaza na clip za Magufuli.
Ni wapi huko ambapo "kila unapopita watu wanajiliwaza na clip za Magufuli"!!??
Mimi ni mtembezi mzuri sana wa Tanzania hii,na kwa sasa nipo Kusini huku kupiga "kangomba", lakini sijaona mtu hata mmoja anayemkumbuka bwana yule wala anayejiliwaza kwa clip zake.

Njoo huku uone jinsi alivyoharibu biashara ya korosho uone chuki waliyonayo wakazi wa huku.

Na kwa kukuhabarisha tu, korosho bei ni ya kutupa sana. Watu wamegoma kuuza.
 
Na tunaomkumbuka kwa mazuri yake,tutulie tukiwaangalia mnavyojibaraguza enyi watu fake,waajiriwa fake,waalimu fake na vizazi vyenu.
Acha kukimbilia vijisababu vyepesi, nina vyeti zaidi ya viongozi wako unaoamini ni wasomi. Sijawahi kutegemea ajira za serikali(watanilipa kiasi gani?), si bora nifanye kazi ya kuchoma maiti Denver au Maryland kwa ujira wa 70$ per hour.
Huyo sikumpenda kwa udhalimu wake na si vinginevyo.
 
Unaongelea watu laki nne enzi hizo huku milion 50+ walikuwa nanateswa na majambazi, kipindupindu kisichoisha kisa maji hakuna, mgao wa umeme kila siku, barabara mbovu n.k.

Tuache..mfuate msoga hapo mkapige soga.
Bora mimi naweza kuongea na mtu aliye hai, Sasa na wewe ufate mzoga wenu huko Chato...
 
Wewe ni miongoni mwa wajinga wachache ,
Wewe sio tu mjinga bali ni MPUMBAVU
haiwezekani useme kuwa mliibiwa uchaguzi 2020 and the same mnaseme lissu alipata kura zaidi ya milioni mbili kuweni na akili kidogo.
NI MPUMBAVU aina yako tu ndie asiyejua kwamba hata mwizi akiingia ndani ya nyumba sio kwamba ataiba kila kitu.

Na ni mpumbavu aina yako tu ndie anaweza kudhani kuna mtu anaabiwa kura akabaki na sufuri!!
 
Zaidi ya 95% ya Watanzania wanamkumbuka JPM na wanamzungumzia kwa mazuri yake mengi.
Wakati wake hakujawahi kuwa na mgao wa umeme hata siku moja.
Sasa Nchi yetu inapita katika kipindi cha ajabu kweli kweli.
 
That's exactly what's going on at the moment within those State Capture's & State Cartel's.

There's a big Noise will raise from the bottom Majority....
It will be..between

"Walamba
Asali V/S Wameza Shubiri"

Time will tell Soon!
Mbingu zimefungwa zisidondoshe mvua ktk Nchi, sababu ya vilio vya watu wa Nchi hii Kutokana na dhuluma za Watawala.

Hakuna anayestuka kutunza akiba ya chakula, Unakuja ukame wa kutisha na jangwa Kwa baadhi ya maeneo.

Watanzania tuomboleze Kwa ajili ya nchi yetu Mungu aihurumie Nchi.

Sisi tumekuwa kimbilio la majirani zetu wanapogombana, bt HAKUNA Jirani atakayetupokea yakitufika, watatufungia milango na kutuambia HUKO HUKO!!!!
 
Waliopo madarakani wanatulazimisha wananchi tukumbuke MAGU Kwa mabaya yake!!!

TUMEGOMA!!!!!!!!

Tunamkumbuka Kwa MEMA na MAZURI aliyofanya tukilinganisha na utendaji wao na wake.

Hatutatulia Hadi MAONO yake juu ya TANZANIA yenye NEEMA tele yatimie.

Ameeeen.
 
"Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'SACRIFICE' MAISHA YANGU kwa ajili ya Watanzania maskini" ~ Hayati. John Magufuli (#RIP).

Ingawa najua kuna lile kundi lililojaa sumu, kwa machungu ya kukaa vijiweni baada ya kukumbwa na "Panga" la JPM kwenye vyeti fake, ajira hewa, utumbuzi majipu, uchaguzi 2020.
Mtaendelea kutukana .... ila "UKWELI" Utaendelea kusimama mahala pake bila kutetereka.

Na Kwa mgao huu wa kulazimishwa....

Hayo maneno yanazidi kusikika masikioni mwa wengi. Na yataendelea kusikika zaidi kadri siku zinavyozidi kusonga mbele taratibu.

Wao wanalamba "ASALI" wananchi tunalambishwa "SHUBIRI"

Sasa Mabwawa ya hydroelectric yanafunguliwa kwa kuhujumiwa kama zamani,
Ili tu walioko kwenye mfumo waendelee kuleta utitiri wa miradi ya umeme kwa 10%.

Ili tu waendelee kupata 10% kwenye makampuni yanayouza majenereta makubwa kwenye taasisi kama mabenki na viwanda.

Ili tu waendelee kupata 10% kwenye upatu wa mradi wa gesi ya LNG-Mtwara unaonadiwa kimataifa.

Ili tu waendelee kupata 10% kwenye uwekezaji mpya nishati ya upepo na Solar.

Ili tu waendelee kuneemeka na 10% ya uuzaji Mafuta kwenye majenereta ya IPTL mpya.

Tunawaona na Tunawapimia.

Alamsiki!
View attachment 2397812
Wa kukumbukwa ni JK aliyesema kuendelea kutegemea umeme wa mabwawa ya maji kwa asilimia kubwa ni kujitafutia ugonjwa wa moyo pasina sababu .
Alisema gas ndio tegemezi la uhakika , tukamuona hajui.
 
"Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'SACRIFICE' MAISHA YANGU kwa ajili ya Watanzania maskini" ~ Hayati. John Magufuli (#RIP).

Ingawa najua kuna lile kundi lililojaa sumu, kwa machungu ya kukaa vijiweni baada ya kukumbwa na "Panga" la JPM kwenye vyeti fake, ajira hewa, utumbuzi majipu, uchaguzi 2020.
Mtaendelea kutukana .... ila "UKWELI" Utaendelea kusimama mahala pake bila kutetereka.

Na Kwa mgao huu wa kulazimishwa....

Hayo maneno yanazidi kusikika masikioni mwa wengi. Na yataendelea kusikika zaidi kadri siku zinavyozidi kusonga mbele taratibu.

Wao wanalamba "ASALI" wananchi tunalambishwa "SHUBIRI"

Sasa Mabwawa ya hydroelectric yanafunguliwa kwa kuhujumiwa kama zamani,
Ili tu walioko kwenye mfumo waendelee kuleta utitiri wa miradi ya umeme kwa 10%.

Ili tu waendelee kupata 10% kwenye makampuni yanayouza majenereta makubwa kwenye taasisi kama mabenki na viwanda.

Ili tu waendelee kupata 10% kwenye upatu wa mradi wa gesi ya LNG-Mtwara unaonadiwa kimataifa.

Ili tu waendelee kupata 10% kwenye uwekezaji mpya nishati ya upepo na Solar.

Ili tu waendelee kuneemeka na 10% ya uuzaji Mafuta kwenye majenereta ya IPTL mpya.

Tunawaona na Tunawapimia.

Alamsiki!
View attachment 2397812
Sukuma gang upo kazini kukosoa viongozi waliopo madarakani.

Hutoweza kamwe hata ukilala makaburini unawanga utashindwa.

Mgao wa maji ni jambo linalo umiza lkn pia siyo la ajabu maana chini ya ccm hakuna linalonyooka hata baada ya miaka 60 ya uhuru.
 
Na tunaomkumbuka kwa mazuri yake,tutulie tukiwaangalia mnavyojibaraguza enyi watu fake,waajiriwa fake,waalimu fake na vizazi vyenu.
Mwendazake wacha ajipumzikie wewe kilaza
 
Back
Top Bottom