witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Nna wasiwasi na mapenzi yake kwa mzee...sidhani kama alikuwa na true love1. Kuwa msimsmizi wa mirathi aimasnishi 100% lazima u benefit na mali za marehemu
Unaweza kuwa msimamizi wa mirathi lakini kwenye mgao usipate chochote.
2.Kazi ya msimamizi wa mirathi ni kuisaidia mahakama kutambua mali zote za marehemu ili izigawe kwa kufuata taratibu za kisheria
3. Hii hukumu ni ya msingi sana kwa wale wanaodhani kuwa WOSIA ni final and conclusive
Pale ambapo wosia unaonekana una kasoro kama huu mahakama inautupilia mbali
4. Dakika za mwisho mzee alikuwa sio yeye akaunti za WhatsApp, instagram ,zilifunguliwa bidada akajifanya mzee amekuwa kijana gafla eti ni yeye alikuwa ana post
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app