Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Ukishaona mdada anatembea na mtu mzima au mume wa mtu ujue huyo hana aibu kbs. Unaanzaje kumvulia baba yako nguo!?

[emoji23][emoji23][emoji23]aisee waja msituseme sana
Aibu tunazo
Msiseme sana hata nyie mkipata nafasi kama hizo mtazitumia vizuri
 
Inaonekana marehemu hakuwa kwenye good terms na watoto wake wakubwa
Haijalishi, ilimradi watoto hawakutembea na mke wa marehemu baba yao, na hawakukataa kumsaidia wakati anaumwa, sheria inasema ni lazima wapte urithi
 
sheria inapindishwa kwa hoja DHAIFU kabisa!!!
wanashindwa kuzingatia masilahi ya MWANAMKE MJANE kwa kuegemea hoja dhaifu?!!

1. saini ya marehemu imekosewa, hawasemi imekosewaje na kama sio ya marehemu inamaana basi mjane kafoji?! acheni kumdhulumu mjane, mpeni haki yake.
Sheria inasema, ilimradi watoto hawakutembea na mke wa baba yao, na hawakukataa kumsaidia kipindi anaumwa, basi ni lazima wapewe urithi, chochote kinyumecna hapo, huo wosia unakuwa batili, automatically
 
Wakati ule shughuli ya ndoa yake ilipoingia doa ndipo wakasema Kuna mtoto mmojawapo wa Vicky Ni wa JK, wambea wakasema Tena anamfanana Sana baba yake[emoji1787][emoji1787] Mungu hakumtupa mja wake Vicky akaolewa hatimaye na Likwelile, yule jamaa tapeli alitoroka hadi na michango ya watu

Acha kabisa ilikuwa aibu kubwa sana,kuna Wageni walikuja kwa Harusi kutoka Mwanza tunafahamiana,baada ya Harusi kupaa walikuja nyumbani kusimulia,ni kweli kabisa ilibidi litengenezwe tukio la uongo la yeye kulazwa ili kuficha aibu ile na inasemekana alikuwa na kibendi cha Bwana Harusi tapeli aliitwa Charles Pai.Kibendi kiliishia wapi,nadhani na yeye hakutaka kubaki na alama ya maisha ya yule Tapeli[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aya yaliyotokea kwa Jacky&mengi huwezi kuyaona kwa waliooana familia tajiri kwa familia tajiri.

Hii ndo maana inasababisha matajiri hawatakagi kabisa vijana wao waoe/kuolewa na mwenza kutoka familia maskini.

Yaan unaoa lijitu linawaza TU Mali zako, Bullshit.

Laiti Kama,
Mengi angeoa binti wa bakresa sidhan Kama wangefika huko kote.

Kuna la kujifunza hapa[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app

Kaka unatumia wine?
Kama
Ndio ipi
Ninunue
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nimeolewa na babu but sijawahi kuwaza hivyo
I just wanted the best for my kids,the future is promising naona watapata kila kitu nilichotaka wapate
Meanwhile I get time to build my self kwa kazi zangu mwenyewe,with little support from hubby[emoji6]
Umeolewa na babu?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nimeolewa na babu but sijawahi kuwaza hivyo
I just wanted the best for my kids,the future is promising naona watapata kila kitu nilichotaka wapate
Meanwhile I get time to build my self kwa kazi zangu mwenyewe,with little support from hubby[emoji6]
hiyo ni robbery case.
 
Wosia haudhihakiwi ila sheria inaruhusu wosia kupingwa mahakamani....

Maana inawezekana wosia kuwa forged...au haukuzingatia matakwa ya kisheria.

Wewe unadhani mengi in his right mind awanyime wanae urithi kwa sababu zipi? Aliyekuwa mkewe wa kwanza naye alikuwa na hisa zake kwenye hizo biashara so mgao wake lazima uende kwa wanaye ambao ni hao Wawili.

Wewe
Why wosia uandikwe kimya kimya. Wosia una taratibu zake kiasi kwamba ukiupeleka mahakamani hakuna mtu anapinga.
 
Na ukute hata hao watoto mapacha si watoto halali wa mengi

"wanaume ishini na wake zenu kwa akili"

Mwanamke hajawai kuaminika
Watoto wanafanana na dada yao, huyo mtoto wa kike wa mengi.
 
Hayo mengine sijui lkn kwa swala la watoto,Vicky ana watoto wawili,wa kwanza anaitwa Revocatus alizaa akiwa form two na Kijana flan wakati huo akiwa Form Six,Vicky ikabidi akatishe masomo baada ya kupata uja uzito huo. Huyu wa pili ni binti huyu sina maelezo ya uhakika ya nani ni Baba Mzazi wa huyo mtoto. Lkn kama ni yule first Born wake,Baba wa mtoto anafahamika vizuri tu.
Vicky yupi?!
 
Huyu dada kashindwa kutafuta hela zake mwenyewe, anataka kutumbua za huyu Mzee wa watu aliyechuma miaka nenda rudi tena kwa shida kubwa.
Mali ya Wachaga hailiwi kirahisi hivyooo... Washauri wake wamemuingiza cha kike... Umeingia cha kikee, cha cha kikee ewaaa [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji91] [emoji91]
 
Mkuu maelezo ni hayo kwenye attachment labda kama unataka kwa kiswahili ambacho hata Mimi sijui
Mwambie tuu kwamba ule mchongo wake wa kubadilisha wosia origino wa Mzee machache umebumaaa, yaani ameingia choo cha kikeee [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom