Na benzema huwa anacheza nafas gan we jamaa? [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]WANAOMSHAKIA RONALDO WANAHESABU IDADI YA MAGOLI, NAMNA YA KUPIGA MASHUTI NA PIA KUKAA KWENYE NAFASI KUFUNGA, BETTER ON HEADING THE BALL
Kwasasa ronaldo ni CF from LMF/RMF
MESSI = Dribling, assists, creative playmaker, dribling from CM/RW to attacking area
Messi = AMF/RMF
Ronaldo wa sasaivi CF sio wa kumfananisha na messi.. vtu viwili tofaut
Ni kama unamfananisha Aguero na KDB
Una hamu ya kupimwa tezi dume, huna lolote! Kalete gloves nikuhudumieMashoga mmeonana
Hayo yanawahusu Juve, sisi mnatuelewa namna tunavyowapakata tena uwanjani kwenu...bisha!Mashabik wengi wa barcelona bado mna hangover ya mogoli tulowafunga "MASHOSTI" wenu wa Turin.
Mkuu Barca Iniesta akipotea lazma na Messi asahaulike tuBila barca hakuna mesi ila bila Madrid Ronaldo yupooo
CR7 is a complete player. Anatumia miguu yote miwili kwa umahili mkubwa, ana kasi, anafunga magoli ya vichwa, penalty, adhabu ndogo na ana uchu wa ushindi. Sifa hizi Messi pia anazo ila ana upungufu mmoja hawezi kutumia mguu wa kuume kwa umahili.
Kichuya na Ronaldo nani mkali?
Wewe si mbishani maana unayoaandika ni unampinga mleta Mada ambaye ni Shoga.Binafsi napenda mpira wa Messi zaidi ya Ronaldo...
Mess is real...akikota mpira unaona kabisa mpira kama kazaliwa nao....
Ronaldo is artificial....mazoezi mengi inaonekana....na kujifua kwa sana...pia anamzuka sana.....yaan ningelinganisha kwa wanafunzi ningesema Ronaldo anapiga msuli paper...full kutoboa wakati Messi msuli kuelewa..haha
Mzee unapenda ligi!We wewe ni muha?Na kwa tabia yenu hata ubishi huwa mnakaimisha!Sijaona ambacho anakifanya leo hii Christiano Ronaldo na hakikufanywa na Fundi Lionel Messi miaka miwili mitatu nyuma. Halafu nimegundua kuwa wale wote ambao kutwa wanamshabikia na kumfagilia Christiano Ronaldo ni Washamba wakubwa, wageni wa masuala ya Mpira na watupu mno Kiuchambuzi na Kiutaalam wa masuala ya mpira.
Acheni ushamba tafadhali Christiano Ronaldo bado sana kwa Lionel Messi.
Nawasilisha.
Huu ni ukweli mchungu.
Ronaldo ni mmoja wa wachezaji bora zaidi kuwahi kutokea duniani, lkn Messi ni kiumbe ambaye amewahi kuugusa mpira kwa nanma ambayo hakuna kiumbe chochote duniani kinachoweza kufikia japo robo ya umahiri wake. Itamchukua Mungu miaka mingi sana kumuumba Messi mwingine.
Daaah....kwa hii comment yako ni hatari sana kwangu kuendelea kukujibu, sikujua kama mtu mwenyewe ni psychopathKama ni worst hebu toa yako nikupime na kipimio cha tezi dume...
Kuna la uongo nililoongea hapo we bwege...
Naona umeshakuwa shabiki wangu... nimekukuna eenh
huo ukuta ulofungwa goli mbili kwa dakika 90,kuna watu wametumia dakika 180 lakini hawakupata hata goli la offsideYale magoli aliyofunga Christina Renata sijui Ponado, hata mimi ningeweza tu kutega kitambi changu mpira ukanigonga ukaingia golini. Yule mshamba tu na mjivuni.
Lionel 'Leo' Messi akikufunga goli huwa ni tamu lililoambatana na chenga kiasi hata wewe uliyefungwa unafurahi...Messiah!
Acha blablah mpira ni kuweka magoli hayo mambo mengine ni mbwembwe tu hakuna lolote. Numbers don't lie angalia magoli ameweka Ronaldo acha kabisa haijalishi aliweka kwa style gani goli no goli.Sijaona ambacho anakifanya leo hii Christiano Ronaldo na hakikufanywa na Fundi Lionel Messi miaka miwili mitatu nyuma. Halafu nimegundua kuwa wale wote ambao kutwa wanamshabikia na kumfagilia Christiano Ronaldo ni Washamba wakubwa, wageni wa masuala ya Mpira na watupu mno Kiuchambuzi na Kiutaalam wa masuala ya mpira.
Acheni ushamba tafadhali Christiano Ronaldo bado sana kwa Lionel Messi.
Nawasilisha.
Sijaona ambacho anakifanya leo hii Christiano Ronaldo na hakikufanywa na Fundi Lionel Messi miaka miwili mitatu nyuma. Halafu nimegundua kuwa wale wote ambao kutwa wanamshabikia na kumfagilia Christiano Ronaldo ni Washamba wakubwa, wageni wa masuala ya Mpira na watupu mno Kiuchambuzi na Kiutaalam wa masuala ya mpira.
Acheni ushamba tafadhali Christiano Ronaldo bado sana kwa Lionel Messi.
Nawasilisha.