Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua


Ratio decidendi (Latin plural rationes decidendi) is a Latin phrase meaning "the reason" or "the rationale for the decision". The ratio decidendi is "the point in a case that determines the judgement" or "the principle that the case establishes


(a) Intention of Deceased Test.

(b) Mode of Life Test

(c) Dominant Part Test.
 
Hakuna mwanamke yeyote ataunga mkono ufedhuli wako
 
Huyu dada kashindwa kutafuta hela zake mwenyewe, anataka kutumbua za huyu Mzee wa watu aliyechuma miaka nenda rudi tena kwa shida kubwa.
Haogopi hata Mungu ,
Biashara zote alizoanzishiwa zilikufa, amebaki na dr Mengi Foundation na Dr Ntuyabaliwe Foundation
 
Watoto wanasomeshwa na IPP na kulelewa hao ndugu zao school fees bei milioni almost 90million kwa mwaka kila mtoto hisipokua mama Yao ndio kibuli alishauliwa wamalize kifamilia akakataaa
 
Haijalishi historia. Uamuzi ni wa mwenye mali. Walitalikiana, je hawakugawana mali wakati huo? Yaani Mercy aliondoka tu? Mercy hakumjua Jacquelyn?
Yote haya yanatokea kwa kuwa wahusika wamefariki, na wenye tamaa wanatumia sheria mbovu za Tz kupindua mambo. Ila Reginald na Mercy walishaweka kila kitu sawa, na wote waliridhia!
 
Kaka mtu amesema ukisoma katika hiyo hukumu, anataka awaandae hao watoto ili waje kuendeleza mali ya familia kwa miaka 50 hadi 60 mbele.
Usanii mtupu na wizi! Miaka 50 hadi 60 ijayo aliyeandaa no baba yao sio nut mwingine yeyote!
 
Sasa inawakuwaje watoto waliozaliwa na jaq wanatambuliwa ila mama(jaq) wamtenge? Sheria si zinasema mkishakaa na m/ke(me) zaidi ya miezi sita ni mkeo/mme by default.
Na sheria inatambua ndoa ngapi za kanisani ?
 
Marehemu alimpenda sana Jacky, angekua anaona wanachomfanyia asingefurahi,
Mapenzi upofu, si kampenda mwenyewe? Hakuna wakuingilia hapo. Tukumbuke imeandikwa, ' mwanaume atamwacha baba na mamaye, na kuambatana na mkewe'
Kama baba na mama wanaweza kuachwa, kaka na watoto walio watu wazima tayari na shughuli zao wanategemea nini?
 
Haujui sheria za mirathi, kaa kwa kutulia.
Maana ya wosia/ will ni nini? Si ni matakwa ya aliyefariki kwa waliobaki hai? Matakwa yaheshimiwe, la sivyo haina maana kuacha urithi ukiwa ndani ya wosia wa mwisho.
 
Alipewa zaidi ya hiyo billion tatu kwenye mahusiano yao
 
Easy mkuu...sijadiscourage tunaangalia na nn soko linataka ati
 
Interior designing ina miaka mingi tu zaidi ya 10, watu wanafanya na wamekuwa wanafanya shughuli za interior designing, ila hilo neno, 'interior designing ' linaonekana kama jipya hivii kibongo bongo. Kimsingi inahusisha mambo mengi tu.

Imagine, Mama zetu waliokuwa wanasuka vitambaa vya mezani, vya makochi, mashuka ya kufuma na mkono linachorwa ua, Baba zetu na useremala n.k

Sasa suala la Jack kushindwa biashara kama ameshindwa, huenda lina sababu nyingi tu ambazo nyingine hatuzijui sisi ila si kwamba choice ya biashara yake....

Binafsi, nafahamu watu kadhaa kwenye tasnia ya interior designing tena wameanza kwa ugumu mnoo na kuunga sana lakini wanatengeneza pesa vizuri sana, sasa kwanini Jack ashindwe??? Je tatizo yeye au biashara????
 
Bosi mbona kama una maslahi binafsi na hili?[emoji28][emoji28][emoji28]joke
 
Huyu binti nae mjinga alitaka kuitumia mbususu kama mtaji , hana tofauti na wadangaji , Ndio tabu ya wanawake wasi0 critical thinkers
 
Huyu dada enzi za balehe alinisitiri sana. Nilikuwa namla wiki nzima. Naweka mkanda wa movie yake, napeleka mbele hadi scene ya majambozi, aaaaaah hapo break ya kwanza kilele cha mlima kilimanjaro.
Umenikumbusha mbali sana chief.. scene zake zilikua zikifika miaka hiyo wote tumekaa sebleni utaona kila mtu anaenda njia yake anajua tu kinachofatia.. time flies

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Issue sio kupata au kukosa baada ya hii hukumu.. issue ni alichokifanya hakikuwa sahihi / cha kibinadamu na kina elimu ndani yake ili wengine tujifunze

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Nadhani kwa sababu yeye si mfanya biashara na hakutaka kujifunza kwa reginald bali alimegemea sana marehemu. Marehemu akiondoka lazima biashara iondoke naye.
 
Maana ya wosia/ will ni nini? Si ni matakwa ya aliyefariki kwa waliobaki hai? Matakwa yaheshimiwe, la sivyo haina maana kuacha urithi ukiwa ndani ya wosia wa mwisho.
Si kila wosia ni halali. Wosia lazima ukidhi matakwa ya kisheria. Mengi ni msomi mzuri na mwenye uzoefu mwingi asingeweza kuondika wosia wa kihuni kama ule!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…