Wosia wa Hayati Magufuli ”Mtanikumbuka” Unatimia

Wosia wa Hayati Magufuli ”Mtanikumbuka” Unatimia

"Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'SACRIFICE' MAISHA YANGU kwa ajili ya Watanzania maskini" ~ Hayati. John Magufuli (#RIP).

Ingawa najua kuna lile kundi lililojaa sumu, kwa machungu ya kukaa vijiweni baada ya kukumbwa na "Panga" la JPM kwenye vyeti fake, ajira hewa, utumbuzi majipu, uchaguzi 2020.
Mtaendelea kutukana .... ila "UKWELI" Utaendelea kusimama mahala pake bila kutetereka.

Na Kwa mgao huu wa kulazimishwa....

Hayo maneno yanazidi kusikika masikioni mwa wengi. Na yataendelea kusikika zaidi kadri siku zinavyozidi kusonga mbele taratibu.

Wao wanalamba "ASALI" wananchi tunalambishwa "SHUBIRI"

Sasa Mabwawa ya hydroelectric yanafunguliwa kwa kuhujumiwa kama zamani,
Ili tu walioko kwenye mfumo waendelee kuleta utitiri wa miradi ya umeme kwa 10%.

Ili tu waendelee kupata 10% kwenye makampuni yanayouza majenereta makubwa kwenye taasisi kama mabenki na viwanda.

Ili tu waendelee kupata 10% kwenye upatu wa mradi wa gesi ya LNG-Mtwara unaonadiwa kimataifa.

Ili tu waendelee kupata 10% kwenye uwekezaji mpya nishati ya upepo na Solar.

Ili tu waendelee kuneemeka na 10% ya uuzaji Mafuta kwenye majenereta ya IPTL mpya.

Tunawaona na Tunawapimia.

Alamsiki!
View attachment 2397812
Tunamkumbuka Sana kwa mauaji alichofanya huyu baba na kuhalibu future za vijana wengi. Samia anajaribu kutengeneza future za vijana kwa kuwatengezea ajira za serikali na binafsi lakini bado kundi ni kubwa ambalo alitengeza tatizo jpm kwa kutoajiri kabisa miaka mitano na private sector kutufanya weak. Hapo tunamkumbuka kwa kweli
 
Mtu anaye penda taifa hawezi UA watu wake kisa Wana maoni tofauti na yeye. Sasa taifa maana yake nini
Magufuli alikua Rais wa kweli. Alilipenda taifa na watu wake. Hakuwa mkamilifu ila alikua mwaminifu katika uzalendo wake. Inaumiza sana namna alivyoondolewa lakini inatia moyo kwamba kumbe inawezekana. Tusonge mbele yajayo yanafurahisha. Hawa mafala wachache wanaoipindisha nchi ni kitambo kidogo watabaki historia, hatutowasikia tena kisiasa. Taifa hili haliwezi kurudi kule tulikotoka, hii ni dhahiri na itakua.
 
Mwizi Anarudishiwa hela alizokatwa kama michango Aliyokua Analipa wakati Anawaibia watanzania kwa vyeti feki [emoji125]
Kinachorudishwa ni kile alichoingiza yeye kama yeye!
Na sio michango ya mwajiri iliyoingizwa kwenye mfuko husika.
Ni katika jitihada za walamba asali kutafuta uungwaji mkono hata kwa njia zenye utata mkubwa!
 
Magufuli kafa karibu miaka miwili iliyopita lakini haiwezi pita 24hrs bila nyuzi yake humu kumuongelea,atakumbukwa daima kwa mema yake aliyowafanyia watanzania kaacha alama ambayo haiwezi futika kamwe r.i.p rais wangu kipenzi.
Nyie michepuko yake ndiyo mnatujazia hizi nyuzi zake kama vipi kunyweni sumu mfe mumfuate
 
Nyie michepuko yake ndiyo mnatujazia hizi nyuzi zake kama vipi kunyweni sumu mfe mumfuate
Hamuwezi mkwepa Magufuli nchi hii.
Kivuli chake kinawatesa mwanzo-mwisho kinachoendelea ni kuweweseka tu!

Rudi darasani ili umiliki cheti kipya kama umri bado unaruhusu.
Kumtukana Magufuli hakutakuwekea Ugali Mezani.
 
Mtu anaye penda taifa hawezi UA watu wake kisa Wana maoni tofauti na yeye. Sasa taifa maana yake nini
Kila utawala duniani watu wanakufa, tutajie wewe rais wako unayempenda hapa Tanzania ambae kwa kipindi chake cha miaka ya utawala watu hawakufa.
 
Na ndio maana yuko anakitumia mpaka sasa!

Kasoro chako ndio kilimezwa na ATM hakikurudi [emoji1787]
Hahaha sijawahi hata ku SUP katika maisha yangu
Hii nchi ina wajinga wengi sana..... unaacha kujibu hoja unasingizia wenzako vyeti feki? kwamba wenye vyeti feki tu ndiyo waliokuwa wanaona
kwamba ndege zilinunuliwa bila idhini ya bunge au kufuata sheria ya manunuzi?
kwamba Asad alifukuzwa UCAG kwa kuhoji zilipo 1.5 Trilion?
kwamba uwanja wa ndege wa chato ulijengwa bial idhini ya bunge wala sheria ya manunuzi? (mayanga construction ni kampuni yake na ndiyo iliyojenga uwanja wa chato}
mwenye vyeti feki hawezi kuhoji haya KIBWENGO WEWE
 
Inawezekana ukawa unavuta bangi siyo bure, huyo mungu wenu alikuwa na mamlaka ya kuzuia ukame?
Sisi tunamkumbuka kwa wasiojulikana
 
Magufuli alikua Rais wa kweli. Alilipenda taifa na watu wake. Hakuwa mkamilifu ila alikua mwaminifu katika uzalendo wake. Inaumiza sana namna alivyoondolewa lakini inatia moyo kwamba kumbe inawezekana. Tusonge mbele yajayo yanafurahisha. Hawa mafala wachache wanaoipindisha nchi ni kitambo kidogo watabaki historia, hatutowasikia tena kisiasa. Taifa hili haliwezi kurudi kule tulikotoka, hii ni dhahiri na itakua.
Aliwapenda kwa kuwateka kuwashambulia wapinzani wake, kutumia rasilimali za nchi kujijengea uwanja mkubwa kijijini kwake alikozaliwa kama Mobutu?
Wasiojulikana wako wapi sasa? Kaharibu nchi kwa kupora uchaguzi na kuwaweka wapumbavu wa CCM bungeni.
Namshukuru Mungu Baba kumwondoa akaone raha ya kuwatanguliza wenzake
 
Kwani kwenye miaka yake mitano haukuwahi kuushuhudia ujame zaidi ya huu.
Lakini umeme ulikuwa moto chini bila shida.
Why now!
Mwendawazimu utakuwa wewe tudhibitishie mwaka ambao huo ukame uliokuwepo enzi za huyo chinja chinja
 
Kabla ya hapo maisha yalikuwaje pamoja na kuwepo hiyo unayoiita maoni ya wengi?

Je! hayo maoni ya wengi yana tija gani linapokuja kwenye maisha kawaida ya mtanzania tofauti na nyinyi wana siasa uchwara wa kibongo.

Mnaoifanya siasa kuwa ajira na chanzo pekee cha mapato?

Mwanasiasa wa kibonho akizuiwa siasa anakuwa kama kafukuzwa kibaruani.

Ni kama sasa mlivyopoteana baada ya JPM kufanya yake 2020,na wananchi 'wakaamua'
Wananchi waliamua nini zaidi ya dikteta kupora haki yao ya kuamua?
 
Bado kuna wizi mkubwa unaoendelea kwa system ya wanasiasa wote.
Walioko CCM na hata wa Upinzani.

Hii ni chain ile ile iliyokuwepo enzi zake mshika remote wa sasa!
Zaidi ya ule wiki wa trillion 1.5 aliomfukuza kazi CAG baada ya kuubaini?
Nyie kweli vilaza ile hela aliyojengea uwanja wa ndege kijijini Chato alizitoa wapi?
Na ilifuata process halali?
 
Miaka miwili tangu azikwe Chato!
Amewaachia ofisi ya Ikulu na Makabrasha yake yote,amewaachia TISS na TAKUKURU yote.

Hakuna alichoingia nacho kaburini!

Mbona hamtuonyeshi ushahidi wa huo ufisadi,mnaishia kuropoka kama wake wenza na gubu la wivu!
Ukipunguza bangi utauona tuanzie na zile za plea bargaining wezi wakubwa nyie halafu alizomfukuzia kazi CAG
 
Back
Top Bottom