Moja tu. Jackie anatambulika kisheria kwa vile mke wa mengi alikufa kabla ya mengi.Na sheria inatambua ndoa ngapi za kanisani ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moja tu. Jackie anatambulika kisheria kwa vile mke wa mengi alikufa kabla ya mengi.Na sheria inatambua ndoa ngapi za kanisani ?
Usiandike wosia wa kihuni. Tafuta mwanasheria ambaye ni independent atadraft unachotaka kisheria na atakushauri kama kile unchotaka kitahold au hakitahold ukishakufa, halafu huo wosia anakaa nao anauhifadhi mahali salama e.g benki. Jackie kwanza hakutakiwa kujua kilichomo kwenye wosia. Mwanasheria angeusoma baada ya marehemu kufariki mbele ya mke, watoto na ndugu. Sasa iweje wosia anakuwa nao jackie????Ukweli Kuna kitu nimejifunza. Kwamba wosia wa marehemu, unaweza kubatilishwa na mahakama? Na kwamba ulitaka kuandika wosia yafaa uhusishe mwanasheria kusudi wosia uwe Hali kisheria? Sijua, bado najiuliza. Mtu akifariki hawezi Tena kujitetea, inakuwaje alichotamka au kuandika Kama wosia kipingwe?
Hana haki kudai mgao wake na watoto kwa mali alizozikuta!!! Mengi alijua hilo na alimuanzishia biashara nyingi tu nasikia zimekufa. Kumbe anauza sura tu biashara hawezi!!!!Jack mjinga sana. Ana haki ya kudai mgao wake na watoto wake lakini siyo kunyang'anya mali zote na kuwatenga watoto wakubwa wa marehemu. Huu ni uchu uliopitiliza
Basi atulie zake hizo mali nyingine ni haki ya hao watoto aliowakutAAlipewa zaidi ya hiyo billion tatu kwenye mahusiano yao
Inaonekana marehemu hakuwa kwenye good terms na watoto wake wakubwaHii ishu nilishasema toka mwanzo, Wosia ukienda kinyume na sheria, basi unajibatilisha wenyewe, watoto wa damu na wa ndoa (ya mwanzo) wa marehemu hawakuwekwa kwenye wosia bila sababu, WHY? Hiyo ni kinyume na sheria, lazima sababu iwekwe wazi!
Wengi wanaocomment wako emotional , hawajui nn hasa kilitokea mpaka mengi akaandika wosia wa namna ile... kwenye familia huwa kuna mambo mengi sana tusioyajua watu wa nje na laiti km yakiwekwa wazi utashangaa wote tutaanza kumtetea jackKwani wakati Mengi yupo hai hao watoto wakubwa kuna hela zozote walikuwa wanachukua ?
Kama sivyo hiyo nguvu wanaipata wapi.
Mengi asingeandika Wosia watoto wa Jack wangedhulumiwa vibaya.Mengi anawajua wachaga vuzuri, msifikiri Mengi alikuwa mjinga.
Labda kama hao mawakili wanawake ndiyo wawe majajinitahamasisha huyu dada asaidiwe na chama cha mawakili wanawake wote, pia tunaomba LHRC iingilie kumsaidia huyu MJANE anaye nyanyasika na kuminywa kisa ni mwanamke,
Hapana,
Tunaomba HAKI itendeke.
KESI HIII ITAKUWA YA MFANO.
HAYA NI MAPAMBANO KATI YA FAMILIA YA KITAJIRI KWA UPANDE MMOJA NA MWANAMKE MJANE ASIYE NA NGUVU KUBWA YA KIUCHUMI.
NANI MSHINDI?
Huu wasia wa marehemu mengi unapotoshwa kwa makusudi, mRa ohh saini imekosewa mara ohhh haukufungwa hizi hoja gani za ajabu kabisa, acheni kumdhulumu mjane.
Hata hii reasoning ina shida! Kwa hiyo hiyo so called beauty aitumieje kwa mfano? Hiyo beauty inaliwa ama? Tatizo la mama na binti zetu liko hapo,kwamba ukiwa mwanamke na unavutia basi ndo mtaji siyo.Ndio sasa matokeo yake anayaona. Imekula kwake sasa. Confidence bwana confidence. Mwanamke una beauty alafu unashindwa kutumia vizuri ni ujinga.
ili kuniziba n'domo akanipa alfuuu tatuuu bishaa bishaaU complited my day[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntu ya dili hii.. bishaaaa??[emoji23][emoji23]
Beauty ni mtaji ndio...kwani wee hulitambui hilo? Mwanamme ni tako na sura haya mambo ya kusema oh nimesoma peleka kwenu. As long as mwanaume analipa 90% ga bills ndani ya nyumba mke umuhimu wake upo kwenye sura na tako yaani midume uburudike kukojoleaaa pazuri na hamna mwanaume asipenda mbususu classic bwana.Hata hii reasoning ina shida! Kwa hiyo hiyo so called beauty aitumieje kwa mfano? Hiyo beauty inaliwa ama? Tatizo la mama na binti zetu liko hapo,kwamba ukiwa mwanamke na unavutia basi ndo mtaji siyo.
Jadili ndoa yako mama, achana na kujadili na kuchambua ndoa na mirathi ya watu wengine, ushauri wa bure huu, unless kama ulikua unalala nao kitanda kimoja.
Basi ngoja tuanze mjadili yeye aone raha. Jacky hana cha kutoa zaidi ya k yake tu kwa sasa
ufedhuli unauona baada ya Mengi kufa?!Hakuna mwanamke yeyote ataunga mkono ufedhuli wako
Cha kutumia ni akiliNdio sasa matokeo yake anayaona. Imekula kwake sasa. Confidence bwana confidence. Mwanamke una beauty alafu unashindwa kutumia vizuri ni ujinga.
sheria inapindishwa kwa hoja DHAIFU kabisa!!!Sheria ni sheria, na si suala la mihemko na hisia, tumeelewana?
Hayo maneneo ya wanawake ambao hawana sura wala tako. Walio barikiwa wanapata maisha kupitia huo uzuri wao.Cha kutumia ni akili
Uzuri unapita
'Mwanamke mzuri asie na akili ni kama nguruwe mwenye kidani cha dhahabu puani' imeandika Mithali sio mimi
sina udugu na huyo mjane wala simjui zaidi ya kusoma na kufuatilia kesi yake.sawa kaka wa mjane tumekusikia
Hiyo biashara ya Jack ( Amorelete) ilikufa hata kabla ya mengi hajafa. Ofisi zake nilikuwa naziona mikocheniNadhani kwa sababu yeye si mfanya biashara na hakutaka kujifunza kwa reginald bali alimegemea sana marehemu. Marehemu akiondoka lazima biashara iondoke naye.