miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
[emoji23][emoji23][emoji23] punguza hasira mkuu. Kaka qa marehem amekua msimamizi sinze day one. Na wosia origional ulikua unamtambua.Kaka wa marehemu anakuwaje msimamizi wa mirathi?
Sheria inasema mtu anapokufa bila wosia imsimamizi wa mirathi hawezi kuwa mtu ambae sio mrithi.
Sheria pia imetaja kanuni specific ambayo itatumika kugawanya mali ya marehemu, na imetaja watu specific ambao watarithi. Kaka wa marehemu hawamo.
Vyombo vya kusimamia sheria haviheshimu sheria, hapo ndio tunapokwamia.
Halaf unapaswa utambue kila jamii ziko taratibu zake. Uchaggani wenye power ni ndugu wa mwanaume. Huwasimamia familia ya mwendazake. Baba mdogo amelua akifanya biashara since day one na nduguye. Linakushangaza lipi na ni mtendaji pale. Ulitaka klyn akaendeshe nn pale? Kwa taaluma ipi na experience? Masofa yamemsginda ndo angeyaweza ya media?