miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Hahaja itakuaje sasa jamanitatizo ni kale kanyama katikati ya mapaja.. yaani akili zote zinapoteage tukishakaona.. daaaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaja itakuaje sasa jamanitatizo ni kale kanyama katikati ya mapaja.. yaani akili zote zinapoteage tukishakaona.. daaaha
Hoja 1: ni usimamizi wa mirathi
Hoja 2:mgawanyo ufanyike kwa wahusika wote mara moja ikiwa ni pamoja na huyo mrembo.
Mytake:sasa shida iko wapi maana naona wachangiaji wote wanamshambulia jack.
Hakuna mchangiaji hata mmoja aliyeelewa tafsiri ya hiyo
Hakuna mwanamke yeyote ataunga mkono ufedhuli wakonitahamasisha huyu dada asaidiwe na chama cha mawakili wanawake wote, pia tunaomba LHRC iingilie kumsaidia huyu MJANE anaye nyanyasika na kuminywa kisa ni mwanamke,
Hapana,
Tunaomba HAKI itendeke.
KESI HIII ITAKUWA YA MFANO.
HAYA NI MAPAMBANO KATI YA FAMILIA YA KITAJIRI KWA UPANDE MMOJA NA MWANAMKE MJANE ASIYE NA NGUVU KUBWA YA KIUCHUMI.
NANI MSHINDI?
Huu wasia wa marehemu mengi unapotoshwa kwa makusudi, mRa ohh saini imekosewa mara ohhh haukufungwa hizi hoja gani za ajabu kabisa, acheni kumdhulumu mjane.
Haogopi hata Mungu ,Huyu dada kashindwa kutafuta hela zake mwenyewe, anataka kutumbua za huyu Mzee wa watu aliyechuma miaka nenda rudi tena kwa shida kubwa.
Biashara zote alizoanzishiwa zilikufa, amebaki na dr Mengi Foundation na Dr Ntuyabaliwe FoundationSasa Jackie alidhani atashinda kweli mirathi ya kihuni ile iliyosomwa? Tangu lini mtu akawadeny watoto urithi mali ambazo kachuma na mke wake ambaye ni mama wa watoto ho anaowanyima bila sababu za msingi kutolewa?
Isitoshe mali yenyewe kaikuta na yeye alianzishiwa vya kwake!!! Mi naona alishikwa na tamaa tu. Bila mali hi halali ya watoto wa Mercy Mengi mbna Jackie anaishi vizuri tu na mwanaye????
Cha msingi hiyo biashara aliyoanzishiwa aiendeshe vizuri tu. Kama Mengi alikuwa ndiyo sababu ya kushamiri hiyo biashara basi pole zake!!!!
Watoto wanasomeshwa na IPP na kulelewa hao ndugu zao school fees bei milioni almost 90million kwa mwaka kila mtoto hisipokua mama Yao ndio kibuli alishauliwa wamalize kifamilia akakataaaUshauri kwa watoto wa Mengi...Msijitwishe Dhambi...Huyu Ni mama yenu mdogo..Kaeni nae mkubaliane wadogo zenu wale wapate matumizi yote kama Baba Yao alivyokuepo wakikua wajoin kampuni.
KWA Jack achana na matapeli wa mjini watakula japo vijisenti vidogo ulivyonavyo wakikudanganya...anzisha biashara yako una jina la mzee pambana utatoka.
JENGA harmony na wale watoto wakubwa wa Mumeo hata katika Mazingira haya magumu haya mambo yaishe....Ukiwafuata Mawakili hawa waongo waongo watakuumiza.Watakula hela zote Utashangaa.
Haijalishi historia. Uamuzi ni wa mwenye mali. Walitalikiana, je hawakugawana mali wakati huo? Yaani Mercy aliondoka tu? Mercy hakumjua Jacquelyn?Aiseer. Weee nayeee... mali zake peke yake? Unaijua historia vizuri ya marehem na mkewe Mercy Shangali mjukuu wa mangi wewe? Ama wapaparika tu. Huoni hapo mali zingine zilikua za mke mkubwa? Kama hujuagi vitu tulia ufunzwe sheria japi kidogo. Mali za marehem mercy zinakuaje za mengi? Wosia wa marehem? Una kichaa kweli wewe. Ule unaamini ni wosia wa marehemu ule?
Usanii mtupu na wizi! Miaka 50 hadi 60 ijayo aliyeandaa no baba yao sio nut mwingine yeyote!Kaka mtu amesema ukisoma katika hiyo hukumu, anataka awaandae hao watoto ili waje kuendeleza mali ya familia kwa miaka 50 hadi 60 mbele.
Mapenzi upofu, si kampenda mwenyewe? Hakuna wakuingilia hapo. Tukumbuke imeandikwa, ' mwanaume atamwacha baba na mamaye, na kuambatana na mkewe'Marehemu alimpenda sana Jacky, angekua anaona wanachomfanyia asingefurahi,
Maana ya wosia/ will ni nini? Si ni matakwa ya aliyefariki kwa waliobaki hai? Matakwa yaheshimiwe, la sivyo haina maana kuacha urithi ukiwa ndani ya wosia wa mwisho.Haujui sheria za mirathi, kaa kwa kutulia.
Alipewa zaidi ya hiyo billion tatu kwenye mahusiano yaoAh kila mwanamke yupo onna mission...kuoata mwanaume mwenye mihela....wanawake wanaangalia lofe lipo wapi na sio kwamba wanapenda.
Yeye alichobugi ni kwamba kabla ya kuzaa wale watoto angempiga pin kibabu. Kwanza weka billon tatu kwenye account yangu ndio nakuzalia. Tena una mwambia kabisa mzee kuwa hizo mali za huko nyuma ulizochuma na mkewe ni haki ya hao watoto wako wakubwa. Mie niwekee fungu langu kabisa ndio nakuzalia ili nisije kuvutana shati na watoto wako.
Easy mkuu...sijadiscourage tunaangalia na nn soko linataka atiYameisha mkuu but usi-discourage field za watu, field nyingi bongo haziheshimiwi sababu hazifanywi katika viwango vinavyostahili, bidada kama kashindwa biashara basi ni kwasababu strategy yake haikuwa nzuri lakini si kwasabu alichagua biashara mbaya. Peace
He!!!! Akauze umodel basi!!!!Haogopi hata Mungu ,
Biashara zote alizoanzishiwa zilikufa, amebaki na dr Mengi Foundation na Dr Ntuyabaliwe Foundation
Interior designing ina miaka mingi tu zaidi ya 10, watu wanafanya na wamekuwa wanafanya shughuli za interior designing, ila hilo neno, 'interior designing ' linaonekana kama jipya hivii kibongo bongo. Kimsingi inahusisha mambo mengi tu.Umenena kweli mkuu lakini unaangalia na soko lako..hizi mambo za interior desgn kibongongo ni wachache wanauelewa nazo..ni kama hazina hata 10yrs kuingia hapa .kupenetrate kwake nako mtihani .anywys wako wanaofford kununua hizo stuli za 3m...!
Swali...kwanini sasa ameshindwa hiyo biashaea yake ukizingatia mtaji alikua nao uhakika ?
Bosi mbona kama una maslahi binafsi na hili?[emoji28][emoji28][emoji28]jokeMkuu, kuhusu huu wosia hata usijioe mawazo bestie. Siye close people understand it to some extent. Jacky played a foul. The player got played. Hakuna kitu kama kile. Ule wosia siyo. Na mengi ni msomi na ana exposure. Wosia una taratibu zake. Na unajulikana. Ule siyo wosia ni takataka. Dhuluma ya nn. Wosia gani unainclude mali ambazo ni za mke mkubwa ambazo walishagawana zamani kns huko? Mambo mengi hakua well informed ndo maana makando kando mengi. She is not smart enough. Her 'K' is not a CAREER.
Umenikumbusha mbali sana chief.. scene zake zilikua zikifika miaka hiyo wote tumekaa sebleni utaona kila mtu anaenda njia yake anajua tu kinachofatia.. time fliesHuyu dada enzi za balehe alinisitiri sana. Nilikuwa namla wiki nzima. Naweka mkanda wa movie yake, napeleka mbele hadi scene ya majambozi, aaaaaah hapo break ya kwanza kilele cha mlima kilimanjaro.
Issue sio kupata au kukosa baada ya hii hukumu.. issue ni alichokifanya hakikuwa sahihi / cha kibinadamu na kina elimu ndani yake ili wengine tujifunzeJust an observation: some are happy with the decision [as if they were finna get some of the bread] and some are mad about it [as if they’ve been denied the bread].
Weird shit [emoji16].
But hey…what does lil’ ‘ol me know!!
Maybe some folks live vicariously through those folks [emoji2369]
Nadhani kwa sababu yeye si mfanya biashara na hakutaka kujifunza kwa reginald bali alimegemea sana marehemu. Marehemu akiondoka lazima biashara iondoke naye.Interior designing ina miaka mingi tu zaidi ya 10, watu wanafanya na wamekuwa wanafanya shughuli za interior designing, ila hilo neno, 'interior designing ' linaonekana kama jipya hivii kibongo bongo. Kimsingi inahusisha mambo mengi tu.
Imagine, Mama zetu waliokuwa wanasuka vitambaa vya mezani, vya makochi, mashuka ya kufuma na mkono linachorwa ua, Baba zetu na useremala n.k
Sasa suala la Jack kushindwa biashara kama ameshindwa, huenda lina sababu nyingi tu ambazo nyingine hatuzijui sisi ila si kwamba choice ya biashara yake....
Binafsi, nafahamu watu kadhaa kwenye tasnia ya interior designing tena wameanza kwa ugumu mnoo na kuunga sana lakini wanatengeneza pesa vizuri sana, sasa kwanini Jack ashindwe??? Je tatizo yeye au biashara????
Si kila wosia ni halali. Wosia lazima ukidhi matakwa ya kisheria. Mengi ni msomi mzuri na mwenye uzoefu mwingi asingeweza kuondika wosia wa kihuni kama ule!Maana ya wosia/ will ni nini? Si ni matakwa ya aliyefariki kwa waliobaki hai? Matakwa yaheshimiwe, la sivyo haina maana kuacha urithi ukiwa ndani ya wosia wa mwisho.