Kwani hamna watu wenye maisha magumu toka wanazaliwa na wanafanya maovu? Sijawahi kusikia mkamaria amepora ili akabeti.Ni dhambi coz kuna wenzio wana cheza bahati nasibu mpaka wanatoa vitu vyao vya thamani wanaliwa, wanajitengenezea wakati mgumu ambao utawapelekea kufanya maovu ili tu kubalance maisha yao!
Wewe ni laana kwa taifa. Acha kuhalalisha uovu. KAMARI NI HARAMU.Ebana wakuu kuna hii issue baadhi ya watu wamekuwa wakiwaona wanaobeti kama watu waliopotea. Wengine mpaka wanaenda mbali na kisema dini zinakataza.
Okey lets break it down niggaz.
Kubeti ni nini?
Ni kufanya ubashiri juu ya matukio yajayo kisha unaweka pesa. Utabiri wako ukiwa sawa unapata maradufu.
Kwa nini nasema wote tunabeti?
Kwa sababu hata katika dini hakuja anaejua kama kweli ataenda mbinguni, watu hutoa sadaka kwa mategemeo kuwa itawasaidia kwenda mbinguni lakini hakuja anaejua au mwenye uhakika.
Inayoitwa STAKE kwenye kubeti michezo ndio inaitwa SADAKA kwenye kubeti MBINGUNI.
ukubali ukatae lakini huo ndio uhalisia.
Kuna sadaka ya kujimaliza kwa Mwamposa.Ni dhambi coz kuna wenzio wana cheza bahati nasibu mpaka wanatoa vitu vyao vya thamani wanaliwa, wanajitengenezea wakati mgumu ambao utawapelekea kufanya maovu ili tu kubalance maisha yao!
Unatoa laana ya kitaifa kwani wewe ndiye rais?Wewe ni laana kwa taifa. Acha kuhalalisha uovu. KAMARI NI HARAMU.
Duhh basi hujatembea bado, kupora sio mpaka ukwapue ukimbie, kuna kijana huwa anakuja kukopa pesa anaweka dhamani gari au pikipiki yake akifika huko pesa zinaliwa zote! Baadae mnapelekana polisi wanachukua garina hawakupi mia mbovu kwa maana kisheria hairuhusiwi, unaona ni sawa? Kuliwa mpaka godoro la ndani we unaona ni sawa kabisa? Michezo hii sio mizuri!Kwani hamna watu wenye maisha magumu toka wanazaliwa na wanafanya maovu? Sijawahi kusikia mkamaria amepora ili akabeti.
Amekupigia simu ukajimalize? Si tunajipeleka wenyewe!Kuna sadaka ya kujimaliza kwa Mwamposa.
Kwa yale matangazo ya kwenye TV ni zaidi ya kupigiwa simu mamaangu. Nani hapendi kufanikiwa!Amekupigia simu ukajimalize? Si tunajipeleka wenyewe!
Kubeti ni starhe kama kunywa pombe hakuna utakachopata zaidi ya kupoteza yani ni starehe isiyo stareheshaTaifa limejaa vijana wapumbavu kwa sababu ya kubeti , wapi ulisikia taifa limeendelea kwa watu kujifungia ndani na kusuka mikeka ya kipumbavu?
Basi tamaa zako mwenyewe bila kuwa na maarifa ndizo zinakuponza!Kwa yale matangazo ya kwenye TV ni zaidi ya kupigiwa simu mamaangu. Nani hapendi kufanikiwa!
Castle_Lite shem hebu tufafanulie kuhusiana ana hii gambling!
Mpaka alinunua gari na pikipiki maana yake huyo ni mpambanaji mno....kwasababu hapa tanzania 70% hawana magari wala pikipiki na wala hawabetiDuhh basi hujatembea bado, kupora sio mpaka ukwapue ukimbie, kuna kijana huwa anakuja kukopa pesa anaweka dhamani gari au pikipiki yake akifika huko pesa zinaliwa zote! Baadae mnapelekana polisi wanachukua garina hawakupi mia mbovu kwa maana kisheria hairuhusiwi, unaona ni sawa? Kuliwa mpaka godoro la ndani we unaona ni sawa kabisa? Michezo hii sio mizuri!