miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Exactly. Alikua anawanyima. Na atuambie kule hotelini alimfanya nn huyu mzee. Ila jj anatunyima uhondoo[emoji28]Alikua anawaficha kuusu Mzee kuumwa nadhani kuna kitu alikua anafanya ili afe au alijua akitoa taarifa wangemuokoa, Hii ya Dubai ilimshinda financially halafu ni Ugenini ikabidi atoe taarifa
Hakuna ndugu wa mume aliekua analuusiwa kwenda kwenye ile nyumba ya kyln wakati mume yupo hai
Eeh, hata hilo lizungu bila aibu linaenda hapohapo kushinda aisee. Walifikiri watahamisha assets za kitaifa. Kenge kweli. Navyoogopa tumia visivyo vyangu. Huyo mwanaume lazima ni mariooNa mabwana zake wanatumia magari hayo hayo
Umeipata wapiNimeisoma hiyo hukumu ndefu sana.
Page 72 sio mchezo.
si alikuwa anakampuni yake sijui ya fenicha....na ikapataga award ya kizungumkuti....sijui iliishia wapi...anyways anaweza akarudi kuimba live band pale Elements masakiYaani Jack bwana ...muda ule ilikuwa muda mzuri sana kufungua kampuni yake akakimbizana nayo ikasimama..mweee kwenye miti jamani!
😀😀😀 aimbe mke wa bilionea..labda aimbe for passion..si alikuwa anakampuni yake sijui ya fenicha....na ikapataga award ya kizungumkuti....sijui iliishia wapi...anyways anaweza akarudi kuimba live band pale Elements masaki
tatizo unatumia mshipa wa wowowo kufikiri....lazima utamwaga uharo hapa wa kutosha........ukishapata mume tajiri wa level zile za Mengi hautaongea haya mapumba hapa...Mkuu.. ujue nimejaribu kufikiria juu ya hoja ya kukosa hofu ya Mungu. Hivi unadhani mtu akiwa na hofu ya Mungu kweli anaweza kufanya hivi? Ujue inahitaji roho ya kikatili sana? Ujue sisi ni wadhambi, siyo malaika. Lakini kuna matukio yanaogopesha sana. Mtu ukiwa na hofu ya Mungu sidhani kama unaweza fanya dhuluma hivi. Jamani... mume wangu hata awe bilionea vipi, yaan kama ni jasho lake wallah sitokaa niwahi jifikirisha ni sehemu ya mali zangu. Sitaki kabisa. Awape watoto wake. Nitahesabu kitu ni chetu endapo tu tutafanya mradi pamoja. Hilo tuu. Lakini hata tuwemo kwenye ndoa sishtuki haataaa... one day nilimweleza mama yangu, akiona anakaribia kufa awagawie wanaye wawili mali zake ama auze[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au nitakua si mchagga ndugu yangu. Hapa tu ndo naposhushuliwa. Mali za watu ambazo sijazitolea jasho hazilegezi kabisa mshipa wangu wa wowowo... naamini hofu ya Mungu ndo kila kitu
HahahahaWe naye umetokea wapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji706][emoji706]
👊👊Huyu dada kashindwa kutafuta hela zake mwenyewe, anataka kutumbua za huyu Mzee wa watu aliyechuma miaka nenda rudi tena kwa shida kubwa.
Wachaga unawajua? wanachukua mali zote...kama asipoangalia watamtimua hata kwenye hiyo nyumba anayoishi sasa...then awe kama billionaire Shika😀😀😀 aimbe mke wa bilionea..labda aimbe for passion..
Yap waweza batilishwa kama umekaa kionevu pia kwa jinsi navojua km huo wa mzee Mengi tena huku Africa wosia hauna nguvu sanaa!Ukweli Kuna kitu nimejifunza. Kwamba wosia wa marehemu, unaweza kubatilishwa na mahakama? Na kwamba ulitaka kuandika wosia yafaa uhusishe mwanasheria kusudi wosia uwe Hali kisheria? Sijua, bado najiuliza. Mtu akifariki hawezi Tena kujitetea, inakuwaje alichotamka au kuandika Kama wosia kipingwe?
🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️duh noma ukute shost hn ht nyumbaWachaga unawajua? wanachukua mali zote...kama asipoangalia watamtimua hata kwenye hiyo nyumba anayoishi sasa...then awe kama billionaire Shika
Duh....Kwani huyu demu amekukosea nini....acha wivu ...Mzee Mengi ilitakiwa aweke mambo sawa zamani sana...Jacky aliona kuna fursa ndiyo akapenya hapo hapo....kwa akili za mademu wa kibongo wote mngefanya hivyo hivyo shubaamit!Mkuu, kuhusu mke mkubwa siyo kigawiwa. Ni kugawana maana wote walikua ni shareholders. Usifanye kama mengi amefanya hisani. Sawa mkuu? Na kama ni muislam naomba usiweke mambo ya kiimani hapa. Mke wa kwanza ndo mmiliki qa biashara kadhaa ikiwamo bonite. Share za mke mkubwa waliachiwa watoto wake regina na abdiel. East africa tv ilikua ya mutie. Mutie aliwaachia nduguze refina na abdiel. Pia katika kampuni refina na meenziye abdiel waliachiwa ya kwao wao kama wao kwakua wana jasho lao pale. Imebaki ngapi? Unawezaje sema huyo mtu alikua timamu endapo tu ninkwlei aliandika huo wosia? Kuna machimbo etc. Biashara za familia. Huyo kahaba anarithije mali za familia ten ukoo ukisema familia unakosea. Atalamba loloooo.... sasa tueleze mengi anawezaje mmilikisha hawara yake mali za wengine? Sisi tunatambua ndoa ni moja takatifu. Na kule kilimanjaro ndo kabisaaaa... acha kitetea malaya
Yaani Jack bwana ...muda ule ilikuwa muda mzuri sana kufungua kampuni yake akakimbizana nayo ikasimama..mweee kwenye miti jamani!
Sidhani kama anapakukimbilia....inaonekana hakujiandaa au alichelewa timing...vinginevyo asingejihangaisha kugombea mali za wengine🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️duh noma ukute shost hn ht nyumba
Point..hapa inaoekana hana kitu maskini ya Mungu...dah kwenye miti kwel hakuna wajenziSidhani kama anapakukimbilia....inaonekana hakujiandaa au alichelewa timing...vinginevyo asingejihangaisha kugombea mali za wengine
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]tatizo unatumia mshipa wa wowowo kufikiri....lazima utamwaga uharo hapa wa kutosha........ukishapata mume tajiri wa level zile za Mengi hautaongea haya mapumba hapa...
Sijui wengine wanaibukiaga wapi...Hahahaha
Wewe kaka.. naomba utulize makalio yako. Kaa pembeni kabisa. Na fanya mambo yako. Sawa? Wivu wa nini? Ama nilikuambia nna njaa mimi? Tuliza hilo wezere lakoDuh....Kwani huyu demu amekukosea nini....acha wivu ...Mzee Mengi ilitakiwa aweke mambo sawa zamani sana...Jacky aliona kuna fursa ndiyo akapenya hapo hapo....kwa akili za mademu wa kibongo wote mngefanya hivyo hivyo shubaamit!
Anapo bwana. Hapo kinondoni ndo ameachiqa japo ndo kila kitu kiko under IPP. Kuanzia magari na kila kitu anapewa hizo huduma kitambo tu.Point..hapa inaoekana hana kitu maskini ya Mungu...dah kwenye miti kwel hakuna wajenzi