tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Enzi za tanesco msasani,uwanja wa basketball[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nipokuwa mdogo wa umri wa miaka 12 hivi nilikuwa ninakwenda sehemu wachezayo BASKETBALL ambayo alikuwa hakosi kutokea yaani kipindi hicho alikuwa ni mzuri wa kuvutia huku akipiga pamba kali ila kila siku zisogeako anazidi kuwa na uso wa "serious ya mazabe ya KIMAISHA"[emoji1787][emoji1787][emoji1787]