Joe Doe
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 484
- 918
Acha utani we jamaa, japo robo??Huu ni ukweli mchungu.
Ronaldo ni mmoja wa wachezaji bora zaidi kuwahi kutokea duniani, lkn Messi ni kiumbe ambaye amewahi kuugusa mpira kwa nanma ambayo hakuna kiumbe chochote duniani kinachoweza kufikia japo robo ya umahiri wake. Itamchukua Mungu miaka mingi sana kumuumba Messi mwingine.
Binafsi Messi reminds me of Ronaldinho