Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Ila wazee wa kichagga sijui ndo niseme ni malimbukeni sana ama ni nn sijui. Yaan umalaya tu umewajaaa. Na haya ndo hugharimu familia. Watu wanazaa zaa ovyo. Nikimuwaza billionare mrema na ngurdoto yake na vitega uchumi vingine inasikitisha sana. Imagine michepuko imejilengesha huko kisa inajua kuna fursa. Wallah tungekifa wote. Halaf bado wanathibutu kunyoosha midomo.

Huyu procorine shayo naye aliyejigongesha juzi kati hapo tabata akafa naye baada ya kudaiwa kodi 2.4billion naye hovyo kabisa. Watu wanazaa ovyo ovyo tu. Hawajali masilahi ya wanaowaacha wala vitega uchumi walivyoviandaa... mtu uzeeni ndo unakuja fanya makosa ya kipuuzi hv. Mimi naheshimu watoto niliowakuta kabla ya ndoa. Ukija nimeshafunga utafurahi. Huyo baba yenu amalizane na nyie hukohuko. Tulieni jaman kaka zetu. Kwanza mnapitapita ovyo mnajiokotea maradhi wanawake wengine wamebeba mamikosi huko wengine wachawi tafrani.

Kaka zetu wa kichagga jitathminini sana. Munaacha majanga nyuma ya pazia..
 
Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala ya Dar es Salaam imetoa uamuzi kuwa watoto wa Marehemu Reginald Mengi;-Abdiel na Benjamin Mengi kuwa wasimamizi wa mirathi ya mali alizoacha marehemu baba yao (Reginald Mengi). Katika uamuzi huo, mahakama imeagiza usimamizi na mgawanyo wa mirathi uanze mara moja.
-
Akisoma hukumu hiyo yenye kurasa 72 mnamo Mei 18/2021 Jaji Mlyambina alisema kuwa wosia wa mwisho wa Marehemu Dkt. Mengi ulioandikwa Agosti 17,2017 haukuzingatia misingi ya kisheria ya uandishi wa wosia.
-
Katika shauri hilo watoto wa marehemu Dkt. Mengi walikuwa wakipinga wosia uliodaiwa kuachwa na Marehemu baba yao kwa madai kwamba wosia huo haukufungwa ‘sealed’ na saini iliyopo kwenye wosia huo ni tofauti na sahihi zingine za Marehemu na pia kwa wakati huo baba yao hakuwa na uwezo wa kuandika kutokana na matatizo makubwa ya kiafya aliyokuwa nayo tangu mwaka 2016.
-
Aidha watoto hao walidai kuwa wosia uliwabagua na urithi wote aliachiwa mkewe mpya na watoto mapacha na hivyo wosia huo ulikuwa kinyume na sheria sababu uliwabagua watoto bila sababu za msingi na za kisheria.
View attachment 1791204
Umesahau kuwaingiza cdm hapo [emoji23][emoji23]

Ova
 
Baadhi ya wanawake wana roho ngumu looh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani uwadhulumu watoto wa mwendazake walioishi na baba yao toka ujana wake mpaka uzee wake kisa tu ULITOKEA kumpa "usingizi" ha ha ha ha looh dunia haiishi maajabu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu kuna watu walimpanga afanye hivi
Walijua atatusua

Ova
 
Ila wazee wa kichagga sijui ndo niseme ni malimbukeni sana ama ni nn sijui. Yaan umalaya tu umewajaaa. Na haya ndo hugharimu familia. Watu wanazaa zaa ovyo. Nikimuwaza billionare mrema na ngurdoto yake na vitega uchumi vingine inasikitisha sana. Imagine michepuko imejilengesha huko kisa inajua kuna fursa. Wallah tungekifa wote. Halaf bado wanathibutu kunyoosha midomo.

Huyu procorine shayo naye aliyejigongesha juzi kati hapo tabata akafa naye baada ya kudaiwa kodi 2.4billion naye hovyo kabisa. Watu wanazaa ovyo ovyo tu. Hawajali masilahi ya wanaowaacha wala vitega uchumi walivyoviandaa... mtu uzeeni ndo unakuja fanya makosa ya kipuuzi hv. Mimi naheshimu watoto niliowakuta kabla ya ndoa. Ukija nimeshafunga utafurahi. Huyo baba yenu amalizane na nyie hukohuko. Tulieni jaman kaka zetu. Kwanza mnapitapita ovyo mnajiokotea maradhi wanawake wengine wamebeba mamikosi huko wengine wachawi tafrani.

Kaka zetu wa kichagga jitathminini sana. Munaacha majanga nyuma ya pazia..

Hayo mambo hayanaga ukabila mkuu, ni hulka ya mtu tuu. Na wapo wengi tuu ila hawana majina makubwa wala mali za kugombewa

Ya hao wachaga yamekua maarufu sababu ya nafasi zao kiuchumi
 
Kamahakuwekezaa hukoooo......poleyakee
asubiri sikuya ufufuoooo
 
Back
Top Bottom