miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Vicky namfahamu vizuri na familia yake,tumekuwa pamoja. Kuna mambo mengine nikiongea naweza stuka akanijua mimi nani [emoji3][emoji3][emoji3]
Yule Tapeli sina uhakika kwa sasa yuko wapi kwakweli,lakini Vicky ndiyo huyo aliishia kujikabidhi kwa Dr Likwelile ambako nako mambo yanawaka moto kati yake na Watoto wa Marehemu,anataka kuleta ujuaji wa Jacky,lakini naona kule kadhibitiwa vizuri na uzuri familia yake Vicky ni wacha Mungu so hakuna anaempa hiyo support anayoitaka kuhusu swala la mirathi ya Marehemu Likwelile.
Tunasubiri muda tumsagie kunguni pia. Hatupendi tabia mbaya za kudhuliumu mali za mayatima