Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Brother una roho ngumu, leo vijana wa kijani wote wamekula kona ila umebaki mwenyewe unapambana na umesimama imara, nakuombea maza akukumbuke hata u-dasHakuna uteuzi ni mwiba wa moto kwa bavicha kama huu
Hapati ng'oo. Fungu la kukosa huyo.Brother una roho ngumu, leo vijana wa kijani wote wamekula kona ila umebaki mwenyewe unapambana na umesimama imara, nakuombea maza akukumbuke hata u-das
Atapewa baba levo Crimea anaachwa....Hapati ng'oo. Fungu la kukosa huyo.
Ukiangalia uteuzi huu kwa makini utagundua wateule waliopangiwa wilaya za mkoa wa Kagera ni watu kutoka Kagera na wale waliopagiwa wilaya za mikoa ya Njombe na Mbeya watu kutoka mikoa hiyo. Soma majina kwa makini utaona.Pili Dar es salaam Ina wakazi wa Aina zote Dar es salaam wanaokaa wengi Origin yao ni Mikoani.
Huku Wamekuja Kufatuta Tuu Fursa!
Hatuna Ukabila, Ndio Maana Kina Masanja, Lymo, Kavenuke, Rwegoshora wapo Dar es salaam wanaishi, Wanafanya Kazi, Ni wafanyabiashara nk na wengine Kusoma!
Tunaweza Kuwateua na Kuwasambazo mikoani lakini si walipotoka,Hatutaki Kumpeleka Lymo Moshi trna Au Rwegoshora kwenda Bukoba hapana Anaweza toka Dar akaenda Iringa,Morogoro nk
Nimewaza sana hii kitu!Hii inafikirisha sana. Hivi inawezekanaje jambo hili.
Kwamba nchi nzima watu wenye uwezo kuongoza wanatoka au kukaa Dar pekee.
Pia uteuzi umeshindwa kubalance makundi ya kijamii. Tunajua haiwezi kuwa balanced 100% lakini je haya makundi yatawakilishwa na nani maana ndio proportion kubwa ya wananchi mathalani:
1. Walimu
2. Wakulima
3. Wafugaji
4. Wafanyabishara