Wote wanaomshabikia Cristiano Ronaldo hawajui mpira na ni Wakengeukaji

Wote wanaomshabikia Cristiano Ronaldo hawajui mpira na ni Wakengeukaji

Sijaona ambacho anakifanya leo hii Christiano Ronaldo na hakikufanywa na Fundi Lionel Messi miaka miwili mitatu nyuma. Halafu nimegundua kuwa wale wote ambao kutwa wanamshabikia na kumfagilia Christiano Ronaldo ni Washamba wakubwa, wageni wa masuala ya Mpira na watupu mno Kiuchambuzi na Kiutaalam wa masuala ya mpira.

Acheni ushamba tafadhali Christiano Ronaldo bado sana kwa Lionel Messi.

Nawasilisha.
Usicho gundua ww ni kwamba washamba wapo wengi kuliko ww mjanja
 
CR7 is a complete player. Anatumia miguu yote miwili kwa umahili mkubwa, ana kasi, anafunga magoli ya vichwa, penalty, adhabu ndogo na ana uchu wa ushindi. Sifa hizi Messi pia anazo ila ana upungufu mmoja hawezi kutumia mguu wa kuume kwa umahili.

Kwa kutumia mguu huohuo mmoja kamzidi mafanikio huyo christina.
ANGETUMIA MIGUU MIWILI angefanya kufuru.
Maajabu anayofanya kwa mguu mmoja yangekua x 100.
 
Zinedine Zidane Manager / Kocha wa Real Madrid anamjua vizuri na tena zaidi yako Wewe POPOMA wa Christiano Ronaldo. Acheni kumpamba Christiano Ronaldo wakati ni mchezaji wa kawaida mno ambaye hata Mohamed Ibrahim au Shiza Kichuya wa Simba SC wanaweza wakamfikia na hata kumzidi sema tu bahati mbaya wapo Madongo Kuinama huku Afrika na bado hawajawa tu exposed kama Yeye.

Lionel Messi ndiyo habari ya mjini na ndiyo maana hata Manguli / Legends wenyewe Pele na Maradona wameshakiri kuwa Messi siyo wa Sayari hii tunayoishi sisi Mangumbaru / Hopeless.
Kila masika ina mbu zake...tunashukuru kwa mchango wako wa mawazo.
Ronaldo na Real Madrid mwaka huu ndo mabingwa wa soka nchini Hispania na mabingwa kwa vilabu vya Ulaya . hiyo ni fact hakuna majadala.
Ronaldo akiwa kiungo wa pembeni amefunga jumla ya magoli 600 na magoli 105 ya ligi ya mabingwa Ulaya.

Tafadhari naomba unipe jina la mchezaji kiuongo wa pembeni mwenye magoli kama ya CR
 
Acha basi wivu wa dizaini hiyo, Messi na MSN yake waliudanganya ulimwengu kuwa ukuta wa juventus haufungiki wala kupitika na katika mechi mbili walishindwa kufunga goli lolote lakini Ronaldo amewaprove wrong katika mechi moja kawatungua Mara mbili
Wewe MTU una akili sana
 
Huu ni ukweli mchungu.

Ronaldo ni mmoja wa wachezaji bora zaidi kuwahi kutokea duniani, lkn Messi ni kiumbe ambaye amewahi kuugusa mpira kwa nanma ambayo hakuna kiumbe chochote duniani kinachoweza kufikia japo robo ya umahiri wake. Itamchukua Mungu miaka mingi sana kumuumba Messi mwingine.
Kaka Uishi maisha Marefu...
 
Acha basi wivu wa dizaini hiyo, Messi na MSN yake waliudanganya ulimwengu kuwa ukuta wa juventus haufungiki wala kupitika na katika mechi mbili walishindwa kufunga goli lolote lakini Ronaldo amewaprove wrong katika mechi moja kawatungua Mara mbili
Wewe MTU una akili sana
 
Kwa kutumia mguu huohuo mmoja kamzidi mafanikio huyo christina.
ANGETUMIA MIGUU MIWILI angefanya kufuru.
Maajabu anayofanya kwa mguu mmoja yangekua x 100.

Yapi aliyomzidi? Huwezi kumtathmini mtu aliyechezea ligi ya nchi moja na tmu moja miaka yote. CR7 amenga'ara ligi za nchi mbili tofauti. Hatujamwona Messi nje ya Barcelona wala Hispania. Kwangu mimi namwona Messi bado sana kwa CR7
 
Ni povu baada ya huyo unayemshabikia kuishia kunyanyua tambara lake uwanjani huku mnyama akinyanyua ndoo zake mbili...
Ushamba ni kunyanyua tambara uwanjani na kujiona nyota...!!
Hahaha....eti Tambara.
 
Sijaona ambacho anakifanya leo hii Christiano Ronaldo na hakikufanywa na Fundi Lionel Messi miaka miwili mitatu nyuma. Halafu nimegundua kuwa wale wote ambao kutwa wanamshabikia na kumfagilia Christiano Ronaldo ni Washamba wakubwa, wageni wa masuala ya Mpira na watupu mno Kiuchambuzi na Kiutaalam wa masuala ya mpira.

Acheni ushamba tafadhali Christiano Ronaldo bado sana kwa Lionel Messi.

Nawasilisha.
Kaka ujue Watu wanao Mshabikia Cr7 sio kwamba ni Shabiki wa Real Madrid ila Ni Mseto kati ya Arsnl,Man U n.k.na Hii yote ni Baada ya Kunyanyaswa Vibaya na Huyu kiumbe(Messi);sasa Basi linapo kuja suala la Kuwalinganisha ndo Vituko huanza Messi hufanyanishwa na Pele+Maradonna lakini sio Cr7 maana yeye anamkimbiza Messi licha Ya Messi kuwa Mdogo kiumri;kwahiyo kwa Kuunga mkono Hoja yako ni kwamba Messi ni Mdogo kiumri Lakini Bado anamsumbua Ronaldo na pia wanao Sema Cr7 ni Zaidi ya Messi ni Man U,Arsnl,Madrid n.k(Timu ambazo Messi wanamwona ADUI) ongeza Wareno wenzake Cr7...
 
Huu ni ukweli mchungu.

Ronaldo ni mmoja wa wachezaji bora zaidi kuwahi kutokea duniani, lkn Messi ni kiumbe ambaye amewahi kuugusa mpira kwa nanma ambayo hakuna kiumbe chochote duniani kinachoweza kufikia japo robo ya umahiri wake. Itamchukua Mungu miaka mingi sana kumuumba Messi mwingine.
Itamchukua Mungu miaka mingapi etiii.....sidhani kama hii haitakua mzaha aisee.....
 
Nyie mnaosema Ronaldo sawa,,mkali sanaaa ila messi ni mkali zaid ya snaaaa maana anafunga mpaka kwenye penati anatoa pasi,,ronaldo anaweza hilo
Messi alikosa penalt katika fainali ya mechi ya Argentina iliyokaribia kuwapa kombe.
 
Kaka ujue Watu wanao Mshabikia Cr7 sio kwamba ni Shabiki wa Real Madrid ila Ni Mseto kati ya Arsnl,Man U n.k.na Hii yote ni Baada ya Kunyanyaswa Vibaya na Huyu kiumbe(Messi);sasa Basi linapo kuja suala la Kuwalinganisha ndo Vituko huanza Messi hufanyanishwa na Pele+Maradonna lakini sio Cr7 maana yeye anamkimbiza Messi licha Ya Messi kuwa Mdogo kiumri;kwahiyo kwa Kuunga mkono Hoja yako ni kwamba Messi ni Mdogo kiumri Lakini Bado anamsumbua Ronaldo na pia wanao Sema Cr7 ni Zaidi ya Messi ni Man U,Arsnl,Madrid n.k(Timu ambazo Messi wanamwona ADUI) ongeza Wareno wenzake Cr7...

Mimi naona CR ana mzidi Messi kwani CR amehama timu mara mbili na bado anaonekana yupo juu. Messi yeye haja wahi hama timu na Barcelona imesukwa kwa ajiri ya kumchezesha Messi. Siku Messi akiwa nje kwa muda mrefu kama mwaka huu ina wagharimu . Messi kama mchezaji wa timu ya Taifa ni Messi wa kawaida kabisa na mchango wake anazidiwa na Aguero.

CR amewasaidia Ureno kubeba ubingwa wa Ulaya.....
 
Siwez kukulaumu Mkuu, nailaumu nchi yetu kukataza viroba baadhi ya mikoa ikiwa wengne mnaendelea kuvifaidi
 
Miaka mi5 mfululizo kinara wa ufungaji ucl,10 goals kuanzia robo fainali tena si na celtic bali vs bayern,atletic,juve.bado msimu huu kwenye ucl amemzidi goals na assist huyo Messi...Messi na Ronaldo ni wachezaji bora,kila mtu ni zaidi ya mwenzake kwa muda wake.Ronaldo ni zaidi ya messi,Period.
Ronaldo anatumia nguvu nyingi sana mpaka hapo alipofikia ila messi kajaliwa kipaji.... Yan haitaji kujituma kivile simply vinakuja vyenyewe.. Ni sawa na ginius anaweza asiingie class ila kila pepa wew unakaaa....
 
mESSI NI KIPAJI, CR ANAFORCE
KAMA INGEKUWA DARASANI BASI MESSI NI GENIUS THEN RONALDO NI MWENYE AKILI ZA KAWAIDA ANAYEHITAJI KUKESHA ILI AFAULU
 
Back
Top Bottom