VAPS
JF-Expert Member
- Jul 10, 2012
- 5,610
- 13,168
Hakika ni aibu na fedheha.Yule mdada alimdhiti Sana Mzee na huenda alichagiza kifo Cha gafla.Sema Wazee Wetu pamoja na Mapito wanayopitia kwenye Ndoa zao, lipo Jambo la Kujifunza katika hili la Mzee Machache..!!!