Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Rufaa gani?Jaji itakuwa kapata mpunge mrefu kwenye hii rufaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rufaa gani?Jaji itakuwa kapata mpunge mrefu kwenye hii rufaa
Hawa wazee wetu vitombi sanaJK ana mtoto pale kwa Vick, saga la ndoa kuvurugika wakati ule JK alitajwa tajwa kiaina.
Inasemekana lakini katika watoto wa Vick Kuna wa JK na mwingine wa askofu wa GEITA huko alishafariki.
Ukishaona mdada anatembea na mtu mzima au mume wa mtu ujue huyo hana aibu kbs. Unaanzaje kumvulia baba yako nguo!?
Haijalishi, ilimradi watoto hawakutembea na mke wa marehemu baba yao, na hawakukataa kumsaidia wakati anaumwa, sheria inasema ni lazima wapte urithiInaonekana marehemu hakuwa kwenye good terms na watoto wake wakubwa
Sheria inasema, ilimradi watoto hawakutembea na mke wa baba yao, na hawakukataa kumsaidia kipindi anaumwa, basi ni lazima wapewe urithi, chochote kinyumecna hapo, huo wosia unakuwa batili, automaticallysheria inapindishwa kwa hoja DHAIFU kabisa!!!
wanashindwa kuzingatia masilahi ya MWANAMKE MJANE kwa kuegemea hoja dhaifu?!!
1. saini ya marehemu imekosewa, hawasemi imekosewaje na kama sio ya marehemu inamaana basi mjane kafoji?! acheni kumdhulumu mjane, mpeni haki yake.
Wakati ule shughuli ya ndoa yake ilipoingia doa ndipo wakasema Kuna mtoto mmojawapo wa Vicky Ni wa JK, wambea wakasema Tena anamfanana Sana baba yake[emoji1787][emoji1787] Mungu hakumtupa mja wake Vicky akaolewa hatimaye na Likwelile, yule jamaa tapeli alitoroka hadi na michango ya watu
Aya yaliyotokea kwa Jacky&mengi huwezi kuyaona kwa waliooana familia tajiri kwa familia tajiri.
Hii ndo maana inasababisha matajiri hawatakagi kabisa vijana wao waoe/kuolewa na mwenza kutoka familia maskini.
Yaan unaoa lijitu linawaza TU Mali zako, Bullshit.
Laiti Kama,
Mengi angeoa binti wa bakresa sidhan Kama wangefika huko kote.
Kuna la kujifunza hapa[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeolewa na babu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nimeolewa na babu but sijawahi kuwaza hivyo
I just wanted the best for my kids,the future is promising naona watapata kila kitu nilichotaka wapate
Meanwhile I get time to build my self kwa kazi zangu mwenyewe,with little support from hubby[emoji6]
hiyo ni robbery case.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nimeolewa na babu but sijawahi kuwaza hivyo
I just wanted the best for my kids,the future is promising naona watapata kila kitu nilichotaka wapate
Meanwhile I get time to build my self kwa kazi zangu mwenyewe,with little support from hubby[emoji6]
Why wosia uandikwe kimya kimya. Wosia una taratibu zake kiasi kwamba ukiupeleka mahakamani hakuna mtu anapinga.Wosia haudhihakiwi ila sheria inaruhusu wosia kupingwa mahakamani....
Maana inawezekana wosia kuwa forged...au haukuzingatia matakwa ya kisheria.
Wewe unadhani mengi in his right mind awanyime wanae urithi kwa sababu zipi? Aliyekuwa mkewe wa kwanza naye alikuwa na hisa zake kwenye hizo biashara so mgao wake lazima uende kwa wanaye ambao ni hao Wawili.
Wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ile inaitwa ni English ya malkia au English ya house of the lords.Hivi ile English huwa ni kozi mojawapo kwenye degree ya sheria?
Watoto wanafanana na dada yao, huyo mtoto wa kike wa mengi.Na ukute hata hao watoto mapacha si watoto halali wa mengi
"wanaume ishini na wake zenu kwa akili"
Mwanamke hajawai kuaminika
Vicky yupi?!Hayo mengine sijui lkn kwa swala la watoto,Vicky ana watoto wawili,wa kwanza anaitwa Revocatus alizaa akiwa form two na Kijana flan wakati huo akiwa Form Six,Vicky ikabidi akatishe masomo baada ya kupata uja uzito huo. Huyu wa pili ni binti huyu sina maelezo ya uhakika ya nani ni Baba Mzazi wa huyo mtoto. Lkn kama ni yule first Born wake,Baba wa mtoto anafahamika vizuri tu.
Mali ya Wachaga hailiwi kirahisi hivyooo... Washauri wake wamemuingiza cha kike... Umeingia cha kikee, cha cha kikee ewaaa [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji91] [emoji91]Huyu dada kashindwa kutafuta hela zake mwenyewe, anataka kutumbua za huyu Mzee wa watu aliyechuma miaka nenda rudi tena kwa shida kubwa.
Mwambie tuu kwamba ule mchongo wake wa kubadilisha wosia origino wa Mzee machache umebumaaa, yaani ameingia choo cha kikeee [emoji23] [emoji23]Mkuu maelezo ni hayo kwenye attachment labda kama unataka kwa kiswahili ambacho hata Mimi sijui
hiyo ni robbery case.