zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Mkuu nachokupendea huwa nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe bila kuangalia chama.Alinajisi uchaguzi ili kuua nguvu ya kuhoji, akajaza wanaccm kwenye maeneo ya uwakilishi, hao wanaccm aliowaweka wahoji huu uhuni.
Hili suala huwa linshangaza, yaani JPM alijaza Wana CCM kwenye mabaraza yote ya uwakilishi kuanzia vitongoji mpaka bungeni!! Cha kushangaza mambo yanafeli wanaanza ooh tutamkumbuka JPM.
Sasa Cha kujiuliza kama JPM alikua makini, kivipi aweke viongozi wasioweza kumsimamia Mama? Hilo bunge la JPM mbona halihoji haya mambo?? Au tunakubaliana JPM hakua na vision kabisa!!