Wote walioteuliwa aidha wanakaa ama wanatoka Dar es Salaam

Hii kitu ata mimi nimeifikiria sana jana usiku ina maana mikoani hakuna watu wenye sifa, watanzania wenye weredi na uongozi wanapatikana dar tu haya buana ngoja tuone huu mchezo.
 
Hata kama ni dar kikubwa ni kuwajibika kwenye nafasi zao🤔!
 
Kwa hili tumemshtua pengine mikeka inayo atarekebisha
 
Tuache kulilia kuteuliwa watu badala yake watu wachague viongozi wao.
 
Hamia Dar mkuu upate uteuzi. Sifa ya ziada uwe msanii au mwanahabari.
 
Bora ziwe post za kuomba na sio kura au kuteuliwa
 
Hii kitu ata mimi nimeifikiria sana jana usiku ina maana mikoani hakuna watu wenye sifa, watanzania wenye weredi na uongozi wanapatikana dar tu haya buana ngoja tuone huu mchezo.
Kwani mabalozi walioteuliwa juzi wote wametokea wapi??
 
Wote walioteuliwa aidha wanakaa ama wanatoka Dar es Salaam..... Uko sawa 100% . Mkoa wa kigoma, Lindi, mtwara, Mara, katavi,songwe, iringa, manyara ,singida, tabora, shinyanga, Tanga,simiyu, Kilimanjaro , dodoma, na mingine mingi hakutokea DC hata mmoja. Hii ni historian na sijawahi ona uteuzi wa aina hii. Cha kushangaza, madaktari ,walimu na ngos ambalo ndipo watumishi wengi waliko, hakuna hata mmoja aliyekuwa. Kuna somo la kujifunza . Pili waliopamvana kukifuta chama Cha mapinduzi wamewekwa nje wakaingizwa mamluki.​

Mimi natamani zifutwe kabisaaaaa
 
Tatizo tukiwachagua wa mikoani nao wanahamia Dar. Wabunge zaidi ya 50% wa mikoani wamehamia Dar. Nafikiri kwa sababu Buza kwa mpalange inapatikana Dar.
walitoka Dar kwenda kupora ubunge wakapata wakarudi Dar kwenye vikao vya kamati za bunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…