Wote wanaomshabikia Cristiano Ronaldo hawajui mpira na ni Wakengeukaji

Wote wanaomshabikia Cristiano Ronaldo hawajui mpira na ni Wakengeukaji

Mimi namkubali Messi anapokuwa uwanja akifanya uchawi wake lakini tukirudi kwenye statistics CR7 yuko juu ,tumpende tu Messi wetu na pia tukubali kuwa takwimu zinamkubali Ronaldo! Messi anaonekana kuridhika na vile alivyo na hana hofu akuwa na mpira sababu kuu ana nafasi ndogo mno ya kukosea anapokuwa na mpira wakati ronaldo yuko focused na muanagalufu na anajua ana njia zaidi ya kumi za kupoteza mpira kwa kuwa hana desturi ya kuwa fedhehesha sana wapinzani wake bali huwa adhibu nyavuni kwao!
Kuongezea huyu CR7 ana ndoa ngapi kwa miaka 2016-17 kulinganisha na huyo Messi?
 
CR7 is a complete player. Anatumia miguu yote miwili kwa umahili mkubwa, ana kasi, anafunga magoli ya vichwa, penalty, adhabu ndogo na ana uchu wa ushindi. Sifa hizi Messi pia anazo ila ana upungufu mmoja hawezi kutumia mguu wa kuume kwa umahili.
Hata vichwa hawezi anasubiri kuvizia
 
Huu ni ukweli mchungu.

Ronaldo ni mmoja wa wachezaji bora zaidi kuwahi kutokea duniani, lkn Messi ni kiumbe ambaye amewahi kuugusa mpira kwa nanma ambayo hakuna kiumbe chochote duniani kinachoweza kufikia japo robo ya umahiri wake. Itamchukua Mungu miaka mingi sana kumuumba Messi mwingine.
Huyu La purga jamani anatumia 100% ya ubongo akiwa uwanjani!!..akishika mpira unaona kabisa furaha
 
Mchezaji wa dunia nyingine anafanya mambo ya kawaida sana.

Mchezaji wa Kawaida anafanya mambo makubwa na mazito.

Duuh!. Pole sana. Cr7 ni habari nyingine.

Nilikuona bonge la Mjanja kumbe hata Wewe Mkuu hujui mpira? Narudia na nasisitiza kuwa Lionel Messi si wa Sayari hii na huyo Christiano Ronaldo wenu hata Simon Msuva akijitahidi anamfikia na hata kumzidi kwa mavituz na maujuzi mengi tu.
 
Sometimes tuheshimu pia uhuru wa mtu kuchagua akipendacho.. Kama unafurahishwa na uchezaji wa Messi basi wengine tunafurahishwa na CR-7

RAHA NINAYOIPATA KWA RONALDO SIEZI IPATA KWA MESSI

Ieleweke hivo na tuache ubishi usio na tija
 
Kadiri siku zinavyoenda unazidi kujishushia heshima yako humu MMU, yaan wew sio GEMTAMYCINE ninamfahamu humu ndan
 
Huu ni ukweli mchungu.

Ronaldo ni mmoja wa wachezaji bora zaidi kuwahi kutokea duniani, lkn Messi ni kiumbe ambaye amewahi kuugusa mpira kwa nanma ambayo hakuna kiumbe chochote duniani kinachoweza kufikia japo robo ya umahiri wake. Itamchukua Mungu miaka mingi sana kumuumba Messi mwingine.
Mkuu nakuheshimu ila jaribu kuedit maelezo yako hapo unaposema hakuna kiumbe chochote duniani kinaweza kumfikia Messi..Naona umeamua kuwa mshabiki uliyezama kwenye mapenzi yanayokufanya uwe kipofu kama sio mfu kabisa..
Hivi unavomsifia Messi unamaanisha ni bora ktk historia nzima ya mpira au unasemea vimiaka vya hivi karibuni..??
Maana kama ungejua historia ya mpira kwa uzuri usingethubutu kumsifia namna hiyo maana ni fedheha kwa wajua soka..
 
mESSI NI KIPAJI, CR ANAFORCE
KAMA INGEKUWA DARASANI BASI MESSI NI GENIUS THEN RONALDO NI MWENYE AKILI ZA KAWAIDA ANAYEHITAJI KUKESHA ILI AFAULU

Safi sana Mkuu umemaliza kila kitu na hata ukitizama posts nyingi za wale wote wanaomfagilia Christiano Ronaldo utagundua kuwa wana mtindio wa akili uliotukuka na pengine wanahitaji tiba ya haraka sana. Genius yoyote yule duniani lazima tu atampenda na kumkubali Fundi wa Mafundi Malaika wa Duniani Lionel Messi na siyo huyo Shoga wa Kireno.
 
C.Ronaldo mbabe wa Ulaya...hakuna anaesogelea record zake

-Top scorer wa champions league(All time)
-Top scorer wa season 5 za UEFA mfululizo...na season 6 kiujumla(All time)
-Mchezaji aliefunga goli katika mechi za fainali 3 tofauti za UEFA(All time)
-Top assits wa champions league(All time)
-Mchezaji aliefunga goli nyingi kwenye hatua za mtoano(All time)
-Mchezaji aliefunga goli nyingi kwenye hatua za makundi(All time)
-Goli nyingi katika msimu mmoja(All time)
 
Mkuu unazungumzia kipi hicho ambacho Messi amewahi kukifanya miaka miwili mitatu nyuma?!.

Miaka 5 mfululizo Ronaldo anaongoza kwa ufungaji bora kwenye UCL,huyo Messi amefanya hivyo lini?!.

Wengi wetu tunamsifia CR7 kwa ufungaji wake wa umahili ambao ameuonysha kwa miaka 5 bila upinzani wowote hata wa huyo Messi.

Messi ni mzuri,lakini CR7 amethibitisha hana mpinzani.

Ni hayo tu.
Atakae walinganisha mesi na ronaldo na yeye hajui kutofautisha

Hawa ni viumbe viwili tofauti
Ronaldo ni mchezaji nguri na bora wa sayari yake hii ya dunia, lakini mesi ni mchezaji ambaye anacheza mpira wa sayari ambayo hatavwachambuzi hawaijui

Ni sawa na kulinganisha ng'ombe mnene na tembo mnene.

Twende mbele turudi nyuma ni kosa kubwa kuwalinganisha hawa viumbe.

Hawwfananishwi, mesi ni kiumbe kingine
 
Kaka ujue Watu wanao Mshabikia Cr7 sio kwamba ni Shabiki wa Real Madrid ila Ni Mseto kati ya Arsnl,Man U n.k.na Hii yote ni Baada ya Kunyanyaswa Vibaya na Huyu kiumbe(Messi);sasa Basi linapo kuja suala la Kuwalinganisha ndo Vituko huanza Messi hufanyanishwa na Pele+Maradonna lakini sio Cr7 maana yeye anamkimbiza Messi licha Ya Messi kuwa Mdogo kiumri;kwahiyo kwa Kuunga mkono Hoja yako ni kwamba Messi ni Mdogo kiumri Lakini Bado anamsumbua Ronaldo na pia wanao Sema Cr7 ni Zaidi ya Messi ni Man U,Arsnl,Madrid n.k(Timu ambazo Messi wanamwona ADUI) ongeza Wareno wenzake Cr7...
Heheheeee... Mnatimia mbinu nyingi sana. Ila tu nikwambie ataishia kuwanyanyasa hao hao man u na Arsenal. Lakini uliza Chelsea ilimfanya nini au aliifanyia Barca ilipokutana na Chelsea.?

Messi ni mkali mkuu ila linapokuja swala la kumlinganisha na Ronaldo acheni ajifunze bado anakua mtoto yule. Halafu ajifunze kuacha kukimbia kodi awe analipa.
 
Sijaona ambacho anakifanya leo hii Christiano Ronaldo na hakikufanywa na Fundi Lionel Messi miaka miwili mitatu nyuma. Halafu nimegundua kuwa wale wote ambao kutwa wanamshabikia na kumfagilia Christiano Ronaldo ni Washamba wakubwa, wageni wa masuala ya Mpira na watupu mno Kiuchambuzi na Kiutaalam wa masuala ya mpira.

Acheni ushamba tafadhali Christiano Ronaldo bado sana kwa Lionel Messi.

Nawasilisha.
Ni kweli usemacho, lakini angekuwa bora zaidi messi angeweza kusaidia taifa lake kuchukua kombe la dunia na club yake kuchukua uefa japo kwa mwaka huu.. Ronaldo have done that recently..
 
Back
Top Bottom