Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Huo wosia kwa kweli una walakini sana mwanasheria mahiri hawezi kukubali kuweka kipengere hicho maana mahakama ikiamua kuukataa wosio inaukataa jumla kwa hiyo haiwezi tena kupangiwa hukumu.
Mjinga SANA yule danga, alikumbuka kesi za Mengi na kina Manji za kibiashara, akaweka hicho kipengele, ili ionekane marehemu ilikuwa ni kawaida yake!
Wanawake tuishi nao kwa akili.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Tamaa imemponza, yeye katika mali angejipa hata robo yake afu ajue anaiendelezaje watu wasingeshtuka
Baadhi ya wanawake wana roho ngumu looh🤣🤣🤣yaani uwadhulumu watoto wa mwendazake walioishi na baba yao toka ujana wake mpaka uzee wake kisa tu ULITOKEA kumpa "usingizi" ha ha ha ha looh dunia haiishi maajabu 🤣🤣🤣🤣
 
Mjinga SANA yule danga, alikumbuka kesi za Mengi na kina Manji za kibiashara, akaweka hicho kipengele, ili ionekane marehemu ilikuwa ni kawaida yake!
Wanawake tuishi nao kwa akili.

Everyday is Saturday............................... 😎
Hakika INJILI ,TALMUD ,TANAKH na QURAN haikukosea kutukumbusha VISA vya baadhi ya wanawake 🤣🤣🤣
 
Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala ya Dar es Salaam imetoa uamuzi kuwa watoto wa Marehemu Reginald Mengi;-Abdiel na Benjamin Mengi kuwa wasimamizi wa mirathi ya mali alizoacha marehemu baba yao (Reginald Mengi). Katika uamuzi huo, mahakama imeagiza usimamizi na mgawanyo wa mirathi uanze mara moja.

Akisoma hukumu hiyo yenye kurasa 72 mnamo Mei 18/2021 Jaji Mlyambina alisema kuwa wosia wa mwisho wa Marehemu Dkt. Mengi ulioandikwa Agosti 17,2017 haukuzingatia misingi ya kisheria ya uandishi wa wosia.

Katika shauri hilo watoto wa marehemu Dkt. Mengi walikuwa wakipinga wosia uliodaiwa kuachwa na Marehemu baba yao kwa madai kwamba wosia huo haukufungwa ‘sealed’ na saini iliyopo kwenye wosia huo ni tofauti na sahihi zingine za Marehemu na pia kwa wakati huo baba yao hakuwa na uwezo wa kuandika kutokana na matatizo makubwa ya kiafya aliyokuwa nayo tangu mwaka 2016.

Aidha watoto hao walidai kuwa wosia uliwabagua na urithi wote aliachiwa mkewe mpya na watoto mapacha na hivyo wosia huo ulikuwa kinyume na sheria sababu uliwabagua watoto bila sababu za msingi na za kisheria.
 
Binti anavuna alichopandaa.

kuna MH mmoja alimdanganya baahatimbaya hayuko nae Tena

Akashauriwa malizana na watoto nje ya bench akajiamini na ...Sasa naonaa kala alichopandaaa
welldone mahakama
 
Shidamoja WACHAGA wakifa

kudhulumu maliza watotoo imekuwa Kama cancer yya kizazi

yaanii..MAJUZI natoka msiban WAMEANDIKA mirathi vizuri muhtasari wanafika mahakaman BABAMDOGO anataka kusimamia show za kakayake

mke YUPO

watoto wanne WAPO
amepambana MPAKA akanya
aakarudi Moshi Bila kuaga

kudhulumiana n shida Sana
hakizawatotoo hazipoteii
 
Alifungua biashara ya kishua ya furniture. Sasa wabongo na njaa zetu mpaka upate mtu wa kununua kochi la million 10 sio mchezo, biashara ikafa kibudu
Ile sio biashara mkuu..vistuli unauza 3m..khaa ..! Angemfungulia kampuni hata za usafirishaj madin anajipelekea dubei huko au hata construction..mweeeee nasema mweeeeee!
 
Back
Top Bottom