Wote walioteuliwa aidha wanakaa ama wanatoka Dar es Salaam

Wote walioteuliwa aidha wanakaa ama wanatoka Dar es Salaam

Pili Dar es salaam Ina wakazi wa Aina zote Dar es salaam wanaokaa wengi Origin yao ni Mikoani.

Huku Wamekuja Kufatuta Tuu Fursa!

Hatuna Ukabila, Ndio Maana Kina Masanja, Lymo, Kavenuke, Rwegoshora wapo Dar es salaam wanaishi, Wanafanya Kazi, Ni wafanyabiashara nk na wengine Kusoma!

Tunaweza Kuwateua na Kuwasambazo mikoani lakini si walipotoka,Hatutaki Kumpeleka Lymo Moshi trna Au Rwegoshora kwenda Bukoba hapana Anaweza toka Dar akaenda Iringa,Morogoro nk
Ukiangalia uteuzi huu kwa makini utagundua wateule waliopangiwa wilaya za mkoa wa Kagera ni watu kutoka Kagera na wale waliopagiwa wilaya za mikoa ya Njombe na Mbeya watu kutoka mikoa hiyo. Soma majina kwa makini utaona.
 
Hii inafikirisha sana. Hivi inawezekanaje jambo hili.

Kwamba nchi nzima watu wenye uwezo kuongoza wanatoka au kukaa Dar pekee.

Pia uteuzi umeshindwa kubalance makundi ya kijamii. Tunajua haiwezi kuwa balanced 100% lakini je haya makundi yatawakilishwa na nani maana ndio proportion kubwa ya wananchi mathalani:

1. Walimu
2. Wakulima
3. Wafugaji
4. Wafanyabishara
Nimewaza sana hii kitu!
 
Back
Top Bottom