Nashangaa!!Kwan wewe ukiamni katika messi na sie tukaamin kwa ronaldo kuna ubaya ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashangaa!!Kwan wewe ukiamni katika messi na sie tukaamin kwa ronaldo kuna ubaya ?
hebu taja fanikio ambalo messi analo CR7 hana!!Kwa kutumia mguu huohuo mmoja kamzidi mafanikio huyo christina.
ANGETUMIA MIGUU MIWILI angefanya kufuru.
Maajabu anayofanya kwa mguu mmoja yangekua x 100.
Messi alichomzidi CR7 ni ufupi tu.Sijaona ambacho anakifanya leo hii Christiano Ronaldo na hakikufanywa na Fundi Lionel Messi miaka miwili mitatu nyuma. Halafu nimegundua kuwa wale wote ambao kutwa wanamshabikia na kumfagilia Christiano Ronaldo ni Washamba wakubwa, wageni wa masuala ya Mpira na watupu mno Kiuchambuzi na Kiutaalam wa masuala ya mpira.
Acheni ushamba tafadhali Christiano Ronaldo bado sana kwa Lionel Messi.
Nawasilisha.
Mbona unajichanganya maana ukisema mesi si wa sayari hii je na Ronaldinho alikuwa wa sayari gani?, maana wote mesi na Ronaldo ni wachezaji wazuri ila hawakuwahi na sidhani kama watakuja kufikia kiwango alichocheza Gaucho japo aling'aa kwa muda mfupi.Ronaldo ni mchezaji hatari na mzuri sana ila Messi sio wa sayari hii.
1: olympic medalhebu taja fanikio ambalo messi analo CR7 hana!!
Umeibuka toka wapi tena? Uko sayari hii au nyingine mnako cheza mpira wenu mnaojua?Sijaona ambacho anakifanya leo hii Christiano Ronaldo na hakikufanywa na Fundi Lionel Messi miaka miwili mitatu nyuma. Halafu nimegundua kuwa wale wote ambao kutwa wanamshabikia na kumfagilia Christiano Ronaldo ni Washamba wakubwa, wageni wa masuala ya Mpira na watupu mno Kiuchambuzi na Kiutaalam wa masuala ya mpira.
Acheni ushamba tafadhali Christiano Ronaldo bado sana kwa Lionel Messi.
Nawasilisha.
uko sahihi kabisa na baadhi yao japo si wote ni wa mikoaniWanaume wa Dar ndo mashabiki wakubwa wa Christiano mkuu!
Na mimi nikiamini katika Kichuya msinishangae...Kwan wewe ukiamni katika messi na sie tukaamin kwa ronaldo kuna ubaya ?
Na ndiyo maana kapambana na wachezaji wa sayari hii wakamwonyesha mpira unavyocheza. Kamuulize Bayern alivyomliza Messi (Barca) lakini huyo Bayern alipofika kwa Ronaldo (RMA) akakakwaa kisiki, Kamuulize Messi (Barca) alivyolia kwa vizee vya Torino Juventus lakini alipofika kwa Ronaldo (RMA) ametoka uwanjani analia. Sasa huyo Messi anacheza na team za sayari gani mpaka unamsifia kwamba ni tishioRonaldo ni mchezaji hatari na mzuri sana ila Messi sio wa sayari hii.
Na mimi nikiamini katika Kichuya msinishangae...
Kichuya tena duuuh