Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Hii ishu nilishasema toka mwanzo, Wosia ukienda kinyume na sheria, basi unajibatilisha wenyewe, watoto wa damu na wa ndoa (ya mwanzo) wa marehemu hawakuwekwa kwenye wosia bila sababu, WHY? Hiyo ni kinyume na sheria, lazima sababu iwekwe wazi!
 
Regina anaonekana uso wa mbuzi sana! Yeye ni pesa tu. Pure Mangi 🤣🤣
🤣🤣🤣
Nipokuwa mdogo wa umri wa miaka 12 hivi nilikuwa ninakwenda sehemu wachezayo BASKETBALL ambayo alikuwa hakosi kutokea yaani kipindi hicho alikuwa ni mzuri wa kuvutia huku akipiga pamba kali ila kila siku zisogeako anazidi kuwa na uso wa "serious ya mazabe ya KIMAISHA"🤣🤣🤣
 
Kwani wakati Mengi yupo hai hao watoto wakubwa kuna hela zozote walikuwa wanachukua ?
Kama sivyo hiyo nguvu wanaipata wapi.
Mengi asingeandika Wosia watoto wa Jack wangedhulumiwa vibaya.Mengi anawajua wachaga vuzuri, msifikiri Mengi alikuwa mjinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…