Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nipokuwa mdogo wa umri wa miaka 12 hivi nilikuwa ninakwenda sehemu wachezayo BASKETBALL ambayo alikuwa hakosi kutokea yaani kipindi hicho alikuwa ni mzuri wa kuvutia huku akipiga pamba kali ila kila siku zisogeako anazidi kuwa na uso wa "serious ya mazabe ya KIMAISHA"[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Itakuwa tanesco pale nn
Alafu aliyekuwa anacheza naye
Alikuwa nyembera Patrick
Miaka hiyo dem alikuwa ana push discovery

Ova
 
Binafsi nilikuwa nawaza kama wewe ila jack alieleza kuwa kipindi mzee mengi anaachana na mkewe wa kwanza wale watoto walipewa urithi wao, mzee akabaki na mali alizobaki nazo ndio akaamua kumrithisha jack na wanawe mapacha
Ubinafsi TU unamsumbua mwanamke Yule, pumbavu zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila wazee wa kichagga sijui ndo niseme ni malimbukeni sana ama ni nn sijui. Yaan umalaya tu umewajaaa. Na haya ndo hugharimu familia. Watu wanazaa zaa ovyo. Nikimuwaza billionare mrema na ngurdoto yake na vitega uchumi vingine inasikitisha sana. Imagine michepuko imejilengesha huko kisa inajua kuna fursa. Wallah tungekifa wote. Halaf bado wanathibutu kunyoosha midomo.

Huyu procorine shayo naye aliyejigongesha juzi kati hapo tabata akafa naye baada ya kudaiwa kodi 2.4billion naye hovyo kabisa. Watu wanazaa ovyo ovyo tu. Hawajali masilahi ya wanaowaacha wala vitega uchumi walivyoviandaa... mtu uzeeni ndo unakuja fanya makosa ya kipuuzi hv. Mimi naheshimu watoto niliowakuta kabla ya ndoa. Ukija nimeshafunga utafurahi. Huyo baba yenu amalizane na nyie hukohuko. Tulieni jaman kaka zetu. Kwanza mnapitapita ovyo mnajiokotea maradhi wanawake wengine wamebeba mamikosi huko wengine wachawi tafrani.

Kaka zetu wa kichagga jitathminini sana. Munaacha majanga nyuma ya pazia..
"Usingizi wa hovyohovyo" tuutafutao wanaume hutugharimu sana humu ujanani na FAINALI huwa uzeeni daaaah
 
HIVIIIIII WAJANEEE NA WANAOTESA WAKEZAOOOL WANAITWAAAA LINI KAMA KIPINDI KILEE

NIMEMMISI KWELI ZILE ZAMAAAAA
KAKAYANGU MMMOJA ALITESA MKEWE ALIVYOSIKIA WANAITWAAAA AKAPIGASIMU NAINGIA NAIROBI

NKAJUA WANAOFWATASASA WAGUMBA
 
Hayo mambo hayanaga ukabila mkuu, ni hulka ya mtu tuu. Na wapo wengi tuu ila hawana majina makubwa wala mali za kugombewa

Ya hao wachaga yamekua maarufu sababu ya nafasi zao kiuchumi
Sisi tunaexpect ukishakua na wadhifa basi lazima ubehave kutokana na exposure. Siyo uact kiswahili. Pia mengi alijua sana migongano inayokuja lakini alikubali beba msalaba. Hili jambo linaonekana kwa ndugu zetu wachagga hawahawa na si mbali ndo maana ndo case zao twaziona. Mbona matajiri wengine hatuoni visa vyao?

Halafu kuna cha vicky kamata sasa hivi. Anataka dhulumu mali za watoto wa likwelile. Hivi wanaume ni vipofu ama tatuzo ni nn? Hizi ndoa za uzeeni kwa faida ya nani. Kama unahitaji penzi si muishie kuwa wapenzi tu? Halafu ni kuhangaika na mimama ya mjini tu
 
Back
Top Bottom