Wote wanaomshabikia Cristiano Ronaldo hawajui mpira na ni Wakengeukaji

Wote wanaomshabikia Cristiano Ronaldo hawajui mpira na ni Wakengeukaji

Ukiangalia wachezaji waliokuwa ureno wakati Ronaldo ananyanyua kombe la euro2016 na wachezaji wa Argentina wanaopoteza fainali,ukiangalia aina ya timu zilizopo bara la ulaya na kule America,hapa ndo unaona tofauti ya Messi na Ronaldo.
 
Zinedine Zidane Manager / Kocha wa Real Madrid anamjua vizuri na tena zaidi yako Wewe POPOMA wa Christiano Ronaldo. Acheni kumpamba Christiano Ronaldo wakati ni mchezaji wa kawaida mno ambaye hata Mohamed Ibrahim au Shiza Kichuya wa Simba SC wanaweza wakamfikia na hata kumzidi sema tu bahati mbaya wapo Madongo Kuinama huku Afrika na bado hawajawa tu exposed kama Yeye.

Lionel Messi ndiyo habari ya mjini na ndiyo maana hata Manguli / Legends wenyewe Pele na Maradona wameshakiri kuwa Messi siyo wa Sayari hii tunayoishi sisi Mangumbaru / Hopeless.
Unaumia sana ukisikia habari za CR7. Bado August kuna mechi/vikombe vya kujazia jazia. Utaendelea kuumia zaidi na zaidi. Dah
 
Mbona unajichanganya maana ukisema mesi si wa sayari hii je na Ronaldinho alikuwa wa sayari gani?, maana wote mesi na Ronaldo ni wachezaji wazuri ila hawakuwahi na sidhani kama watakuja kufikia kiwango alichocheza Gaucho japo aling'aa kwa muda mfupi.

Uliza kwanza sayari gani.
 
Na ndiyo maana kapambana na wachezaji wa sayari hii wakamwonyesha mpira unavyocheza. Kamuulize Bayern alivyomliza Messi (Barca) lakini huyo Bayern alipofika kwa Ronaldo (RMA) akakakwaa kisiki, Kamuulize Messi (Barca) alivyolia kwa vizee vya Torino Juventus lakini alipofika kwa Ronaldo (RMA) ametoka uwanjani analia. Sasa huyo Messi anacheza na team za sayari gani mpaka unamsifia kwamba ni tishio

Hivi kumbe haiwezekani kuwasifu wote bila kumponda mmoja? [emoji3]
 
Huu ni ukweli mchungu.

Ronaldo ni mmoja wa wachezaji bora zaidi kuwahi kutokea duniani, lkn Messi ni kiumbe ambaye amewahi kuugusa mpira kwa nanma ambayo hakuna kiumbe chochote duniani kinachoweza kufikia japo robo ya umahiri wake. Itamchukua Mungu miaka mingi sana kumuumba Messi mwingine.
Unaongea utazan hamna wakati !!!! Hujajua kunavipaji gan vinaendelezwa Na havitachukua mda utaviona yan ili jambo unaongea utazan utafiti wa kisayansi eti!!! Ukiongelea sayansi kweli utasema kunamiaka kadhaaa ya uvumbuzi wa kitu lakin sio binadam Na kipaji chake atakuja2 m2 ataemzidi mess Na lonardo Hata muongo mmoja hauishi!!!!
 
Zinedine Zidane Manager / Kocha wa Real Madrid anamjua vizuri na tena zaidi yako Wewe POPOMA wa Christiano Ronaldo. Acheni kumpamba Christiano Ronaldo wakati ni mchezaji wa kawaida mno ambaye hata Mohamed Ibrahim au Shiza Kichuya wa Simba SC wanaweza wakamfikia na hata kumzidi sema tu bahati mbaya wapo Madongo Kuinama huku Afrika na bado hawajawa tu exposed kama Yeye.

Lionel Messi ndiyo habari ya mjini na ndiyo maana hata Manguli / Legends wenyewe Pele na Maradona wameshakiri kuwa Messi siyo wa Sayari hii tunayoishi sisi Mangumbaru / Hopeless.
4efb1400fda75b3167a4a607f1a32c56.jpg
 
Jamani hao wote niwachezaji wa kawaida. Ila ronaldo anamvuto zaidi (nyota). Kwangu mchezaji mzuri alikuwa dinyo tu.
 
Nyie mnaosema Ronaldo sawa,,mkali sanaaa ila messi ni mkali zaid ya snaaaa maana anafunga mpaka kwenye penati anatoa pasi,,ronaldo anaweza hilo
Yani sijui umeandika mdudu gani!! Kwani wewe huwezi kutoa pasi ya penalt??
 
Cuz my Guys call me Cristano....Mr Ronaldo [emoji443][emoji443]
 
Kwa nn umetowa mfano wa CR na Mess na sio kichuya na Mess ni kwa sababu unajuwa wazi kuwa ndio MTU peeke anatikisa mess na mess ndie anayemtikisa Cr kama wewe unajuwa mpira zaid ya wale FIFA wanaotowa tuzo na kutunga sheria sawa haina shida na sio lazima wewe ukiwa mlokole wote tuwe walokole basis amini unacho amni tuache na CR wetu kwani anakuuma nn we sie tukimshabikia
 
Back
Top Bottom