Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Kuna hii post ya Mwenzetu Samceaser,
Ningeomba wanao mtetea Mjane waisome na ikiwezekana wamuhusishe mwanasheria wao

THE LEGAL BATTLE TO INHERIT THE ESTATE OF THE BUSINESS TYCOON LATE REGINALD MENGI: HISTORIC AND MONUMENTAL JUDGEMENT BY HIS LORDSHIP MLYAMBINA.


"The dead commands nothing from his grave except what the living allow him to do."


PART 1: BRIEF GENERAL OVERVIEW.


Just Yesterday, even before the legal shock waves of "Utakaso Doctrine" ( Sanitio in Radice ) cools down and even before the dust thereof settles in the case of Marco Elias Buberwa Vs Agness Kokushekya Elias Buberwa, Misc. Civil Application No. 235 of 2020, our very own legal mind of this great res republica, His Lordship Mlyambina delivered the historic and monumental Judgment in Re Estate of Late Reginald Abraham Mengi which can be cited as Benjamin Benson Mengi & 3 Others Vs Abdiel Reginald Mengi & Benjamin Abraham Mengi, Probate and Administration Cause No. 39 of 2019.

This monumental judgment embodies in itself myriad of new legal principles and doctrines which significantly or radically changed landscape and inheritance legal equation of the Law of Succession in Tanzania.

Every Probate Lawyer in Tanzania has two options, either he reads and comprehends this monumental judgment very well to remain relevant as expert in the realm of Law of Succession in Tanzania or ignores it. If he ignores it, by default, he will practically find him delisted from the list of experts of the Law of Succession in Tanzania as this monumental judgment radically changed landscape and inheritance legal equation of the Law of Succession in Tanzania.

Briefly: the Last Will and Testament of the Late Dr. Reginald Abraham Mengi was nullified and declared to be null et void for want of Testamentary Capacity contrary provisions of Section 46 of the Indian Succession Act, 1867 and contrary to ratio decidendi enunciated in the famous case of Banks Vs Goodfellow [1870] LR 5 QB 549 which was cited with approval by Court of Appeal of Tanzania in the case of Vaghella Vs Vaghella [1999] 2 EA 351 which is one of local case that recignises this principle. Additionally, the Last Will and Testament of the Late Dr. Reginald Abraham Mengi has been nullified on ground of unreasonable disiheritance of heirs (a son and a daughter from the first marriage) something which is repugnant to, and inconsistent with, Restrictive Testamentary Freedom Doctrine enunciated by His Lordship Mlyambina in this case.

As consequence of nullification of the puported Last Will and Testament of Late Mengi, the 1st Caveator and 2nd caveators, Mr. Benjamin Abraham Mengi and Mr. Abdiel Reginald Mengi respectively were appointed by High Court to be administrators of the estate of Late Reginald Abraham Mengi.


PART 2: JURISPRUDENTIAL SIGNIFICANCE OF MENGI'S PROBATE CASE.

Through Mengi's Probate Case, His Lordship Mlyambina has made the following contributions in endavour to develop the legal system;

(1) Mengi's ProbateCase marks the jurisprudential shift on area of Law of Succession from Absolute Testamentary Freedom Doctrine as enunciated in the famous English case of Banks Vs Goodfellow [1870] LR 5 QB 549 to a more relative flexible legal principle by name of Restrictive Testamentary Freedom Doctrine which is a more advanced stage and space than all common law jurisdictions.

(2) As result of the said jurisprudential shift, Tanzania officially abandoned Absolute Testamentary Freedom Doctrine which existed and survived for more than 100 years.

(3) The new legal principle namely Restrictive Testamentary Freedom Doctrine introduced some elements of Force Heirship Sub-System in Tanzania in the realm of statutory succession law as result testator (parent or spouse) is now under legal obligation to bequeath his or her estate to members of his own nucleus family related to him by blood, marriage and adoption in a certain circumstances.

(4) This judgment imposed 5 restrictions on what is used to be known as unfettered discretionary power of testator in realm of Testamentary Freedom to bequeath his estate as it pleases him which now operate as exceptions to general rule of Testamentary Freedom.

(5) The Doctrine of Testamentary Freedom continues to exist in Tanzania, however, it is no long absolute rather it is restrictive in its very nature as result the Doctrine of Testamentary Freedom admits the following 5 exceptions;

(a) Matrimonial Assets Impediment;

(b) Statutory Heirs Rule;

(c) Public Policy Bar;

(d) Exturpi Causa limitation; and

(e) Lack of Testamentary Capacity;

(6) A spouse (especially husband) is now barred by law to include and bequeath the share of matrimonial assets of another spouse (especially wife) as part and parcel of his/her estate.

(7) With these 5 exceptions or restrictions, now this judgment marks the end of Absolute Testamentary Freedom of Testator under statutory law in Tanzania.

(8) Notwithstanding the legal obligation of Testator to compulsorily bequeath part of his estate to his children and spouse under statutory law, yet as exceptions to general rule on Testamentary obligation on the tastator, now the Testator is entitled to disinherit his child or spouse in the following circumstances;

(a) Where the son or daughter of testator commits adultery with the spouse of the testator;

(b) Where the spouse commits adultery with son or daughter of testator;

(c) Where a son, daughter or spouse attempt to murder the testator or his or her spouse;

(d) Where a son, daughter or spouse neglects to, fails to look after testator or fails to take care of testator in hunger or sickness or during old age without justifiable reasons;

(e) Mistreatment of testator by words or deeds;

(f) Where son, daughter or spouse by fraud, violence, intimidation, or undue influence causes the testator to make a will or to change one already made;

(g) Any other ground which the court may determine to be sufficient cause for disinheritance of son, daughter or spouse.


(9) His Lordship Mlyambina through this judgment has developed what is known as the Dominant Part Doctrine or rather the Dominant Part Test which is the new legal test which should be used to determine applicable law on estate and Last Will of deceased person in the circumstances of hybrid mode of life, this is a legal novel which probably is not known anywhere in all common jurisdictions .

(10) Now, in Tanzania there are 3 legal tests which should be used by court of law to determine law applicable to regulate the estate and last will and testament of deceased person namely;

(a) Intention of Deceased Test.

(b) Mode of Life Test

(c) Dominant Part Test.

(11) The Last Will and Testament of the Late Dr. Reginald Abraham Mengi was nullified and declared to be null et void for want of Testamentary Capacity contrary provisions of Section 46 of the Indian Succession Act, 1867 and contrary to ratio decidendi enunciated in the famous case of Banks Vs Goodfellow [1870] LR 5 QB 549 which was cited with approval by Court of Appeal of Tanzania in the case of Vaghella Vs Vaghella [1999] 2 EA 351 which is one of local case that recognises this principle.

(12) His Lordship Mlyambina modified the Common law Principles namely Testamentary Freedom Doctrine to suit local circumstances of Tanzania and its inhabitants under provisions Section Section 2 (3) of the Judicature and Application of Laws Act, Cap. 358 as judicially considered by several several cases in Tanzania including case of DPP Vs Vogel [1987] TLR 100 and Tanzania Air Services Limited Vs Minister for Labour & 2 Others [1996] TLR 217.

(13) His Lordship Mlyambina addressed issue of active role of judge in adversarial legal system and the modification of adversarial system in Tanzania to accommodate some elements of Inquisitorial Legal System .

(14) The Last Will and Testament of the Testator is liable to be invalidate and render null et void ab initio if it was made in contravention of any of 5 exceptions to the Doctrine of Testamentary Freedom list hereinabove.

(15) As consequence of nullification of the puported Last Will, the 1st Caveator and 2nd caveators,Mr. Benjamin Abraham Mengi and Mr. Abdiel Reginald Mengi respectively were appointed to be administrators of the estate of Late Reginald Abraham Mengi.

(16) Where the Last Will and Testament of the deceased Testator is nullified, the Letter of administration should be granted automatically where caveat is allowed there is no need for caveator to institute fresh legal proceedings in the light of Doctrine of Overriding Objective enshrined in provisions of Section 3A and 3 B of the Civil Procedure Code, Cap. 33 as by provisions of Section 6 of the Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No. 3) Act, 2018.


PART 3: BRIEF CONCLUSION.

The impact of this judgment is expected to extend beyond the territorial boundaries of the United Republic of Tanzania as this judgment stands in the best position to influence jurisprudential shift in East Africa Region in particular and in all common jurisdictions in general.

By Matojo M. Cosatta

19/5/2020.



View attachment 1793124

View attachment 1793110

View attachment 1793111

View attachment 1793112

View attachment 1793113

View attachment 1793114

View attachment 1793115

View attachment 1793116

View attachment 1793117

View attachment 1793118

View attachment 1793119

View attachment 1793120

View attachment 1793121

View attachment 1793122

View attachment 1793123
kumbe bado Mahakama zinaandika na kutoa hukumu za kizungu?? sasa sisi waswahili tutaelewaje?! maaana hii hukumu imetolewa kwa ajili ya wazungu.

nimeshindwa kabisa sielewi, hawa watu nia yao ni kutunyima uhuru wa kuelewa mambo kiundani, sio bure huwa kuna kitu/vitu wanalenga kutuficha tusielewe.
Ahsanteni mahakam.

sasa hukumu la kiingereza unamwandikia nani?! kama sio kuwa kukejeli watanzania wenzako.
 
Alikua anawaficha kuusu Mzee kuumwa nadhani kuna kitu alikua anafanya ili afe au alijua akitoa taarifa wangemuokoa, Hii ya Dubai ilimshinda financially halafu ni Ugenini ikabidi atoe taarifa

Hakuna ndugu wa mume aliekua analuusiwa kwenda kwenye ile nyumba ya kyln wakati mume yupo hai
Wee kumbe?
 
Wa mlongo wangu mdala wa reginadi kimeo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kimeo che cha humu? Mdala huyu ana soni lepa igana mali za vandu za valondi tangu Pa useja hadi mu uzei naha, afu aliya mwene tuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
si alikuwa anakampuni yake sijui ya fenicha....na ikapataga award ya kizungumkuti....sijui iliishia wapi...anyways anaweza akarudi kuimba live band pale Elements masaki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe kaka.. naomba utulize makalio yako. Kaa pembeni kabisa. Na fanya mambo yako. Sawa? Wivu wa nini? Ama nilikuambia nna njaa mimi? Tuliza hilo wezere lako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo dada ndiyo anamapungufu na tamaa ya kiburi cha kudanganywa na huyo mzee Mengi na yeye hakua na akili ya utambuzi lakini bado anavyohukumiwa hapa kuna mengine yanambeba yeye Jack kuwa wife material kama alimuhudumia huyo mzee katika ugonjwa wake, akashiriki kama mke wa Mengi kwenye hafla, amezalia watoto, hakuomba ajengewe nyumba yake ya tofauti akaenda kuishi na huyo mzee kwenye nyumba yake ya familia so anaonyesha alimwamini huyo mzee kiasi cha kukubaliana kuandikia hiyo mirathi feki ambayo hata Mimi naamini atakuwa aliandikiwa kwa vile msiba wa mke wa Kwanza ulionyesha wazi walishatengana, hapa namtetea Jack kama mjane apewe sitahili yake na yeye Jack awaache watoto wakubwa wapewe mirathi yao tupo kujenga hatupo kubomoa so stahili zake apewe Kama mjane na za watoto wake hatutaki maonevu kwenye jamii iwe Jack au hao watoto wakubwa.
 
Jack tatizo alikuwa ana tamaa sana, yeye angewazuga hata kidogo.

Mtu baba yake asipate urithi hata kidogo eti alipata kwa mama yao, ngumu sana aisee.

Ni bora hata angewagana nao nusu kwa nusu, ila pamoja na yote kuwa na wale watoto wadogo hawezi kusahaulika
Kama walipata kwa Mama Yao maana yake Kama baba Yao angefariki na asingeoa wasingepata hizo Mali kwakuwa Wamepata kwa Mama Yao? Kwani Mama Yao kugawana Mali na Baba Yao kwa kuachana maana yake watoto wanahusika na hizo gawiwo? Hapana watoto wanaendelea kubikia pande zote yaan kwa Mama na Baba . Kumbu hapa waliogawana kwa kuachana n Mke na Mume watoto hawajahusishwa kwamba wameenda kwa Mama na Baba hata usikanao Tena ambacho ikiwa hivyo Ni kesi nyingne Kama Biological Sio watoto wako Kama Ni wako bado Mali zilizobakia kwako Ni Malizao pia . So kifupi huyo Bint Ukifikilia mbali unaweza pata majibu kwa nn alimua kuolewa na kuzaa na Badae yanatokea haya alafu kwenye mitandao badala ya kifamilia ZAIDI . Nikuwatu Ndio utapata majibu yako binafsi
 
Hayo maneneo ya wanawake ambao hawana sura wala tako. Walio barikiwa wanapata maisha kupitia huo uzuri wao.

Kama mwanamke huna sura wala tako wee kazana na kitabu tuu ndio mkombozi wako.
Heheh lool
 
Kesi Ya Mirathi ya ya Dr. Reginald Mengi: Former Miss Tanzania Jackline Ntuyabaliwe adondokea pua kwa Mara Ya nane tena katika Rufaa

View attachment 1790872

Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala ya Dar es Salaam imetoa uamuzi kuwa mtoto wa Marehemu Reginald Mengi;-Abdiel na kaka wa marehemu, Bw. Benjamin Mengi kuwa wasimamizi wa mirathi ya mali alizoacha marehemu (Reginald Mengi). Katika uamuzi huo, mahakama imeagiza usimamizi na mgawanyo wa mirathi uanze mara moja.

Akisoma hukumu hiyo yenye kurasa 72 mnamo Mei 18/2021 Jaji Mlyambina alisema kuwa wosia wa mwisho wa Marehemu Dkt. Mengi ulioandikwa Agosti 17,2017 haukuzingatia misingi ya kisheria ya uandishi wa wosia.

Katika shauri hilo watoto wa marehemu Dkt. Mengi walikuwa wakipinga wosia uliodaiwa kuachwa na Marehemu baba yao kwa madai kwamba wosia huo haukufungwa ‘sealed’ na saini iliyopo kwenye wosia huo ni tofauti na sahihi zingine za Marehemu na pia kwa wakati huo baba yao hakuwa na uwezo wa kuandika kutokana na matatizo makubwa ya kiafya aliyokuwa nayo tangu mwaka 2016.

Aidha watoto hao walidai kuwa wosia uliwabagua na urithi wote aliachiwa mkewe mpya na watoto mapacha na hivyo wosia huo ulikuwa kinyume na sheria sababu uliwabagua watoto bila sababu za msingi na za kisheria.

=====

Dar es Salaam. Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeukataa wosia uliokuwa ukidaiwa kuandikwa na aliyekuwa mfanyabiashara maarufu nchini marehemu Reginald Mengi pamoja na mambo mengine ikieleza kuwa haukidhi matakwa ya kisheria ili kuwa wosia halali.

Uamuzi huo ulitolewa jana na Jaji Yose Mlyambina kufuatia shauri la mirathi lililokuwa limefunguliwa na watu wanne wakiwemo ndugu wa marehemu, wakiomba kuteuliwa kuwa wasimamizi wa mirathi hiyo.

Jaji Mlyambina amefikia uamuzi huo baada ya kukubaliana na hoja za pingamizi lililowekwa na mmoja wa watoto wakubwa wa marehemu Mengi pamoja na ndugu yake marehemu Mengi, waliokuwa wakipinga uhalali wa wosia huo.

Shauri hilo la mirathi namba 39 la mwaka 2019 lilifunguliwa na Benson Benjamin Mengi, William Onesmo Mushi, Zoebu Hassuji na Sylvia Novatus Mushi wakiomba kuteuliwa kuwa wasimamizi mirathi hiyo kwa mujibu wa wosia huo.

Hata hivyo, mtoto wa Marehemu Mengi, Abdiel Reginald Mengi na ndugu wa marehemu Mengi, Benjamin Abraham Mengi, waliweka pingamizi dhidi ya wosia huo, wakipinga uhalali wake huku wakiwasilisha jumla ya sababu nne za kuupinga.

Sababu hizo ni pamoja na kwamba haukwa umepigwa mhuri na saini iliyokuwepo ilikuwa ni tofauti na saini ya kawaida ya marehemu Mengi na kwamba haukushuhudiwa na ndugu au mke wa marehemu.

Pia walikuwa wakidai kuwa marehemu hakuwa na uwezo wa kuandaa wosia kwa kuwa alikuwa na matatizo ya kiafya tangu mwaka 2016 na kwamba unaondoa katika urithi, watoto bila kuzingatia mila za Kichaga au kuhusisha ndugu.

Mahakama Kuu baada ya kusikiliza hoja za pande zote katika hukumu yake iliyosomwa juzi na Jaji Mlyambina na nakala yake kupatikana jana kwa matumizi ya umma, alikubaliana na hoja za pingamizi hilo dhidi ya wosia huo na kuikataa kuwa ni batili.

Jaji Mlyambina alikubaliana na sababu hizo za pingamizi na pamoja na mambo mengine, amesema kuwa inawanyima urithi wanaye bila kutoa sababu, na kwamba ziliiingizwa mali za mke wake mkubwa.

Kwa uamuzi huo, Jaji Mlyambina hakuwateua waombaji hao kuwa wasimamizi wa mirathi na badala yake aliwateua Abdiel na Benjamini kuwa wasimamizi wa mirathi na akaelekeza mali za marehemu zigawiwe warithi wanaostahili kwa utaratibu wa kawaida kama wa mtu ambaye hakuacha wosia.

Awali mjane wa marehemu Mengi, Jacquiline alijaribu kuingia katika shauri hilo bila mafanikio baada ya mahakama hiyo kutupilia mbali maombi yake mara tatu.

Credit: Mwananchi

Zaidi soma;

1). Thread 'Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali' Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

2). Thread 'Hatimaye K Lyn (Jacqueline Ntuyabaliwe) achumbiwa na Reginald Mengi' Hatimaye K Lyn (Jacqueline Ntuyabaliwe) achumbiwa na Reginald Mengi

3). Thread 'Watoto wa Mengi wamburuza mahakamani Jacqueline Mengi "Klynn"' Watoto wa Mengi wamburuza mahakamani Jacqueline Mengi "Klynn"

4). Thread 'Unaodaiwa kuwa wosia wa Reginald Mengi huu hapa, mali zote ni za Jacqueline na watoto wake mapacha' Unaodaiwa kuwa wosia wa Reginald Mengi huu hapa, mali zote ni za Jacqueline na watoto wake mapacha

5). Thread 'Miaka 5 ya Anniversary ya Reginald Mengi na Jackline Mengi wote wafunguka' Miaka 5 ya Anniversary ya Reginald Mengi na Jackline Mengi wote wafunguka

6). Thread 'TANZIA: Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE' TANZIA: Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

.
 
Huyo dada ndiyo anamapungufu na tamaa ya kiburi cha kudanganywa na huyo mzee Mengi na yeye hakua na akili ya utambuzi lakini bado anavyohukumiwa hapa kuna mengine yanambeba yeye Jack kuwa wife material kama alimuhudumia huyo mzee katika ugonjwa wake, akashiriki kama mke wa Mengi kwenye hafla, amezalia watoto, hakuomba ajengewe nyumba yake ya tofauti akaenda kuishi na huyo mzee kwenye nyumba yake ya familia so anaonyesha alimwamini huyo mzee kiasi cha kukubaliana kuandikia hiyo mirathi feki ambayo hata Mimi naamini atakuwa aliandikiwa kwa vile msiba wa mke wa Kwanza ulionyesha wazi walishatengana, hapa namtetea Jack kama mjane apewe sitahili yake na yeye Jack awaache watoto wakubwa wapewe mirathi yao tupo kujenga hatupo kubomoa so stahili zake apewe Kama mjane na za watoto wake hatutaki maonevu kwenye jamii iwe Jack au hao watoto wakubwa.
[emoji23][emoji23][emoji846]
 
Hahaha twende front mkuu. Twendee. Sisi ndo jamhuri yenyewe. We are the power. Hatutaki ujinga. Halafu anawatisha watoto wa marehem maskini. I feel so bad for them. Anataka tumia connections zake. Kwa hili tunamuomba jk akae pembeni kbs. Asije kutuharibia furaha
JK ana mtoto pale kwa Vick, saga la ndoa kuvurugika wakati ule JK alitajwa tajwa kiaina.
Inasemekana lakini katika watoto wa Vick Kuna wa JK na mwingine wa askofu wa GEITA huko alishafariki.
 
huyu dada ana tamaa nyingi ya mali..kwa mila za kichaga atapigwa chini labda ile jumba la msituni mke wapili anapokuja huwa hapati ile heshima ya mke wa kwanza au mali kama yule wa kwanza kwanza kama ni shamba anaenda kutafutiwa pengine yeye na watoto wake na mali atapewa aanziye yeye mwenyewe huko hataingiliwa ila kuingia kwenye ukoo upate ile heshima ya mke ni ngumu na haipo kimila.kwa hio kichaga watoto wa nengi ndio watamiliki labda busara zao wampe kampan huyo mrembo alivuna nini na marehemu zaidi ya watoto na kufilisi hoja inaanzia hapo...watoto watapewa haki ya kusoma kama ukoo ukipata busara..ila mke wa pili haruhusiki kupazoea pa mke wa kwanza.
Duh!
Hata kaburi alizuiwa kuwa anaenda kuzuru...
 
Huyo dada ndiyo anamapungufu na tamaa ya kiburi cha kudanganywa na huyo mzee Mengi na yeye hakua na akili ya utambuzi lakini bado anavyohukumiwa hapa kuna mengine yanambeba yeye Jack kuwa wife material kama alimuhudumia huyo mzee katika ugonjwa wake, akashiriki kama mke wa Mengi kwenye hafla, amezalia watoto, hakuomba ajengewe nyumba yake ya tofauti akaenda kuishi na huyo mzee kwenye nyumba yake ya familia so anaonyesha alimwamini huyo mzee kiasi cha kukubaliana kuandikia hiyo mirathi feki ambayo hata Mimi naamini atakuwa aliandikiwa kwa vile msiba wa mke wa Kwanza ulionyesha wazi walishatengana, hapa namtetea Jack kama mjane apewe sitahili yake na yeye Jack awaache watoto wakubwa wapewe mirathi yao tupo kujenga hatupo kubomoa so stahili zake apewe Kama mjane na za watoto wake hatutaki maonevu kwenye jamii iwe Jack au hao watoto wakubwa.
Kama hao watoto sio Mengi, kwamba alisaidiwa
 
Kama walipata kwa Mama Yao maana yake Kama baba Yao angefariki na asingeoa wasingepata hizo Mali kwakuwa Wamepata kwa Mama Yao? Kwani Mama Yao kugawana Mali na Baba Yao kwa kuachana maana yake watoto wanahusika na hizo gawiwo? Hapana watoto wanaendelea kubikia pande zote yaan kwa Mama na Baba . Kumbu hapa waliogawana kwa kuachana n Mke na Mume watoto hawajahusishwa kwamba wameenda kwa Mama na Baba hata usikanao Tena ambacho ikiwa hivyo Ni kesi nyingne Kama Biological Sio watoto wako Kama Ni wako bado Mali zilizobakia kwako Ni Malizao pia . So kifupi huyo Bint Ukifikilia mbali unaweza pata majibu kwa nn alimua kuolewa na kuzaa na Badae yanatokea haya alafu kwenye mitandao badala ya kifamilia ZAIDI . Nikuwatu Ndio utapata majibu yako binafsi
Swali zuri sana
 
Back
Top Bottom