Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Vitu mob tu kwa wenye mitaji minene...Sio hio tu angekuwa ana import au export products abroad angekuwa mbali Sana
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitu mob tu kwa wenye mitaji minene...Sio hio tu angekuwa ana import au export products abroad angekuwa mbali Sana
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Pengine ndio next move ya familia ya mzee mengi, unless wasiwe na hiyo idea.Afu bila aibu eti "Atakayekata rufaa mahakamani na kushinda, apewe tshs buku moja" ... Yaani mwendazake aliamua kabisa kuipangia mahakama....???
Matusi mengine ni bora uitwe kuku asiyevaa viatu...
Jamaa wangeamua kufanya autopsy unaweza kukuta haka kaJaklini kalimdedisha mzee wa watu mara tu baada ya kuiweka will fake kwenye sidiria yake...
Yaani awauzie akina asha boko na mwajuma ndala ndefu Yale makochi wakati yeye Yuko level za Beyonce [emoji1]Yale makochi angeuza bei ya uchumi wa kati
Angewavuna kweli uswazi huku
Wangejibana wakacheza michezo na kuweka vibubu ili wanunue
Tunamzungumzia bilionea shayo dear.alilipa tra bilion 2.5 .Bado wakamfata Tena akajiua kifo kibaya Sana ile Dec yaani .sipendi kukumbukaWale watoto walipandikizwa, mzee aliwahitaji hawakuja bahati mbaya.
unatoka nje ya mstari kidg.Yaan sijui likwelile naye alikwamia wapi? Yaan sijui alizamaje kwa lile kubuhu malaya
Huyo madam plus kyln ni miongoni mwao tu. Hivi ulishawahi jiuliza alipataje mchongo wa benchmark.Nimeona hoja eti Mzee mengi aliishi na several concubines. Ina maana na yule Rita Paulsen wa Bongo Star search ni concubine.
Wadada lindeni legacy aisee. #MSITUMIE UCHI KUWIN LIFE#
Sheria mbovu za ndoa ndio zinasabaisha haya yote, na zinahatarisha maisha ya watu na umasikini, mali ni za Mwenye mali na warisi ni watoto wake, wazazi wake kama hawapo ni ndugu zake wa Kuzaliwa tumbo moja, hizi sheria za ndoa hata Ulaya na China walizibadilisha kwani Wanawake walikua wanazitumia kuwaibia Wanaume, na Kwa Sasa kila mtu kwenye ndoa anaingia na mali zake, na ukichuma mali hata kama uko kwenye ndoa mali ni za mtu mmoja, Mpaka atapoamua mwenyewe kumpa Mume au mke, Mwanaume akishakua na pesa wanawake wanaenda kukesha kwenye maombi ili afe wachukue mali. hizi sheria ziondolewe la sivyo Wanaume wasioe hapa, Wachukue wanawake wa Nje na ndoa zikafungiwe huko kwenye sheria nzuri za ndoa, na siku hizi wanawake wako kwenye mitandao ni rahisi kukamilisha kili kitu online.Case Ya Mirathi ya ya Dr. Reginald Mengi: Former Miss Tanzania Jackline Ntuyabaliwe adondokea pua kwa Mara Ya nane tena katika Rufaa
View attachment 1791249
View attachment 1790872
Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala ya Dar es Salaam imetoa uamuzi kuwa mtoto wa Marehemu Reginald Mengi;-Abdiel na kaka wa marehemu, Bw. Benjamin Mengi kuwa wasimamizi wa mirathi ya mali alizoacha marehemu (Reginald Mengi). Katika uamuzi huo, mahakama imeagiza usimamizi na mgawanyo wa mirathi uanze mara moja.
Akisoma hukumu hiyo yenye kurasa 72 mnamo Mei 18/2021 Jaji Mlyambina alisema kuwa wosia wa mwisho wa Marehemu Dkt. Mengi ulioandikwa Agosti 17,2017 haukuzingatia misingi ya kisheria ya uandishi wa wosia.
Katika shauri hilo watoto wa marehemu Dkt. Mengi walikuwa wakipinga wosia uliodaiwa kuachwa na Marehemu baba yao kwa madai kwamba wosia huo haukufungwa ‘sealed’ na saini iliyopo kwenye wosia huo ni tofauti na sahihi zingine za Marehemu na pia kwa wakati huo baba yao hakuwa na uwezo wa kuandika kutokana na matatizo makubwa ya kiafya aliyokuwa nayo tangu mwaka 2016.
Aidha watoto hao walidai kuwa wosia uliwabagua na urithi wote aliachiwa mkewe mpya na watoto mapacha na hivyo wosia huo ulikuwa kinyume na sheria sababu uliwabagua watoto bila sababu za msingi na za kisheria.
=====
Dar es Salaam. Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeukataa wosia uliokuwa ukidaiwa kuandikwa na aliyekuwa mfanyabiashara maarufu nchini marehemu Reginald Mengi pamoja na mambo mengine ikieleza kuwa haukidhi matakwa ya kisheria ili kuwa wosia halali.
Uamuzi huo ulitolewa jana na Jaji Yose Mlyambina kufuatia shauri la mirathi lililokuwa limefunguliwa na watu wanne wakiwemo ndugu wa marehemu, wakiomba kuteuliwa kuwa wasimamizi wa mirathi hiyo.
Jaji Mlyambina amefikia uamuzi huo baada ya kukubaliana na hoja za pingamizi lililowekwa na mmoja wa watoto wakubwa wa marehemu Mengi pamoja na ndugu yake marehemu Mengi, waliokuwa wakipinga uhalali wa wosia huo.
Shauri hilo la mirathi namba 39 la mwaka 2019 lilifunguliwa na Benson Benjamin Mengi, William Onesmo Mushi, Zoebu Hassuji na Sylvia Novatus Mushi wakiomba kuteuliwa kuwa wasimamizi mirathi hiyo kwa mujibu wa wosia huo.
Hata hivyo, mtoto wa Marehemu Mengi, Abdiel Reginald Mengi na ndugu wa marehemu Mengi, Benjamin Abraham Mengi, waliweka pingamizi dhidi ya wosia huo, wakipinga uhalali wake huku wakiwasilisha jumla ya sababu nne za kuupinga.
Sababu hizo ni pamoja na kwamba haukwa umepigwa mhuri na saini iliyokuwepo ilikuwa ni tofauti na saini ya kawaida ya marehemu Mengi na kwamba haukushuhudiwa na ndugu au mke wa marehemu.
Pia walikuwa wakidai kuwa marehemu hakuwa na uwezo wa kuandaa wosia kwa kuwa alikuwa na matatizo ya kiafya tangu mwaka 2016 na kwamba unaondoa katika urithi, watoto bila kuzingatia mila za Kichaga au kuhusisha ndugu.
Mahakama Kuu baada ya kusikiliza hoja za pande zote katika hukumu yake iliyosomwa juzi na Jaji Mlyambina na nakala yake kupatikana jana kwa matumizi ya umma, alikubaliana na hoja za pingamizi hilo dhidi ya wosia huo na kuikataa kuwa ni batili.
Jaji Mlyambina alikubaliana na sababu hizo za pingamizi na pamoja na mambo mengine, amesema kuwa inawanyima urithi wanaye bila kutoa sababu, na kwamba ziliiingizwa mali za mke wake mkubwa.
Kwa uamuzi huo, Jaji Mlyambina hakuwateua waombaji hao kuwa wasimamizi wa mirathi na badala yake aliwateua Abdiel na Benjamini kuwa wasimamizi wa mirathi na akaelekeza mali za marehemu zigawiwe warithi wanaostahili kwa utaratibu wa kawaida kama wa mtu ambaye hakuacha wosia.
Awali mjane wa marehemu Mengi, Jacquiline alijaribu kuingia katika shauri hilo bila mafanikio baada ya mahakama hiyo kutupilia mbali maombi yake mara tatu.
Credit: Mwananchi
Zaidi soma;
1). Thread 'Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali' Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali
2). Thread 'Hatimaye K Lyn (Jacqueline Ntuyabaliwe) achumbiwa na Reginald Mengi' Hatimaye K Lyn (Jacqueline Ntuyabaliwe) achumbiwa na Reginald Mengi
3). Thread 'Watoto wa Mengi wamburuza mahakamani Jacqueline Mengi "Klynn"' Watoto wa Mengi wamburuza mahakamani Jacqueline Mengi "Klynn"
4). Thread 'Unaodaiwa kuwa wosia wa Reginald Mengi huu hapa, mali zote ni za Jacqueline na watoto wake mapacha' Unaodaiwa kuwa wosia wa Reginald Mengi huu hapa, mali zote ni za Jacqueline na watoto wake mapacha
5). Thread 'Miaka 5 ya Anniversary ya Reginald Mengi na Jackline Mengi wote wafunguka' Miaka 5 ya Anniversary ya Reginald Mengi na Jackline Mengi wote wafunguka
6). Thread 'TANZIA: Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE' TANZIA: Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE
Mkuu sheria haisemi hivyo.Kaka wa marehemu anakuwaje msimamizi wa mirathi?
Sheria inasema mtu anapokufa bila wosia imsimamizi wa mirathi hawezi kuwa mtu ambae sio mrithi.
Sheria pia imetaja kanuni specific ambayo itatumika kugawanya mali ya marehemu, na imetaja watu specific ambao watarithi. Kaka wa marehemu hawamo.
Vyombo vya kusimamia sheria haviheshimu sheria, hapo ndio tunapokwamia.
Halafu watoto kuwachukua pia ni rahisi. We watoto siku zijazo wakija kuambiwa mama yenu kafanya 1,2,3 unadhani watakuja muelewa.Ata-enjoy urithi wa watoto wakati ameshazeeka!!!
Kwavile ameshaonesha makucha hatari since Day One, LAZIMA atachaguliwa mtu mwingine kuwa Msimamizi wa mali za watoto hadi watakapofika 18 or even 21. Na kwavile watoto bado wadogo sana, inaweza kufunguliwa hata formal trust ili kuhakikisha mali za watoto hazipotei!
Na kwavile ameshaonekana ni nyoka, there's no way huo usimamizi akaja kupewa Jack... sana sana atatafutwa kutoka miongoni mwa Ukoo wa Mengi!
Ile kesi Ina interest za kitaifa mkuu, haikua nyepesi ilipaswa aandike hukumu inayoeleweka.Jaji mshamba sana, hukumu gani ndefu hivi?
Na angefungua kampuni la bima angekuwa katoboa balaa. Ana base kubwa sana ya watu wanaomfahamu..... Angeweza kuweka mambo vema. Ila dah......hii sampuli sijui inashida gani?!Alijimix sana mle! Bora angefungua kampuni la Bima tu[emoji28][emoji28][emoji28] mtoto aliishi ndoto zake kupitia account za mzee Mengi
Na hapo ndio tungejua ni true love..... [emoji23][emoji23][emoji23]I concur [emoji28][emoji28][emoji28] mbona asimzimie mzee Jangala pale Kiwalani anasukuma kete za draft tu [emoji28][emoji28][emoji28]
Dah ... We jamaa umenifanya nikumbuke documentaries zangu pendwa "Forensic files"Pengine ndio next move ya familia ya mzee mengi, unless wasiwe na hiyo idea.
Lakini unajua magold digger huwa wanatumia mbinu moja kwa hawa mabilionea wazee. Anakuwa hatoki nje anakuwa anamganda mzee kutaka gemu muda wote, mzee hatoweza show bila viagra, sasa wazee wa umri above 60+ wakifululiza show huwa wanakuwa dhaifu sana miili. Plus hapo mwanamke atashawishi mzee ameze viagra kila wakikutana ili isimame, viagra ni kichochezi kikubwa sana cha Matatizo ya moyo.
Sasa unakuta mzeee kama mengi anapiga viagra na at the same time anatakiwa kurun business operations bado mwanamke kutaka awe busy na yeye na watoto. Lazima mzee apatwe na heart condition.
Kwa bongo sijajua kama we have that high standard professionalism when it comes to brains to perform such forensic assessments on dead and buried corpses.
Ingekuwa US hapo ni swala la kufungua file la upelelezi, mwili utafukuliwa mifupa itapimwa upya, then medical records and history ya marehemu, routine za hospital, mizunguko ya bi dada, mahusiano yake, nani alikuwa involved nae kipindi hicho chote akiwa na mzee hadi sasa.
Mbona wanabust mchana kweupe tu bila chenga na mtu anasomewa mashtaka yake mchana kweupe.
Swala sio kumtenga, bali swala ni kwann anatengwa. Na jibu ni simple kuwa for the past few years akiwa na mzee amekuwa akibehave very suspicious na anaonekana kuwa na mipango ya siri kufilisi mali ya marehemu.Sasa inawakuwaje watoto waliozaliwa na jaq wanatambuliwa ila mama(jaq) wamtenge? Sheria si zinasema mkishakaa na m/ke(me) zaidi ya miezi sita ni mkeo/mme by default.
Ndugu nakuambia ukweli, jacky ana hali mbaya sana. Na nimekuambia hapo tu kuna mambo amefanyiwa hisani. Angekua ndani saa hizi. Hilo ulielewe or else akajioalie makaa. Anataka endelea poteza hela zake tu. Hana akili. Mali za marehem mercy pia anataka jimilikisha ilihali tu si za mengi? Huoni wosia una tatizo? Hapa jacky anahurumiwa tu ili kuficha aibu mkuu.Surely we can not speculate what the court of appeal will decide but can say in passing, as you have suggested, that the reasons advanced by the trial judge are strong and sound, it might be an uphill track for the would be appelant
Wanaazaa kama uchafu aisee. Hawajui kabisa kuulinda mkojo waoWachaga hawatumii condom ndo shida kuzaa tu ovyo
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Huyu ana Nicole Smith umenikumbusha Kuna segment Fulani hivi kwenye movie ya shooter ya Mark Wahlberg alienda kwa Yule mzee mtaalamu wa shooting stuffs na Yule FBI Memphis kule Tennessee mzee akawaambia "......ana Nicole Smith married for love..." Jamaa wakacheka[emoji1787][emoji1787]Lazima alikuwa inpired na stori ya Anna Nicole Smith
How Anna Nicole Smith Ended Up Marrying an 89-year-old
View attachment 1791254