Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Mkuu maelezo ni hayo kwenye attachment labda kama unataka kwa kiswahili ambacho hata Mimi sijui

Magufuli kabla hajafariki alisema hizi hukumu zitolewe kwa lugha ambayo wote tunaielewa, mnasubiri nini?
 
So, possibly hapa kutakuwa na habari ya homicide kama uchunguzi yakinifu ukifanyika.
 
Still pia ingekua ngumu mkuu. Everything was in order ukiacha huu ujinga wake aliouandika. Kajinga sana.
Dah kulamba 100% ya urithi hata watoto wa primary level wanaweza kususpect kuwa something is fishy about the whole thing.
 
Huyu dada kashindwa kutafuta hela zake mwenyewe, anataka kutumbua za huyu Mzee wa watu aliyechuma miaka nenda rudi tena kwa shida kubwa.
Jeahini akaona aachane nako na uhasibu ,aaze ujaslia Mali ,bint wajuzi tu alemali hizo hawa wasanii kwann wavivu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Wakiwatazama akina kim Kardashian au akina Jlo wanaona hapana na sisi yale maisha Iazima tunaishi. Anasahau kuwa wale wenzake ni Golf fish yeye ni kibua.
 
Kutokana na mtiririko wa matukio ulivyokwenda alishajua kule hawana tena urafiki nae. So akaona kama mbwai mbwai tu.
 
Hivi huwa mnanasaje kwa hawa makahaba? Hebu niambie mkuu. Yaan red lights zoote mnaziona lkn bado mnaingia. Inakuaje?
Unajua hawa wazee wetu, lifestyle yao miaka hiyo ilikuwa ni kuoa mke mchapakazi ili kutafuta nae maisha sasa maisha yakishapatikana yule mke ghafla anakosa mvuto anaonekana kituko wanaanza sasa kutaka kurevege walichokosa wakati wa ujana kipindi wanachafu kunuka hakuna mtu anawataka.

Ndio maana vijana now days wanashauriwa kuanza hustling mapema ila unakuwa smart unakamatia pisi kali na unakuwa unahang nazo za kutosha. Ukifika ile age unatulia na mkeo wako wa ujanani huku tayari umeshachakaza pisi kali.

Sasa wazee wanataka kulipa maisha ya ujana na huku mita ya umri inasoma age ni 70+. Huo umri sio tena wakuruka na vimada.

Huo umri wa kunywa kahawa safi, kutazama mifugo, kucheza na wajukuu, kuandaa holiday feast watoto na wajukuu waje kula sikukuu na mzee,kusafiri kufanya utalii wa ndani wa chakula na kubadili hali ya hewa. Kupanda mauwa na kuyatunza. Kufuta gari zako ziwe zinang'aa muda wote, kushauri vijana na kuwaguide.

Mzee anataka kukimbizana na vijana. Mimi yule Kylin nikipewa hapa kwanza nabidi nipate kama wiki moja hivi yya kula vizuri vyakula vya kujaza mwili nishati, ninywe maji mengi ndipo nikutane nae nimchoshe siku tatu mfululizo.

Mzee wa miaka 70+ anabwia viagra anataka kumchosha binti mbichi wa 30+.

Msyuuuuuuuuu
 
Ndio maana ikaitwa sheria.. Pole Jack nenda mbinguni ukakate rufaa maana hapa Duniani una chako kwenye timbwili ulilo lianzisha....
Chukua utakacho pewa kwani hiko ndio stahiki yako....
Funzo.. Mabint ukimuona Mzee ana mali ujue kachuma na wakwao..
Watamkausha hata amini
 
Vilevile kwa taratibu za kichaga ambazo ni mila na desturi za kitanzania mwanaume wa ukoo/ familia ndio anapaswa kuwa msimamizi wa miradhi na kiongozi wa familia kama mzee mwenye nyumba amefariki
Bi dada akataka kuwapiga Uturn wazee wa mila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…