Wote tunabeti hakuna aliye salama kama kubeti ni dhambi

Candela

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2021
Posts
935
Reaction score
2,553
Ebana wakuu kuna hii issue baadhi ya watu wamekuwa wakiwaona wanaobeti kama watu waliopotea. Wengine mpaka wanaenda mbali na kisema dini zinakataza.
Okey lets break it down niggaz.

Kubeti ni nini?
Ni kufanya ubashiri juu ya matukio yajayo kisha unaweka pesa. Utabiri wako ukiwa sawa unapata maradufu.

Kwa nini nasema wote tunabeti?
Kwa sababu hata katika dini hakuja anaejua kama kweli ataenda mbinguni, watu hutoa sadaka kwa mategemeo kuwa itawasaidia kwenda mbinguni lakini hakuja anaejua au mwenye uhakika.

Inayoitwa STAKE kwenye kubeti michezo ndio inaitwa SADAKA kwenye kubeti MBINGUNI.

ukubali ukatae lakini huo ndio uhalisia.
 
Ni dhambi coz kuna wenzio wana cheza bahati nasibu mpaka wanatoa vitu vyao vya thamani wanaliwa, wanajitengenezea wakati mgumu ambao utawapelekea kufanya maovu ili tu kubalance maisha yao!
 
Kwani hamna watu wenye maisha magumu toka wanazaliwa na wanafanya maovu? Sijawahi kusikia mkamaria amepora ili akabeti.
 
Wewe ni laana kwa taifa. Acha kuhalalisha uovu. KAMARI NI HARAMU.
 
Ni dhambi coz kuna wenzio wana cheza bahati nasibu mpaka wanatoa vitu vyao vya thamani wanaliwa, wanajitengenezea wakati mgumu ambao utawapelekea kufanya maovu ili tu kubalance maisha yao!
Kuna sadaka ya kujimaliza kwa Mwamposa.
 
Kwani hamna watu wenye maisha magumu toka wanazaliwa na wanafanya maovu? Sijawahi kusikia mkamaria amepora ili akabeti.
Duhh basi hujatembea bado, kupora sio mpaka ukwapue ukimbie, kuna kijana huwa anakuja kukopa pesa anaweka dhamani gari au pikipiki yake akifika huko pesa zinaliwa zote! Baadae mnapelekana polisi wanachukua garina hawakupi mia mbovu kwa maana kisheria hairuhusiwi, unaona ni sawa? Kuliwa mpaka godoro la ndani we unaona ni sawa kabisa? Michezo hii sio mizuri!
 
Sema maisha yanaenda kasi sana siku hizi wanaobeti wamepewa jina la maafisa ubashiri, kwenye social media wakamaria wanapata engagement kubwa wanapewa airtime kinoma majuzi kati nimeona interview ya Taivina anapush ngoma yake ft Gnako.
 
Taifa limejaa vijana wapumbavu kwa sababu ya kubeti , wapi ulisikia taifa limeendelea kwa watu kujifungia ndani na kusuka mikeka ya kipumbavu?
Kubeti ni starhe kama kunywa pombe hakuna utakachopata zaidi ya kupoteza yani ni starehe isiyo starehesha
 
Duhh basi hujatembea bado, kupora sio mpaka ukwapue ukimbie, kuna kijana huwa anakuja kukopa pesa anaweka dhamani gari au pikipiki yake akifika huko pesa zinaliwa zote! Baadae mnapelekana polisi wanachukua garina hawakupi mia mbovu kwa maana kisheria hairuhusiwi, unaona ni sawa? Kuliwa mpaka godoro la ndani we unaona ni sawa kabisa? Michezo hii sio mizuri!
Mpaka alinunua gari na pikipiki maana yake huyo ni mpambanaji mno....kwasababu hapa tanzania 70% hawana magari wala pikipiki na wala hawabeti
 
Back
Top Bottom