Kwakuwa UDC haunagalii utaalam wa mtu inawezekana makundi yote kutuwakilisha kwenye utawala.Uteuzi wa wakuu wa wilaya ilitakiwa uzingatie mikoa, that is 139/26 na kujali jinsia na makundi yote ya kijamii
Wasalimie kule Kibwigwa, Kitambuka na kibande.Kwani mteuaji anakaa wapi?
Tuanzie hapo.
Umteue Dc wa mkoa halafu nani wa kumvusha kwenye Kijazi bridge pale.
Mi sio mjinga kuhamia kwenye vibanda vya mwendokasi, nikitokea Buhigwe
Kwahiyo wanaoishi mikoani ni mambumbumbu?Pili Dar es salaam Ina wakazi wa Aina zote Dar es salaam wanaokaa wengi Origin yao ni Mikoani....
Huku Wamekuja Kufatuta Tuu Fursa!
Hatuna Ukabila,Ndio Maana Kina Masanja,Lymo,Kavenuke,Rwegoshora wapo Dar es salaam wanaishi,Wanafanya Kazi,Ni wafanyabiashara nk na wengine Kusoma!
Tunaweza Kuwateua na Kuwasambazo mikoani lakini si walipotoka,Hatutaki Kumpeleka Lymo Moshi trna Au Rwegoshora kwenda Bukoba hapana Anaweza toka Dar akaenda Iringa,Morogoro nk
Hata kama ni dar kikubwa ni kuwajibika kwenye nafasi zao🤔!Hii inafikirisha sana. Hivi inawezekanaje jambo hili.
kwamba nchi nzima watu wenye uwezo kuongoza wanatoka au kukaa Dar pekee.
Pia uteuzi umeshindwa kubalance makundi ya kijamii. Tunajua haiwezi kuwa balanced 100% lakini je haya makundi yatawakilishwa na nani maana ndio proportion kubwa ya wananchi mathalani
1. Walimu
2. wakulima
3. Wafugaji
4. Wafanyabishara
Thamani yao wakati wakupitisha majina kwa wajumbe🤣🤣Kuna Watu wachache ndio wanaofaidika na Matunda ya Uhuru wengine wamefanywa Watumwa wa kileo.
Dhana ya uwakilishi ndio kusema imetupwa pembeni?Hata kama ni dar kikubwa ni kuwajibika kwenye nafasi zao🤔!
Natamani hizi position za RC na DC nazo ziwe za kupigiwa kura!Hii inafikirisha sana. Hivi inawezekanaje jambo hili.
kwamba nchi nzima watu wenye uwezo kuongoza wanatoka au kukaa Dar pekee.
Pia uteuzi umeshindwa kubalance makundi ya kijamii. Tunajua haiwezi kuwa balanced 100% lakini je haya makundi yatawakilishwa na nani maana ndio proportion kubwa ya wananchi mathalani
1. Walimu
2. wakulima
3. Wafugaji
4. Wafanyabishara
Mwonee huruma pamoja na maswahibu yote bado unaye tu.Kama upo Dar halafu umeteuliwa uje kwetu porini unajichalamila tu🤣View attachment 1824613
Au zifutwe kabisa maa hata huo ubunge inategemeana na Rais aliyeko madarakani. Bado wengi wenye uwezo wanakosa fursaNatamani hizi position za RC na DC nazo ziwe za kupigiwa kura!
Kuna kundi la vijana wenye exposure, wamesoma na sio tu kufuta ujinga! ambao wamezaliwa inborn mentality kuwa viongozi kutokana na jamii walizotoka na niwabunifu ila kwa bahati mbaya sana kundi hili MUHIMU maskini ya rabi limegoma kukaa upande wa CCM! Simlaumu MAMA! Katiba ya chama chake inambana!