Wanaocheza kamari wengi ni watoto wa kishua, hakuna cha upambanaji wala nini mimi ninaowafahamu wote wanatokea ushuani, kwahiyo anachukua gari la nyumbani au la dada yake! Huyo mwenye pikipiki ni boda, kwahiyo ukachee kamari mtaji kisa we ni mpambanaji?