Mkuu point yako sijaona zaidi ya kuona majungu na masimango. Nenda kwa facts brother. Kila mmoja ana mchango wake kwenye timu yake. Messi ni top score La Liga lakini Ronaldo ni top score kwenye timu yake. Lakini mwisho wa siku nani kaondoka na kombe.?
Ronaldo kaifikisha timu yake fainali ya Europa na wakachukua kombe Messi kaingia mara ngapi fainali ya copa Amerika. "THE BAD GUYS NEED TO GET LUCKY EVERY TIME", "THE GOOD GUYS JUST NEED TO GET LUCKY ONCE"
Hesabu Ballon d'or zao kisha nipe jibu haraka sana. Halafu unipe na umri wao kila mmoja.
Binafsi wote ni wakali ila Ronaldo ni mkali wa wote. Na sitaacha kuonyesha mahaba ya dhati juu ya huyu mtu.
Toa facts usitoe pove mkuu