Wote wanaomshabikia Cristiano Ronaldo hawajui mpira na ni Wakengeukaji

Wote wanaomshabikia Cristiano Ronaldo hawajui mpira na ni Wakengeukaji

Daaah....kwa hii comment yako ni hatari sana kwangu kuendelea kukujibu, sikujua kama mtu mwenyewe ni psychopath
Mbona unasema hujibu na hapo hapo umejibu taahira unatafuta Bwana humu jf.. unakuja kwangu kingese nakutoa nduki sina mazoea na Mashoga. .
 
Sijaona ambacho anakifanya leo hii Christiano Ronaldo na hakikufanywa na Fundi Lionel Messi miaka miwili mitatu nyuma. Halafu nimegundua kuwa wale wote ambao kutwa wanamshabikia na kumfagilia Christiano Ronaldo ni Washamba wakubwa, wageni wa masuala ya Mpira na watupu mno Kiuchambuzi na Kiutaalam wa masuala ya mpira.

Acheni ushamba tafadhali Christiano Ronaldo bado sana kwa Lionel Messi.

Nawasilisha.
Christiano ndio nani?ninayemfahamu anaitwa Cristiano Ronaldo!
 
Yale magoli aliyofunga Christina Renata sijui Ponado, hata mimi ningeweza tu kutega kitambi changu mpira ukanigonga ukaingia golini. Yule mshamba tu na mjivuni.

Lionel 'Leo' Messi akikufunga goli huwa ni tamu lililoambatana na chenga kiasi hata wewe uliyefungwa unafurahi...Messiah!

Umemaliza kila kitu Mkuu na acha hao wanaomshabikia Shoga la Kireno waendelee kufanya hivyo. Hakuna kama Lionel Messi katika dunia hii kwa sasa na inaweze ikatuchukua hata miaka 250 ijayo kuja kumpata tena Mchezaji mwenye utamu wote wa Kimpira kama Yeye ( Messi )
 
Christiano ndio nani?ninayemfahamu anaitwa Cristiano Ronaldo!
Sasa shida iko wapi? Kwani uliambiwa tunamzungumzia unayemjua wewe?

Hii mada inamhusu yule anayeendaga Morocco kupimwa tezi dume

2F0E050900000578-0-image-m-24_1449235104464.jpg


Huyu
 
Mkuu point yako sijaona zaidi ya kuona majungu na masimango. Nenda kwa facts brother. Kila mmoja ana mchango wake kwenye timu yake. Messi ni top score La Liga lakini Ronaldo ni top score kwenye timu yake. Lakini mwisho wa siku nani kaondoka na kombe.?

Ronaldo kaifikisha timu yake fainali ya Europa na wakachukua kombe Messi kaingia mara ngapi fainali ya copa Amerika. "THE BAD GUYS NEED TO GET LUCKY EVERY TIME", "THE GOOD GUYS JUST NEED TO GET LUCKY ONCE"

Hesabu Ballon d'or zao kisha nipe jibu haraka sana. Halafu unipe na umri wao kila mmoja.

Binafsi wote ni wakali ila Ronaldo ni mkali wa wote. Na sitaacha kuonyesha mahaba ya dhati juu ya huyu mtu.

Toa facts usitoe pove mkuu
hesabu balon dor [emoji3] [emoji3] [emoji3] umedhamiria kuandika ivi ama but remember alietangulia katangulia tu
 
Ingekuwa ni wanafunzi Mimi ningesema hivi: Ronaldo anasoma sana lakini Messi ni genius
 
Rinaldo ameshinda kila kitu alichoshinda Messi ila Messi hajashinda kila kitu alichoshinda Ronaldo,
Messi amecheza team moja maisha yake yote tena akiwa amezungukwa na kundi kubwa la wachezaji wenye vipaji vikubwa na bora
Ronaldo amecheza team 3 ktk ligi 3 tofauti akiwazungukwa na wachezaji bora pamoja wale tunaowaita wa kawaida lkn ubora wake haujawai kushuka,

Ronaldo ametwaa ubingwa wa Euro akiwa na wachezaji wakawaida Ureno wakati Messi pamoja na kucheza na lundo la mastaa Argentina hajawai kufanya lolote la maana
Pamoja na kucheza na xaivi , iniesta, neymar na suarez Ronaldo amekuwa akimbuluza champion league kwa miaka 5 mfulilizo

Aisee ukikutana na Ronaldo mpe shikamoo yake maana mpira mabao chenga hata okocha alikuwa nazo tena za burudani na kama ni mbio hata valencia anazo
 
Hivi kuanzia 2012 hadi 2017 Messi alikuwa ana cheza ndondo cup au [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
f0aa1a885c74ecb71db4adab0643951a.jpg
 
Huu ni ukweli mchungu.

Ronaldo ni mmoja wa wachezaji bora zaidi kuwahi kutokea duniani, lkn Messi ni kiumbe ambaye amewahi kuugusa mpira kwa nanma ambayo hakuna kiumbe chochote duniani kinachoweza kufikia japo robo ya umahiri wake. Itamchukua Mungu miaka mingi sana kumuumba Messi mwingine.
Mkuu usimtukuze sana Messi ukamshau mwalimu wake ambae alimuamua kucheza nae kabla hajamuachia ile no 10 anayovaa Messi kwa sasa. Na burudani unayopata kwa Messi ni sehemu ndogo tu ya burudani aliyopewa na mwalimu wake. Nakuwekea na picha umjue mwenye ufundi wake
595dbbcf47646d75153c153d0e6e2ebf.jpg
 
kwako huwa unazingitia vigezo gani mpaka kumuona mchezaji bora? kwa kugusa mpira kwa namna ya pekee bila kuleta mafanikio kwa timu anazozitumikia?

ukweli acha usemwe christiano ronaldo is the best
 
Back
Top Bottom