Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Itakuwa tanesco pale nn
Alafu aliyekuwa anacheza naye
Alikuwa nyembera Patrick
Miaka hiyo dem alikuwa ana push discovery

Ova
 
Binafsi nilikuwa nawaza kama wewe ila jack alieleza kuwa kipindi mzee mengi anaachana na mkewe wa kwanza wale watoto walipewa urithi wao, mzee akabaki na mali alizobaki nazo ndio akaamua kumrithisha jack na wanawe mapacha
Ubinafsi TU unamsumbua mwanamke Yule, pumbavu zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Usingizi wa hovyohovyo" tuutafutao wanaume hutugharimu sana humu ujanani na FAINALI huwa uzeeni daaaah
 
HIVIIIIII WAJANEEE NA WANAOTESA WAKEZAOOOL WANAITWAAAA LINI KAMA KIPINDI KILEE

NIMEMMISI KWELI ZILE ZAMAAAAA
KAKAYANGU MMMOJA ALITESA MKEWE ALIVYOSIKIA WANAITWAAAA AKAPIGASIMU NAINGIA NAIROBI

NKAJUA WANAOFWATASASA WAGUMBA
 
Hayo mambo hayanaga ukabila mkuu, ni hulka ya mtu tuu. Na wapo wengi tuu ila hawana majina makubwa wala mali za kugombewa

Ya hao wachaga yamekua maarufu sababu ya nafasi zao kiuchumi
Sisi tunaexpect ukishakua na wadhifa basi lazima ubehave kutokana na exposure. Siyo uact kiswahili. Pia mengi alijua sana migongano inayokuja lakini alikubali beba msalaba. Hili jambo linaonekana kwa ndugu zetu wachagga hawahawa na si mbali ndo maana ndo case zao twaziona. Mbona matajiri wengine hatuoni visa vyao?

Halafu kuna cha vicky kamata sasa hivi. Anataka dhulumu mali za watoto wa likwelile. Hivi wanaume ni vipofu ama tatuzo ni nn? Hizi ndoa za uzeeni kwa faida ya nani. Kama unahitaji penzi si muishie kuwa wapenzi tu? Halafu ni kuhangaika na mimama ya mjini tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…