Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Pale hakuna kesi toka lini ndgu wa mke wakawa wasimamizi wa mirathi?,istoshe hukumu ya mama yao itatoka mwaka huu n atapoteza usimamizi wa mirathi period
Familia ya mwanaume na mwanamke zilikutana ofisi yya mkuu wa wilaya, wakakubaliana kuwa watakwenda kumalizana nyumbani katika vikao vya familia.

Watoto wote wakahamia upande wa mama na ndugu za mama wamewatia sumu balaa. Madogo kwenye kikao wanampa makavu bibi yao mzaa baba na mashangazi as if hawawafahamu.
 
Wale ni wapare hakuna mchaga anaitwa msuya,dogo element z upunga anazo...hakuna mirathi inasimamiwa n ndgu wa mke
Hujanielewa mkuu. Mke wa msuya si mmachame? Msuya najua ni wapare. Ila mke navyojua ni mmachame. Correct me hapa kama nimekosea. Lile toto ovyo sana aisee. Sijapata ona
 
Jack angemwambiaga Marehemu Mengi kwenye Wosia wa urithi ampe ata 30% ya mali , haya mengine yote leo hii yasingetokea.
 
Hao watoto cnc 2000 wanaendesha kampuni ya ipp,huyo malaya yeye kaja amekuta kila kitu sanasana kasababisha hasara kwa matumizi makubwa ya pesa kwenye matanuzi

Jacky ana akili ndogo sana........ wenzie wamestruggle tangu late 80s hadi kuja kusimamisha makampuni 90s leo anataka kuchukua kila kitu????

Atulie watoto wasomeshwe
Apate nyumba ya kuishi
Alipiwe bills

Kama vipi awahi kwa Bill Gates
 
Jacky ana akili ndogo sana........ wenzie wamestruggle tangu late 80s hadi kuja kusimamisha makampuni 90s leo anataka kuchukua kila kitu????

Atulie watoto wasomeshwe
Apate nyumba ya kuishi
Alipiwe bills

Kama vipi awahi kwa Bill Gates
[emoji16][emoji16]kwani bill anataka mrundi
 
Fun enough alijisahaulisha kuwa anapaswa aheshimu watu maana sponsor hufariki, mbaya zaidi hakutengenza mazingira bora ya kuwa na asset kwa ownership yake akiamini Mungu ni Athuman. Funzo zuri kwa golddiggers wengine. Pole yake
 
Mapenzi upofu, si kampenda mwenyewe? Hakuna wakuingilia hapo. Tukumbuke imeandikwa, ' mwanaume atamwacha baba na mamaye, na kuambatana na mkewe'
Kama baba na mama wanaweza kuachwa, kaka na watoto walio watu wazima tayari na shughuli zao wanategemea nini?
Kwa mujibu wa maandiko wamesema 'mwanaume atamwacha baba na mamaye, na kuambatana na mkewe', hawakusema babu kutoka ipp atafukuzia mdada mdangaji
 
Jack tatizo alikuwa ana tamaa sana, yeye angewazuga hata kidogo.

Mtu baba yake asipate urithi hata kidogo eti alipata kwa mama yao, ngumu sana aisee.

Ni bora hata angewagana nao nusu kwa nusu, ila pamoja na yote kuwa na wale watoto wadogo hawezi kusahaulika
Hivi huyu jacky kwani ile biashara yake yaan furnitures imeishia wapi?
 
Back
Top Bottom