Wote wanaomshabikia Cristiano Ronaldo hawajui mpira na ni Wakengeukaji

Wote wanaomshabikia Cristiano Ronaldo hawajui mpira na ni Wakengeukaji

Hivi vita ya Ronaldo vs Messi kuna nyuzi moja ya tangu mwaka 2008 ina uchambuzi mzuri sana wenye ushawishi.

Wengi wenu mliochangia kwenye huu uzi mmechangia kimahaba mahaba no facts!

Tena wengi mtakuwa ni mashabiki wa Alikiba na Diamond.
 
Hebu acheni kumfananisha CR7 na vitu vya kijinga ni kumkosea heshima aisee
 
Tatizo namba hazidanganyi. CR7 apewe heshima yake aise.
 
Ronaldo yupo juu Messi anabebwa kuna wakati messi alipewa uchezaji bora bila sababu. Ronaldo akahoji why wakasema timu yake imekuwa mabingwa ronaldo akanote hapo ronaldo alikuwa juu haswa kisoka next season Real ikawa bingwa ronaldo akasema vigezo nimetumiza ilikuwa kasheshe maana Waitaka tena kumpendelea Messi ikawashuka shu.. Messi kubebwa kulizidi even Mchezaji bora wa Dunia wa world cup kule Brazil alistahili Roben wakampa Messi kiupendeleo alizomewa uwanja mzima na tuzo hakudiriki kuinyenyua pumbavu zake... na aliirejesha mwenyewe kwa kujistukia ati fifa wakagoma. Aibu kuu
 
Mleta Mada vizuri anajitambulisha kuwa ni chizi fresh kila mada zake anaongea uharo
 
Kama messi sio Wa safari hii..ronaldinho sijui niseme katokea wapi????!!!!!
 
Kwa kutumia mguu huohuo mmoja kamzidi mafanikio huyo christina.
ANGETUMIA MIGUU MIWILI angefanya kufuru.
Maajabu anayofanya kwa mguu mmoja yangekua x 100.
hebu taja fanikio ambalo messi analo CR7 hana!!
 
Sijaona ambacho anakifanya leo hii Christiano Ronaldo na hakikufanywa na Fundi Lionel Messi miaka miwili mitatu nyuma. Halafu nimegundua kuwa wale wote ambao kutwa wanamshabikia na kumfagilia Christiano Ronaldo ni Washamba wakubwa, wageni wa masuala ya Mpira na watupu mno Kiuchambuzi na Kiutaalam wa masuala ya mpira.

Acheni ushamba tafadhali Christiano Ronaldo bado sana kwa Lionel Messi.

Nawasilisha.
Messi alichomzidi CR7 ni ufupi tu.

hiyo miaka mitatu unayosema CR7 amekua mfungaji bora wa UCL muda wote
 
Ronaldo ni mchezaji hatari na mzuri sana ila Messi sio wa sayari hii.
Mbona unajichanganya maana ukisema mesi si wa sayari hii je na Ronaldinho alikuwa wa sayari gani?, maana wote mesi na Ronaldo ni wachezaji wazuri ila hawakuwahi na sidhani kama watakuja kufikia kiwango alichocheza Gaucho japo aling'aa kwa muda mfupi.
 
hebu taja fanikio ambalo messi analo CR7 hana!!
1: olympic medal
2: fifa club world cup u20
3: Mchezaji bora kombe la dunia
4: Kuifikisha timu yake Final world cup
5: Kupa timu yake trebo mara mbili


UKITAKA NIENDELEE NAWEZA HATA KWA.KUTOA SABABU BILIONI 1
golden-shoe-gfx_1wj0rvs6fn5tt1jpd2g848if8g.png
 
Mkuu nakupa saluti upo sahihi kabisaa yani hata samata ni mkali kuliko huyo mzee wa offside
 
Sijaona ambacho anakifanya leo hii Christiano Ronaldo na hakikufanywa na Fundi Lionel Messi miaka miwili mitatu nyuma. Halafu nimegundua kuwa wale wote ambao kutwa wanamshabikia na kumfagilia Christiano Ronaldo ni Washamba wakubwa, wageni wa masuala ya Mpira na watupu mno Kiuchambuzi na Kiutaalam wa masuala ya mpira.

Acheni ushamba tafadhali Christiano Ronaldo bado sana kwa Lionel Messi.

Nawasilisha.
Umeibuka toka wapi tena? Uko sayari hii au nyingine mnako cheza mpira wenu mnaojua?
 
Mimi namkubali Messi anapokuwa uwanja akifanya uchawi wake lakini tukirudi kwenye statistics CR7 yuko juu ,tumpende tu Messi wetu na pia tukubali kuwa takwimu zinamkubali Ronaldo! Messi anaonekana kuridhika na vile alivyo na hana hofu akuwa na mpira sababu kuu ana nafasi ndogo mno ya kukosea anapokuwa na mpira wakati ronaldo yuko focused na muanagalufu na anajua ana njia zaidi ya kumi za kupoteza mpira kwa kuwa hana desturi ya kuwa fedhehesha sana wapinzani wake bali huwa adhibu nyavuni kwao!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ronaldo ni mchezaji hatari na mzuri sana ila Messi sio wa sayari hii.
Na ndiyo maana kapambana na wachezaji wa sayari hii wakamwonyesha mpira unavyocheza. Kamuulize Bayern alivyomliza Messi (Barca) lakini huyo Bayern alipofika kwa Ronaldo (RMA) akakakwaa kisiki, Kamuulize Messi (Barca) alivyolia kwa vizee vya Torino Juventus lakini alipofika kwa Ronaldo (RMA) ametoka uwanjani analia. Sasa huyo Messi anacheza na team za sayari gani mpaka unamsifia kwamba ni tishio
 
Back
Top Bottom