Pole Jack ...mimi kama mwenyekiti msaidizi wa madangaji tanzania nimesikitishwa na hii hukumu,ila mwenzetu ulikosea sana ulitakiwa uwa include watoto wa mke wa kwanza kwenye urithi ikiwezekana mkae kama familia mjue mnagawana vipi...sasa wewe urithi wote ni wako na wanao...mbona hata haitaji ujuzi kutilia shaka haya maamuzi...??? hata kama alifanya kosa kuandika hivyo ungekua na chembe ya ubinadamu ungefikiria watoto wake wa mke wa kwanza na kumuomba Mengi aandike kwa watoto wote,ila mwenzangu sijui ni u-selfishness ama roho ya tamaa..leo unaachwa wazi...pole lakini