Mbona unasema hujibu na hapo hapo umejibu taahira unatafuta Bwana humu jf.. unakuja kwangu kingese nakutoa nduki sina mazoea na Mashoga. .Daaah....kwa hii comment yako ni hatari sana kwangu kuendelea kukujibu, sikujua kama mtu mwenyewe ni psychopath
Christiano ndio nani?ninayemfahamu anaitwa Cristiano Ronaldo!Sijaona ambacho anakifanya leo hii Christiano Ronaldo na hakikufanywa na Fundi Lionel Messi miaka miwili mitatu nyuma. Halafu nimegundua kuwa wale wote ambao kutwa wanamshabikia na kumfagilia Christiano Ronaldo ni Washamba wakubwa, wageni wa masuala ya Mpira na watupu mno Kiuchambuzi na Kiutaalam wa masuala ya mpira.
Acheni ushamba tafadhali Christiano Ronaldo bado sana kwa Lionel Messi.
Nawasilisha.
Sio kigezo. Kwani nilisema Messi anafunga kila mechi?huo ukuta ulofungwa goli mbili kwa dakika 90,kuna watu wametumia dakika 180 lakini hawakupata hata goli la offside
Yale magoli aliyofunga Christina Renata sijui Ponado, hata mimi ningeweza tu kutega kitambi changu mpira ukanigonga ukaingia golini. Yule mshamba tu na mjivuni.
Lionel 'Leo' Messi akikufunga goli huwa ni tamu lililoambatana na chenga kiasi hata wewe uliyefungwa unafurahi...Messiah!
Wewe si mbishani maana unayoaandika ni unampinga mleta Mada ambaye ni Shoga.
Sasa shida iko wapi? Kwani uliambiwa tunamzungumzia unayemjua wewe?Christiano ndio nani?ninayemfahamu anaitwa Cristiano Ronaldo!
hesabu balon dor [emoji3] [emoji3] [emoji3] umedhamiria kuandika ivi ama but remember alietangulia katangulia tuMkuu point yako sijaona zaidi ya kuona majungu na masimango. Nenda kwa facts brother. Kila mmoja ana mchango wake kwenye timu yake. Messi ni top score La Liga lakini Ronaldo ni top score kwenye timu yake. Lakini mwisho wa siku nani kaondoka na kombe.?
Ronaldo kaifikisha timu yake fainali ya Europa na wakachukua kombe Messi kaingia mara ngapi fainali ya copa Amerika. "THE BAD GUYS NEED TO GET LUCKY EVERY TIME", "THE GOOD GUYS JUST NEED TO GET LUCKY ONCE"
Hesabu Ballon d'or zao kisha nipe jibu haraka sana. Halafu unipe na umri wao kila mmoja.
Binafsi wote ni wakali ila Ronaldo ni mkali wa wote. Na sitaacha kuonyesha mahaba ya dhati juu ya huyu mtu.
Toa facts usitoe pove mkuu
Mkuu usimtukuze sana Messi ukamshau mwalimu wake ambae alimuamua kucheza nae kabla hajamuachia ile no 10 anayovaa Messi kwa sasa. Na burudani unayopata kwa Messi ni sehemu ndogo tu ya burudani aliyopewa na mwalimu wake. Nakuwekea na picha umjue mwenye ufundi wakeHuu ni ukweli mchungu.
Ronaldo ni mmoja wa wachezaji bora zaidi kuwahi kutokea duniani, lkn Messi ni kiumbe ambaye amewahi kuugusa mpira kwa nanma ambayo hakuna kiumbe chochote duniani kinachoweza kufikia japo robo ya umahiri wake. Itamchukua Mungu miaka mingi sana kumuumba Messi mwingine.
Ronado anabeba World Cup Messi hajapata na ballon d'or mwaka huu tena, halafu ni handsome boy kwelkweli.
Kama kweli UNAAMINI uwepo na UWEZO wa huyo unayemuita Mungu, usingeandika huu UJINGA..!Itamchukua Mungu miaka mingi sana kumuumba Messi mwingine.