Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaumia sana ukisikia habari za CR7. Bado August kuna mechi/vikombe vya kujazia jazia. Utaendelea kuumia zaidi na zaidi. DahZinedine Zidane Manager / Kocha wa Real Madrid anamjua vizuri na tena zaidi yako Wewe POPOMA wa Christiano Ronaldo. Acheni kumpamba Christiano Ronaldo wakati ni mchezaji wa kawaida mno ambaye hata Mohamed Ibrahim au Shiza Kichuya wa Simba SC wanaweza wakamfikia na hata kumzidi sema tu bahati mbaya wapo Madongo Kuinama huku Afrika na bado hawajawa tu exposed kama Yeye.
Lionel Messi ndiyo habari ya mjini na ndiyo maana hata Manguli / Legends wenyewe Pele na Maradona wameshakiri kuwa Messi siyo wa Sayari hii tunayoishi sisi Mangumbaru / Hopeless.
ana force then ana mpita Genius....hahaha
Mbona unajichanganya maana ukisema mesi si wa sayari hii je na Ronaldinho alikuwa wa sayari gani?, maana wote mesi na Ronaldo ni wachezaji wazuri ila hawakuwahi na sidhani kama watakuja kufikia kiwango alichocheza Gaucho japo aling'aa kwa muda mfupi.
Na ndiyo maana kapambana na wachezaji wa sayari hii wakamwonyesha mpira unavyocheza. Kamuulize Bayern alivyomliza Messi (Barca) lakini huyo Bayern alipofika kwa Ronaldo (RMA) akakakwaa kisiki, Kamuulize Messi (Barca) alivyolia kwa vizee vya Torino Juventus lakini alipofika kwa Ronaldo (RMA) ametoka uwanjani analia. Sasa huyo Messi anacheza na team za sayari gani mpaka unamsifia kwamba ni tishio
Kamuulize Giorgio Chiellini anamajibu.. Dk 180 aliweza kumzuia Messi..ila Ronaldo kawafanya kitu mbaya
Leta kipimo chakoNdio kipimo chako hicho [emoji28]
Aliyeanza kuponda nani? Hoja ujibiwa kwa hoja kawaponda washabiki wa Ronaldo anapata jibuHivi kumbe haiwezekani kuwasifu wote bila kumponda mmoja? [emoji3]
akacheze uengereza kwanza ndio nitasema ni mzuri.lkn kangangania ligi moja tu halafu unasemaje ni mzuri?Ronaldo ni mchezaji hatari na mzuri sana ila Messi sio wa sayari hii.
Unaongea utazan hamna wakati !!!! Hujajua kunavipaji gan vinaendelezwa Na havitachukua mda utaviona yan ili jambo unaongea utazan utafiti wa kisayansi eti!!! Ukiongelea sayansi kweli utasema kunamiaka kadhaaa ya uvumbuzi wa kitu lakin sio binadam Na kipaji chake atakuja2 m2 ataemzidi mess Na lonardo Hata muongo mmoja hauishi!!!!Huu ni ukweli mchungu.
Ronaldo ni mmoja wa wachezaji bora zaidi kuwahi kutokea duniani, lkn Messi ni kiumbe ambaye amewahi kuugusa mpira kwa nanma ambayo hakuna kiumbe chochote duniani kinachoweza kufikia japo robo ya umahiri wake. Itamchukua Mungu miaka mingi sana kumuumba Messi mwingine.
Zinedine Zidane Manager / Kocha wa Real Madrid anamjua vizuri na tena zaidi yako Wewe POPOMA wa Christiano Ronaldo. Acheni kumpamba Christiano Ronaldo wakati ni mchezaji wa kawaida mno ambaye hata Mohamed Ibrahim au Shiza Kichuya wa Simba SC wanaweza wakamfikia na hata kumzidi sema tu bahati mbaya wapo Madongo Kuinama huku Afrika na bado hawajawa tu exposed kama Yeye.
Lionel Messi ndiyo habari ya mjini na ndiyo maana hata Manguli / Legends wenyewe Pele na Maradona wameshakiri kuwa Messi siyo wa Sayari hii tunayoishi sisi Mangumbaru / Hopeless.
Ronaldo ni mchezaji hatari na mzuri sana ila Messi sio wa sayari hii.
Yani sijui umeandika mdudu gani!! Kwani wewe huwezi kutoa pasi ya penalt??Nyie mnaosema Ronaldo sawa,,mkali sanaaa ila messi ni mkali zaid ya snaaaa maana anafunga mpaka kwenye penati anatoa pasi,,ronaldo anaweza hilo
Sasa inakuaje ashindwe kuchukua walau mfungaji bora wa uefa??Messi ni malaika aliyetumwa na mungu kushughulika na issue za mpira
Leta kipimo chako
Aliyeanza kuponda nani? Hoja ujibiwa kwa hoja kawaponda washabiki wa Ronaldo anapata jibu
akacheze uengereza kwanza ndio nitasema ni mzuri.lkn kangangania ligi moja tu halafu unasemaje ni mzuri?