Wote wanaomshabikia Cristiano Ronaldo hawajui mpira na ni Wakengeukaji

Wote wanaomshabikia Cristiano Ronaldo hawajui mpira na ni Wakengeukaji

WANAOMSHAKIA RONALDO WANAHESABU IDADI YA MAGOLI, NAMNA YA KUPIGA MASHUTI NA PIA KUKAA KWENYE NAFASI KUFUNGA, BETTER ON HEADING THE BALL
Kwasasa ronaldo ni CF from LMF/RMF

MESSI = Dribling, assists, creative playmaker, dribling from CM/RW to attacking area

Messi = AMF/RMF

Ronaldo wa sasaivi CF sio wa kumfananisha na messi.. vtu viwili tofaut

Ni kama unamfananisha Aguero na KDB
Na benzema huwa anacheza nafas gan we jamaa? [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Binafsi napenda mpira wa Messi zaidi ya Ronaldo...
Mess is real...akikota mpira unaona kabisa mpira kama kazaliwa nao....
Ronaldo is artificial....mazoezi mengi inaonekana....na kujifua kwa sana...pia anamzuka sana.....yaan ningelinganisha kwa wanafunzi ningesema Ronaldo anapiga msuli paper...full kutoboa wakati Messi msuli kuelewa..haha
 
Mi natumia miguu yote mitatu. Yaani wa kuume wa kushoto na wa kiume au wa katikati bado nakubal kuwa lionel messi ni balaa kubwa anapokuwa na mpira. Messi alitoka sayar ya mars
CR7 is a complete player. Anatumia miguu yote miwili kwa umahili mkubwa, ana kasi, anafunga magoli ya vichwa, penalty, adhabu ndogo na ana uchu wa ushindi. Sifa hizi Messi pia anazo ila ana upungufu mmoja hawezi kutumia mguu wa kuume kwa umahili.
 
Ronado anabeba World Cup Messi hajapata na ballon d'or mwaka huu tena, halafu ni handsome boy kwelkweli.
 
Binafsi napenda mpira wa Messi zaidi ya Ronaldo...
Mess is real...akikota mpira unaona kabisa mpira kama kazaliwa nao....
Ronaldo is artificial....mazoezi mengi inaonekana....na kujifua kwa sana...pia anamzuka sana.....yaan ningelinganisha kwa wanafunzi ningesema Ronaldo anapiga msuli paper...full kutoboa wakati Messi msuli kuelewa..haha
Wewe si mbishani maana unayoaandika ni unampinga mleta Mada ambaye ni Shoga.
 
Sijaona ambacho anakifanya leo hii Christiano Ronaldo na hakikufanywa na Fundi Lionel Messi miaka miwili mitatu nyuma. Halafu nimegundua kuwa wale wote ambao kutwa wanamshabikia na kumfagilia Christiano Ronaldo ni Washamba wakubwa, wageni wa masuala ya Mpira na watupu mno Kiuchambuzi na Kiutaalam wa masuala ya mpira.

Acheni ushamba tafadhali Christiano Ronaldo bado sana kwa Lionel Messi.

Nawasilisha.
Mzee unapenda ligi!We wewe ni muha?Na kwa tabia yenu hata ubishi huwa mnakaimisha!
 
the only two things messi cant do is to score in the higher and pay tax hahahaha kuchukua UEFA mfululizo mara mbili
 
Cristiano Ronaldo's nine trophies in 372 days for Real Madrid and Portugal
4 Jun, 2017
  • i

    ESPN Staff

In just over a year, Cristiano Ronaldo has cleaned up in the world of football. Here is what the Real Madrid and Portugal superstar has achieved.

May 28, 2016: Wins Champions League trophy

A penalty shootout win over Atletico Madrid handed Ronaldo the UCL title. Matthew Ashton - AMA/Getty Images
July 10, 2016: Wins Euro 2016 with Portugal

A first major international trophy arrived as Portugal beat France 1-0. Matthias Hangst/Getty Images
Aug. 25 , 2016: Wins UEFA Best Player in Europe

He beat off competition from teammate Gareth Bale and Atletico Madrid striker Antoine Griezmann to land the award he first picked up in 2013-14. Harold Cunningham - UEFA/UEFA via Getty Images
Dec. 12, 2016: Wins Ballon d'Or

Ronaldo overcame Lionel Messi to be named the Ballon d'Or winner in 2016. GERARD JULIEN/AFP/Getty Images
Dec 18, 2016: Wins Club World Cup

Cristiano Ronaldo poses with the Club World Cup trophy following Real Madrid's 4-2 win against Kashima Antlers. Photo by Mike Hewitt - FIFA/FIFA via Getty Images
Jan 9, 2017: Named FIFA 'The Best' Men's Player

Ronaldo pipped Messi again to take home the FIFA player of the year award. Getty
March 20, 2017: Named Portugal player of the year

Unsurprisingly, Ronaldo also picked up the Portugal player of the year award after winning Euro 2016. Getty
May 21, 2017: Wins his second La Liga title

Only his second league title in Spain arrived at the end of the season. Getty
June 3, 2017: Wins Champions League again

And Ronaldo scored a brace, including his 600th career goal, to hand Real Madrid a 4-1 win over Juventus. JAVIER SORIANO/AFP/Getty Images
 
Huu ni ukweli mchungu.

Ronaldo ni mmoja wa wachezaji bora zaidi kuwahi kutokea duniani, lkn Messi ni kiumbe ambaye amewahi kuugusa mpira kwa nanma ambayo hakuna kiumbe chochote duniani kinachoweza kufikia japo robo ya umahiri wake. Itamchukua Mungu miaka mingi sana kumuumba Messi mwingine.

Mkuu samahani, nahisi utakuwa umepitiwa kidogo. Jamaa kaleta comparison ya Ronaldo to Messi, sasa wewe naona unaanza kumzungumzia Ronaldinho.

Please, stick to the mada mkuu.

cc Gang Chomba
 
Kama ni worst hebu toa yako nikupime na kipimio cha tezi dume...

Kuna la uongo nililoongea hapo we bwege...

Naona umeshakuwa shabiki wangu... nimekukuna eenh
Daaah....kwa hii comment yako ni hatari sana kwangu kuendelea kukujibu, sikujua kama mtu mwenyewe ni psychopath
 
Yale magoli aliyofunga Christina Renata sijui Ponado, hata mimi ningeweza tu kutega kitambi changu mpira ukanigonga ukaingia golini. Yule mshamba tu na mjivuni.

Lionel 'Leo' Messi akikufunga goli huwa ni tamu lililoambatana na chenga kiasi hata wewe uliyefungwa unafurahi...Messiah!
huo ukuta ulofungwa goli mbili kwa dakika 90,kuna watu wametumia dakika 180 lakini hawakupata hata goli la offside
 
Wakat ronaldo anakuw mfungaj bora uefa mara tano mfulilizo messi alkuw wap, wakat ronaldo anasaidia tim yake kutinga fainal miaka miwil mfululizo na kuchukua makombe messi alkuw wap? Wacha maneno weka muzik tunatak data sio porojo.
 
Ukichukua mpira kama kazi Ronaldo anaongoza ila ikiwa mpira kama Game Messi yupo juu sana. Mbio na kubutua ili kufunga haina ladha ya game. Ndio maana final ya juzi haikuwa na ladha wala mipango ni butuua tukadumbukize.
 
Sijaona ambacho anakifanya leo hii Christiano Ronaldo na hakikufanywa na Fundi Lionel Messi miaka miwili mitatu nyuma. Halafu nimegundua kuwa wale wote ambao kutwa wanamshabikia na kumfagilia Christiano Ronaldo ni Washamba wakubwa, wageni wa masuala ya Mpira na watupu mno Kiuchambuzi na Kiutaalam wa masuala ya mpira.

Acheni ushamba tafadhali Christiano Ronaldo bado sana kwa Lionel Messi.

Nawasilisha.
Acha blablah mpira ni kuweka magoli hayo mambo mengine ni mbwembwe tu hakuna lolote. Numbers don't lie angalia magoli ameweka Ronaldo acha kabisa haijalishi aliweka kwa style gani goli no goli.
 
Sijaona ambacho anakifanya leo hii Christiano Ronaldo na hakikufanywa na Fundi Lionel Messi miaka miwili mitatu nyuma. Halafu nimegundua kuwa wale wote ambao kutwa wanamshabikia na kumfagilia Christiano Ronaldo ni Washamba wakubwa, wageni wa masuala ya Mpira na watupu mno Kiuchambuzi na Kiutaalam wa masuala ya mpira.

Acheni ushamba tafadhali Christiano Ronaldo bado sana kwa Lionel Messi.

Nawasilisha.

Mpira ni mchezo Wa matokeo na mafanikio
 
Back
Top Bottom