Wote wanao chat muda huu wamejawa na upweke

Wote wanao chat muda huu wamejawa na upweke

Dah...yaani nimekaa hapa nje,,.naangalia anga..nyota zimejipanga vizuri..huku zikimetameta...ni mandhari nzuri sana....nawasikitikia waliolala [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]bangi yenye kirevi cha arikohori sio nzuri kwa matumizi ya usiku
 
Haiwezekani uko kitandani na BEBI wako halafu umuache tu alale wee uko busy na mtandao.
Wengi wana husika hapa ��������������������������msinipige mawe hamjuii nami niko wapi hapo.
tapatalk_1536961000709.jpeg
 
Back
Top Bottom