miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Ookey.Baada ya kupatanishwa ndiyo Mama akalamba na uteuzi viti maalumu bungeni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ookey.Baada ya kupatanishwa ndiyo Mama akalamba na uteuzi viti maalumu bungeni.
Huyu Viki Ana mambo, sie wahenga tunamkumbuka tangu enzi za kina Amina chifupa..walikuwaga na bifu zito na Amina akituhumiwa kutembea na mpakanjiaDuuh...basi atakuwa amepigwa kipapai kama ana kiherehere...maana mabalaa yanamuandama balaa
Namuona insta na yeye kila kitu mume wangu this mume wangu that kama Jacky tu[emoji848][emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Yan kabla hata hajapata urithi na yeye alianza kurithisha 😄😄😂😂😂Ukisoma lile andiko utaona amemtaja dada yake kuwa ata take over custody ya watoto incase yeye, mama yao akiwa hayupo.
Hivi Viki aliolewa lini maana Mimi tangu tangu alipopigwa tukio la ndoa hewa sikuwahi tena kusikia habari zake Hadi juzi Kati hapo alipofiwa na mume..nikajiuliza hee kumbe bi dada aliolewa
Kumbe! Ndoa yenyewe hata haijadumu kashakuwa mjaneAliolewa kimya kimya ndoa ya kiserikali,walifungia huko Geita,hakutaka tena mbwembwe za michango na wanakamati
Wataalamu wa sheria walitambua kuna uwezekano wa will kuchezewa..wakaweka sheria na kanuni kibao Ili kuhakikisha haki za KILA upande zinazingatiwaMaana ya wosia/ will ni nini? Si ni matakwa ya aliyefariki kwa waliobaki hai? Matakwa yaheshimiwe, la sivyo haina maana kuacha urithi ukiwa ndani ya wosia wa mwisho.
Mwaka gani ilikuwa dear?Huyu Viki Ana mambo, sie wahenga tunamkumbuka tangu enzi za kina Amina chifupa..walikuwaga na bifu zito na Amina akituhumiwa kutembea na mpakanjia
Unadhan mambo ni mepesi kama ulivyoandika hapa sio?? Jaribu kufungua yako ukimbizane nayoYaani Jack bwana ...muda ule ilikuwa muda mzuri sana kufungua kampuni yake akakimbizana nayo ikasimama..mweee kwenye miti jamani!
Aya umbea huoMwaka gani ilikuwa dear?
Na Amina tena duuh...basi mpana kama boksa la Lemutuz[emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
DuuhHuyu Viki Ana mambo, sie wahenga tunamkumbuka tangu enzi za kina Amina chifupa..walikuwaga na bifu zito na Amina akituhumiwa kutembea na mpakanjia
[emoji23][emoji23][emoji23] hata wewe ukizulumiwa nitakutetea.
Mkuu wosia usipompatia Urithi mrithi halali basi unakuwa ni BATILI.Haijalishi una akili timamu au la.Kama upo hai na unataka ukifa watu fulani wasirithi chochote basi unagawa ukiwa hai.Sio unaandika wosia wa kijing halafu unafikiri kuna sheria inalinda haki za wafu.hakuna sheria kama hio.So aliyefoji huo wosia angemwambia mzee amfanyie transfer akiwa HAI maisha yaendelee au angewagawia kidgo au angeuza kila kitu.Tuache Masikhara banaHakuna mgonjwa anayeweza kuratibu na kuandika wosia wa kiwango chenye weredi na uhakika kwa kiwango kile. Tuache masihara, ule ni wosia wa mtu mwenye akili timamu na akili kubwa sana.
Tuseme tu, wosia alioandika Mengi akiwa na akili timamu umekataliwa na Mahakama.
Ilikuwa miaka ya 2000 mwanzoni...kipindi hicho Amina alikuwa bado anafanya kazi clouds redio.....Basi Amina alikuwa anampiga vijembe redioni, na yeye akaona asishindwe akatoa wimbo wenye kijembe kwa Amina...nimesahau jina la wimboMwaka gani ilikuwa dear?
Na Amina tena duuh...basi mpana kama boksa la Lemutuz[emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ila maisha haya toka klyn amzike mengi hata kaburi hajawai liona eti. Jomoni[emoji23][emoji23][emoji23] hata wewe ukizulumiwa nitakutetea.
Anaingiaje kule kwa mfano na ni nyumba ya ukoo. Kwa kichagga lile ni boma la marehemu Mercy na siyo hawara mwingineyo yeyote yule. Ndo maana wakaendaga jenga hukooo japo ndo under IPP. ila pale atapasikia kwenye bombaIla maisha haya toka klyn amzike mengi hata kaburi hajawai liona eti. Jomoni
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Unadhan mambo ni mepesi kama ulivyoandika hapa sio?? Jaribu kufungua yako ukimbizane nayo
Mjengo wa msituni Ni wake??Anaingiaje kule kwa mfano na ni nyumba ya ukoo. Kwa kichagga lile ni boma la marehemu Mercy na siyo hawara mwingineyo yeyote yule. Ndo maana wakaendaga jenga hukooo japo ndo under IPP. ila pale atapasikia kwenye bomba
Uliona huo umbea?Anaingiaje kule kwa mfano na ni nyumba ya ukoo. Kwa kichagga lile ni boma la marehemu Mercy na siyo hawara mwingineyo yeyote yule. Ndo maana wakaendaga jenga hukooo japo ndo under IPP. ila pale atapasikia kwenye bomba