Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Boss lady mentality ni ugonjwa wa kisaikolojia wanaojivisha mabinti wengi sana kizazi hiki. Wanahisi kuwa bilionea au milionea is a matter of ujanja ujanja na mbinu za kubahatisha.

Sasa mzee yule kahenyeka sana hadi kufikia pale alipofikia, kuwa na mali na cash in the bank. Kenyewe kameona hapa hapa ndio chance ya kuwa bilionea's wife ili afe nirithi mali niwe boss lady.

Niwe naamka asubuhi naitisha kikombe cha cappuccino au espresso au late yenye uwa la bata bukini. Naamka kutoka kitanda cha futi kumi kwa kumi, navaa robe ya 100% cotton fabric jet white in color yenye jina langu limeshonewa nakwenda kuoga kwenye hot bubble bath huku nimezungukwa na mishumaa ya perfume, nikitoka navaa designer clothes na pochi ya vasace au Gucci, naenda dining room kupata breakfast ya pancake, eggs, na orange juice kutoka South Africa.

Then natoka naenda kwenye parking lot na chagua nitoke na gari gani kati ya vogue, Mercedes, Mayweather, BMW, Ferrari au audi, kisha niende hadi kwenye my executive corner office at the top floor of a 50 stores skyscraper building closer to the city center on my ocean view side. My PA anipigie kuomba ruhusa ya kuja ofisini kwangu anipe ripoti ya kazi za jana na anisome ratiba ya shughuli na appointment za leo na anionyeshe documents za kusign ili kuruhusu mambo yaendelee. Then luch hours nitakwenda kula zanzibar na client so i will take a private plane. Then jioni nitarudi haraka City center kwaajiri ya appointment ya massage. Weekend me and my girls tunaenda Dubai for shopping.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi ndio vibinti vya siku hizi vinaota mchana kweupe. Sasa vikija kukwama na kujua kumbe life sio Ganda la ndizi kihivyo, utaona wanaruka na babu zao ili wawakill warithi japo utajiri wa nyumba na magari.

So pathetic......

Dream on girl... Dream on......
Ha ha ha ha na evening tea za serena pale na mashostizo. Usisahau mama mercy pia ndo source of everything. Na amepigika sana kuanzia kule bonite...


Naomba reo urare kifudifudi mkuu umenifurahisha sana[emoji23][emoji23][emoji23] yaan u are on point. Sema anaishi kwa machale baalaaa sasa hv. Muda wote anahisi kuna snipper anampimia
 
Pole Jack ...mimi kama mwenyekiti msaidizi wa madangaji tanzania nimesikitishwa na hii hukumu,ila mwenzetu ulikosea sana ulitakiwa uwa include watoto wa mke wa kwanza kwenye urithi ikiwezekana mkae kama familia mjue mnagawana vipi...sasa wewe urithi wote ni wako na wanao...mbona hata haitaji ujuzi kutilia shaka haya maamuzi...??? hata kama alifanya kosa kuandika hivyo ungekua na chembe ya ubinadamu ungefikiria watoto wake wa mke wa kwanza na kumuomba Mengi aandike kwa watoto wote,ila mwenzangu sijui ni u-selfishness ama roho ya tamaa..leo unaachwa wazi...pole lakini
 
Sisi tunaexpect ukishakua na wadhifa basi lazima ubehave kutokana na exposure. Siyo uact kiswahili. Pia mengi alijua sana migongano inayokuja lakini alikubali beba msalaba. Hili jambo linaonekana kwa ndugu zetu wachagga hawahawa na si mbali ndo maana ndo case zao twaziona. Mbona matajiri wengine hatuoni visa vyao?

Halafu kuna cha vicky kamata sasa hivi. Anataka dhulumu mali za watoto wa likwelile. Hivi wanaume ni vipofu ama tatuzo ni nn? Hizi ndoa za uzeeni kwa faida ya nani. Kama unahitaji penzi si muishie kuwa wapenzi tu? Halafu ni kuhangaika na mimama ya mjini tu
Hawa wadada wacha wasikishwe adabu. Wanataka tumia jina la mjane katika ujambazi wao. Wanadhani kule mahakamani watu wanatumia hisia.
 
Case Ya Mirathi ya ya Dr. Reginald Mengi: Former Miss Tanzania Jackline Ntuyabaliwe adondokea pua kwa Mara Ya nane tena katika Rufaa

View attachment 1791249
View attachment 1790872

Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala ya Dar es Salaam imetoa uamuzi kuwa watoto wa Marehemu Reginald Mengi;-Abdiel na Benjamin Mengi kuwa wasimamizi wa mirathi ya mali alizoacha marehemu baba yao (Reginald Mengi). Katika uamuzi huo, mahakama imeagiza usimamizi na mgawanyo wa mirathi uanze mara moja.

Akisoma hukumu hiyo yenye kurasa 72 mnamo Mei 18/2021 Jaji Mlyambina alisema kuwa wosia wa mwisho wa Marehemu Dkt. Mengi ulioandikwa Agosti 17,2017 haukuzingatia misingi ya kisheria ya uandishi wa wosia.

Katika shauri hilo watoto wa marehemu Dkt. Mengi walikuwa wakipinga wosia uliodaiwa kuachwa na Marehemu baba yao kwa madai kwamba wosia huo haukufungwa ‘sealed’ na saini iliyopo kwenye wosia huo ni tofauti na sahihi zingine za Marehemu na pia kwa wakati huo baba yao hakuwa na uwezo wa kuandika kutokana na matatizo makubwa ya kiafya aliyokuwa nayo tangu mwaka 2016.

Aidha watoto hao walidai kuwa wosia uliwabagua na urithi wote aliachiwa mkewe mpya na watoto mapacha na hivyo wosia huo ulikuwa kinyume na sheria sababu uliwabagua watoto bila sababu za msingi na za kisheria.

Kwa hiyo na Benjamin Mengi ni mtoto wa Reginald Mengi???
 
Hawa wadada wacha wasikishwe adabu. Wanataka tumia jina la mjane katika ujambazi wao. Wanadhani kule mahakamani watu wanatumia hisia.
Hivi huwa mnanasaje kwa hawa makahaba? Hebu niambie mkuu. Yaan red lights zoote mnaziona lkn bado mnaingia. Inakuaje?
 
Ndio maana ikaitwa sheria.. Pole Jack nenda mbinguni ukakate rufaa maana hapa Duniani una chako kwenye timbwili ulilo lianzisha....
Chukua utakacho pewa kwani hiko ndio stahiki yako....
Funzo.. Mabint ukimuona Mzee ana mali ujue kachuma na wakwao..
 
Ushauri kwa watoto wa Mengi...Msijitwishe Dhambi...Huyu Ni mama yenu mdogo..Kaeni nae mkubaliane wadogo zenu wale wapate matumizi yote kama Baba Yao alivyokuepo wakikua wajoin kampuni.

KWA Jack achana na matapeli wa mjini watakula japo vijisenti vidogo ulivyonavyo wakikudanganya...anzisha biashara yako una jina la mzee pambana utatoka.

JENGA harmony na wale watoto wakubwa wa Mumeo hata katika Mazingira haya magumu haya mambo yaishe....Ukiwafuata Mawakili hawa waongo waongo watakuumiza.Watakula hela zote Utashangaa.
 
Mahakama imetenda haki.

Kwenye kile kifungu kwenye wosia eti atakae jaribu kuweka pingamizi kwenye maamuzi aliyoyatoa marehemu mzee mengi iwapo atashinda kesi apatiwe Buku. Ndio nilijua wanawake wa kuokoteza uzeeni sio wazuri
Sio uzeeni mkuu, usiombe uteleze kwenye haya mambo aisee.. ishi nao kwa akili biblia imeonya

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Lazima alikuwa inpired na stori ya Anna Nicole Smith

How Anna Nicole Smith Ended Up Marrying an 89-year-old


1621459089338.png
 
Pole Jack ...mimi kama mwenyekiti msaidizi wa madangaji tanzania nimesikitishwa na hii hukumu,ila mwenzetu ulikosea sana ulitakiwa uwa include watoto wa mke wa kwanza kwenye urithi ikiwezekana mkae kama familia mjue mnagawana vipi...sasa wewe urithi wote ni wako na wanao...mbona hata haitaji ujuzi kutilia shaka haya maamuzi...??? hata kama alifanya kosa kuandika hivyo ungekua na chembe ya ubinadamu ungefikiria watoto wake wa mke wa kwanza na kumuomba Mengi aandike kwa watoto wote,ila mwenzangu sijui ni u-selfishness ama roho ya tamaa..leo unaachwa wazi...pole lakini
Yani katuangusha huyu bidada mwenzetu. Nimemuonea huruma pia ila atapata share yake kiasi kupitia kwa matwins
 
mshambuliaji wa KAIZERCHIEF
ameomba wajanewote wasikose UWANJANI

amehaidi kuwafurahisha na kuwapa FURAHA ya moyoni...alichofanya South Africa aku akubahatisha
#kiingilioopesayakooo



FB_IMG_16214579027564566.jpg
 
Back
Top Bottom