Would you say it? (Ungesema?)

We sema ukweli tu uone moto wake

habari yako Gaga,

Nimenote kitu kwen hii sredi, kwamba kuna tofauti kati ya reality ya maisha ya kimahusiano, kwa maana ya wale waliopo tayari, na wale ambao bado, huku wanaifikiria ile 'ideal situation'....

sasa ni bora tu, kama alivosema Chauro....kuujua ukweli na kuukubali manake na yeye anadai alikwau ivo zamani lakini sasa ambedilika....
 
Still thinking?.............Am waiting!

I'm done ...
leo kwa mara ya kwanza nakubaliana nawe..
kwa sababu ni ijumaa na Busa imeshuka bei..

nway nakubaliana nawe kwa hivi tangu enzi hizo
ma babu walikuwa wanaoa zaidi ya mke mmoja..
( babu wa mama yangu alikuwa na wake 9)
(wote Islam and Christian )
ila miaka hii ya 21st century tumeamua kuiziba hiyo..
Na ndio maana haya mambo sijui ya nyumba ndogo
infi hayaishi...... ( napenda kuuita urithi wa damu)

lakini mie bado siwatetei ila naelewa sababu.....
 

Thats my girl.....Unatumia mvinyo gani?

I wish na wanawake wengine wangeujua huu ukweli.... Wanajitetea tu hapa lakini ukweli hao jamaa/waume zao wanawacheat kama kawaida!

Sijui kwanini wanawake hawapendi kuukubali huu ukweli? Afu wana bahati tunawaambia ukweli lakini wanatubishia...damn!
 
Babu ingawa ukweli unauma ,ndo maana nimemuambia lizzy hajaolewa hajaumbika kukubali ukweli wa maisha huwa ni mgumu sana wakati mwingine .......lakini with time huwa tunatengeneza ganzi za moyo.

 

babu sio kwamba hatujui ukweli
bali tunapenda kuwa special tunapenda
kujua ni mimi na wewe tu hakuna mwingine
Napenda kujivunia wewe ni wangu na mimi wako

Na vitu kama nyumba ndogo, infi vinaondoa
Ice juu ya cake .. na huwa sisi wanawake tuna
mioyo milaini sana tukujua wanaume zetu wanatoka
nje tunaanza waza its my fault .. Ni nini sifanyi or
I'm not good enough ..

Kingine ni haya magonjwa tunayoogopa..
Miaka hiyo ya 1910 kulikuwa hakuna magonjwa
ya ajabu ajabu kama sasa
especially kama tunafamilia mmmhh mawazo
yanazidi .. cha mwisho ni uwivu tu wamapenzi..

Asante babu
 
usimwage kuku penye mchele mwingi mkuu!
 
Babu ingawa ukweli unauma ,ndo maana nimemuambia lizzy hajaolewa hajaumbika kukubali ukweli wa maisha huwa ni mgumu sana wakati mwingine .......lakini with time huwa tunatengeneza ganzi za moyo.
Ewaaaaa....kilichobakia kama ulivyosema ni kuivaa mioyo ya ganzi....huwezi kuusemea moyo wa mwenzako...... Mke/mme wako anakuwa wako unapokuwa naye. Akitoka nje LOL

Cha msingi ni kuamini visivyoaminika...........kwahiyo tunarudi kwenye konklushen:

UKICHEAT USISEME kama UNAPENDA UHUSIANO WENU UDUMU!

Thread Closed!
 

e bana ee, Mwj1 nami naomba dua zako.
Amen, AMEN!...

unajua Mbu kinachonichosha mie hapa ......au labda kaka Kaizer angefafanua ni umecheat waikati gani??...kama ni kabla hujawa na huyu mpenzio wa sasa (labda ukatembea na mtu ambaye unajua kabisa akisikia from a third part , ataumia)..........na hii sidhani kama inaqualify kwenye definition ya cheating-............its fine ukijisikia kumweleza mjuze kama unaona kuna umuhimu na ni mwelewa (maana mwingine anaweza akachukula past yako akawa anaitumia kukujudge kwa present time bila kuangalia may be umechange au laah) ila kama umecheat wakati uko naye...............whatever the reason/force maaaan....swallow it because to me it doesnt make sense kwa sababu
1. Kama umecheat kwa kuwa umekosoa kitu kwake............why didnt you say akarekebisha?
2. Kama umecheat kwa kupitiwa na shetani.then kwa kuwa shetani ni intangible na non-seen - better mwachie yeye shetani (do not try to make me understand kuwa shetani lives in you and that you are vulnerable to shetani- no body want to be widow in heaven kisa mumewe kenda motoni!! and
3. Kama umecheat kwa tamaa zako, una uhakika gani kama hutapata tamaa tena/ utaconfess mara ngapi? na isitoshe ukikiri kuwa ulipitiwa na shetani au tamaa utanihakikishiaje kuwa huyo shetwan hatokuingia tena na kuwa hutopatikana na tamaa??

kama unataka kuwa msafi kwa mwenzi wako, do not try to justify your evil deeds kwa mgongo wa shetani au tamaa......hizo nguvu utakazozitum,ia kunielewesha mimi nikakuelewa, ni bora ungezitumia kujizuia usicheat. Otherwise shut your mouth and mute your heart....

But kama umemcheat wakati uko naye
 

Umeona eh?

Tunajua hilo thats why tunacheat kwa uangalifu mkubwa kuhakikisha hamjui ili tusiwaumizie mioyo yenu. Janaume linalocheat mbele ya mkewe si janaume bali livulana.........Na kwa magonjwa ya siku hizi, tunacheat kwa uangalifu bana.....nani anapenda kufa mapema wakati bia zinazidi kuboreshwa na kuwa tamu zaidi?

Ahsante mjukuu!
 
Basi acheni kwenda kufungishwa ndoa kanisani mfunge za jadi ili ijulikane kabisa mnaedeleza utamaduni!!!NAUMWA NATAMANI NIWAAMBUKIZR WOTEMNAOSAPOTI INFI HAPA!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…