tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Ilitakiwa apewe kesi ya kugushi haraka ndio dawa ya mdangajiJk ndo anazingua hapa na wema wake na ustaarabu[emoji23][emoji23] hili kahana lina mengi yanamuelemea basi tu watanzania ni wakarimu
Sio dhambi anapaswa apewe kesi ya kughushiJacky sio kwa tamaa hizo unawezaje kuwa mchoyo kwa mali ambazo hukutafuta? Ku gush will ni dhambi.
Iko chini ya jina la ipp,mwendazake mali zote alikua anaweka jina la kampuni sio lakeIla lile hekalu walijenga wakiwa na jacky
Yes. Siyo fununu. Hakutoa. Japo kuna amount aliitoa akaachiwa alipokua amekamatwa yeye na nduguye.Fununu hakutoa hiyo 2.5bn aliona kuliko kuwalipa heri ajiue,mali ibaki
We naye[emoji706][emoji706][emoji706]Acha ukunduma wewe! Mmekaa mnajadili ndoa za watu na mirathi ..maskin ni maskin tu
Haswaaaa.... yaan anakwaza kweliIlitakiwa apewe kesi ya kugushi haraka ndio dawa ya mdangaji
Familia ya mwanaume na mwanamke zilikutana ofisi yya mkuu wa wilaya, wakakubaliana kuwa watakwenda kumalizana nyumbani katika vikao vya familia.
Watoto wote wakahamia upande wa mama na ndugu za mama wamewatia sumu balaa. Madogo kwenye kikao wanampa makavu bibi yao mzaa baba na mashangazi as if hawawafahamu.
Hujanielewa mkuu. Mke wa msuya si mmachame? Msuya najua ni wapare. Ila mke navyojua ni mmachame. Correct me hapa kama nimekosea. Lile toto ovyo sana aisee. Sijapata onaWale ni wapare hakuna mchaga anaitwa msuya,dogo element z upunga anazo...hakuna mirathi inasimamiwa n ndgu wa mke
Hawezi Kukata Rufaa Maana Hakuwa Sehemu Ya Wadaawa, Labda afanye Marejeo Ambayo Nayo Hawezi Kufuta Maamuzi Ya AwaliJack akate rufaa.
Wajane wananyanyasika sana
Hao watoto cnc 2000 wanaendesha kampuni ya ipp,huyo malaya yeye kaja amekuta kila kitu sanasana kasababisha hasara kwa matumizi makubwa ya pesa kwenye matanuzi
[emoji16][emoji16]kwani bill anataka mrundiJacky ana akili ndogo sana........ wenzie wamestruggle tangu late 80s hadi kuja kusimamisha makampuni 90s leo anataka kuchukua kila kitu????
Atulie watoto wasomeshwe
Apate nyumba ya kuishi
Alipiwe bills
Kama vipi awahi kwa Bill Gates
kwanza mali gani aliyotafuta na mengi?sina udugu na huyo mjane wala simjui zaidi ya kusoma na kufuatilia kesi yake.
ila mimi huwa sipendi MTU YEYOTE KUDHULUMIWA HAKI YAKE. huwa natamani ardhi ipasuke ninapoona mtu anadhulumiwa haki yake au kunyanyaswa.
Haki ya huyo mjane iko wazi kabisa.
kwanza mali gani aliyotafuta na mengi?
Kwa mujibu wa maandiko wamesema 'mwanaume atamwacha baba na mamaye, na kuambatana na mkewe', hawakusema babu kutoka ipp atafukuzia mdada mdangajiMapenzi upofu, si kampenda mwenyewe? Hakuna wakuingilia hapo. Tukumbuke imeandikwa, ' mwanaume atamwacha baba na mamaye, na kuambatana na mkewe'
Kama baba na mama wanaweza kuachwa, kaka na watoto walio watu wazima tayari na shughuli zao wanategemea nini?
[emoji23][emoji23][emoji23]Umenikumbusha mbali sana chief.. scene zake zilikua zikifika miaka hiyo wote tumekaa sebleni utaona kila mtu anaenda njia yake anajua tu kinachofatia.. time flies
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Hivi huyu jacky kwani ile biashara yake yaan furnitures imeishia wapi?Jack tatizo alikuwa ana tamaa sana, yeye angewazuga hata kidogo.
Mtu baba yake asipate urithi hata kidogo eti alipata kwa mama yao, ngumu sana aisee.
Ni bora hata angewagana nao nusu kwa nusu, ila pamoja na yote kuwa na wale watoto wadogo hawezi kusahaulika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu eti kama wakienda kupinga huo wosia mahakamani wapewe shilingi elfu moja[emoji23][emoji23][emoji23]